Bank gani inatoa mikopo mpaka milioni 100?

Bank gani inatoa mikopo mpaka milioni 100?

Habari ndugu zangu.
Nina wazo la biashara ambayo inahitaji fedha kwa ajili ya uwekezaji. Benk nyingi wanataka Uwe na biashara ambayoina kuanzia miezi sita. Lakini mimi sina biashara mimi nina nyumba ambayo naweza kuchukulia mkopo kutokana na hio nyumba. kama kuna taasisi binafsi hata Bank ambazo bado wanakubali kuchukua nyaraka za hio nyumba ili nipate mkopo nakuombeni ushirikiano wenub wa hali na mali.

Asanteni .
Nenda kwa Papaa msofe mkuu nyumba kwake ndo deal!
 
kuwa na nyumba sio kigezo pekeyake cha kupata mkopo, bank wanataka kuona mzunguuzo wako wa pesa kwenye biashara sas kama huna turnover hata ya million kumi tu kwa mwezi,ki vigumu kurudisha mkopo wa milion hamsin
 
Back
Top Bottom