Bonaventura1
Member
- Oct 28, 2017
- 16
- 7
Nunua kiwanja sehemu potential.. halafu kama utakuja pata wazo mubadala unauza. Kama vipi utakuja jenga nyumba watoto na wajukuu zako itakuja wasaidia.Jamani kuna ka hela kangu kama 20mil nimekapata ghafla... Wakati nafikiria cha kufanya nimeona nibora niiwekwe bank kwanza. Mwenye kujua bank yenye interest nzuri anisaidie ili niweze kupata kijifaida wakati naendelea kutafakari.
Yaani hela ikae mwaka mzma afu upate 2mil kha
Hajui soko la hisa, unaweza poteza nusu nzima ya hela in 5daysNo no no. Sinawahi kushuhudia ushauri wa pumba kama huu toka nijiunge Jf
kama umeweka kwa mwezi mmoja kwa riba ya asilimia 8.5% formula ni (hela uliyoweka) x 8.5/100 x 1/12 = (utakachopata jibu) zidisha kwa 10/100 kisha itoe hilo jibu ulilolipata baada ya kuzidisha kwa 10/100 ni with holding tax kitakachobaki ndio faida yako
siku nyingine ukienda bank uliza kwa umakini uelewe kijana..
fixed ingekuwa rahisi hivyo ina hela bwerere nani angehangaika kufanya kazi?
Naomba kujua kama kuna benki kwa sasa nchini inayotoa asilimia 15 (15%) faida kwa fixed deposits katika hela ya kigeni. Kwa maana rahisi nataka kujua kama nikiwekeza dola laki moja ($ 100,000) katika fixed deposits kwa sababu nataka kutunza fedha itakayowasomesha watoto wangu huko mbeleni. Je naweza kupata $ 15,000 kwa mwaka kama faida? ili nitumie hiyo dola 15,000 kwa mwaka kwa matumizi ya kila siku huku hela yangu ikiwa salama?
Bro punguza ukali sidhan kama atarudi huyuNaomba usinielewe vibaya. Kama una $100,000 alafu unaomba ushauri jamii forum, its a problem. Internet ina information nyingi sana unazohitaji. That is a lot of money.
1. Huwezi kupata 15% fixed deposit kwa dollar sehemu yoyote duniani.
2. Tsh yenyewe sasa hivi jnacheza kwenye 7 - 10%
3. Ulizia unit trust (funda managers) hata wa nje kama Britam (Kenya). When you have a lot of money, learn to research. Everything is online
Naomba usinielewe vibaya. Kama una $100,000 alafu unaomba ushauri jamii forum, its a problem. Internet ina information nyingi sana unazohitaji. That is a lot of money.
1. Huwezi kupata 15% fixed deposit kwa dollar sehemu yoyote duniani.
2. Tsh yenyewe sasa hivi jnacheza kwenye 7 - 10%
3. Ulizia unit trust (funda managers) hata wa nje kama Britam (Kenya). When you have a lot of money, learn to research. Everything is online
Duh hio pesa ndefu sana ingawa hutapata faida nyingi kwa mwaka ila itakuwa hela ya maana bila shaka. Wacha wataalamu waje kudadavua.Naomba kujua kama kuna benki kwa sasa nchini inayotoa asilimia 15 (15%) faida kwa fixed deposits katika hela ya kigeni. Kwa maana rahisi nataka kujua kama nikiwekeza dola laki moja ($ 100,000) katika fixed deposits kwa sababu nataka kutunza fedha itakayowasomesha watoto wangu huko mbeleni. Je naweza kupata $ 15,000 kwa mwaka kama faida? ili nitumie hiyo dola 15,000 kwa mwaka kwa matumizi ya kila siku huku hela yangu ikiwa salama?
Rate za dola ni ndogo kuliko za TZ so hapana.Naomba kujua kama kuna benki kwa sasa nchini inayotoa asilimia 15 (15%) faida kwa fixed deposits katika hela ya kigeni. Kwa maana rahisi nataka kujua kama nikiwekeza dola laki moja ($ 100,000) katika fixed deposits kwa sababu nataka kutunza fedha itakayowasomesha watoto wangu huko mbeleni. Je naweza kupata $ 15,000 kwa mwaka kama faida? ili nitumie hiyo dola 15,000 kwa mwaka kwa matumizi ya kila siku huku hela yangu ikiwa salama?
Mtupe na hizo rates basi maana tutachoka na hii misele kwenda kila benki!KCB ndo inatoa riba kubwa kwa fixed account kuliko zote
Hela haitakiwi lala benki.
Kiufupi wengi hutoa 5pc to 10pc kwa mwaka
Ukiweka milioni 1 utapata 1.1mil baada ya miezi 12[/QUOTMmmm 4% Ya pesa unayoweka