Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

Jamani kuna ka hela kangu kama 20mil nimekapata ghafla... Wakati nafikiria cha kufanya nimeona nibora niiwekwe bank kwanza. Mwenye kujua bank yenye interest nzuri anisaidie ili niweze kupata kijifaida wakati naendelea kutafakari.
Nunua kiwanja sehemu potential.. halafu kama utakuja pata wazo mubadala unauza. Kama vipi utakuja jenga nyumba watoto na wajukuu zako itakuja wasaidia.
 
Yaani hela ikae mwaka mzma afu upate 2mil kha

Ni bora akapata riba kidogo huku akiwa na uhakika wa kupata pesa yake kuliko kujiingiza kwenye mambo ambayo hana uelewa nayo ikapeperuka yote.

Kumbuka amesema anaiweka kwa muda ili atafakari nini cha kufanya.
 
Nenda FINCA, wana riba ya 10%

Pia wana Fixed account inaitwa Mipango, hii unakuwa na uwezo wa kuongezea pesa ila huwezi toa mpaka muda mlokubaliana, ndo natumia hii
 
kama umeweka kwa mwezi mmoja kwa riba ya asilimia 8.5% formula ni (hela uliyoweka) x 8.5/100 x 1/12 = (utakachopata jibu) zidisha kwa 10/100 kisha itoe hilo jibu ulilolipata baada ya kuzidisha kwa 10/100 ni with holding tax kitakachobaki ndio faida yako

siku nyingine ukienda bank uliza kwa umakini uelewe kijana..

fixed ingekuwa rahisi hivyo ina hela bwerere nani angehangaika kufanya kazi?

mkuu bora umesadia kutoa huu mwangaza, manake nami nilikuwa nashangaa hiyo riba alosema.
 
Naomba kujua kama kuna benki kwa sasa nchini inayotoa asilimia 15 (15%) faida kwa fixed deposits katika hela ya kigeni. Kwa maana rahisi nataka kujua kama nikiwekeza dola laki moja ($ 100,000) katika fixed deposits kwa sababu nataka kutunza fedha itakayowasomesha watoto wangu huko mbeleni. Je naweza kupata $ 15,000 kwa mwaka kama faida? ili nitumie hiyo dola 15,000 kwa mwaka kwa matumizi ya kila siku huku hela yangu ikiwa salama?
 
Naomba usinielewe vibaya. Kama una $100,000 alafu unaomba ushauri jamii forum, its a problem. Internet ina information nyingi sana unazohitaji. That is a lot of money.

1. Huwezi kupata 15% fixed deposit kwa dollar sehemu yoyote duniani.

2. Tsh yenyewe sasa hivi jnacheza kwenye 7 - 10%

3. Ulizia unit trust (funda managers) hata wa nje kama Britam (Kenya). When you have a lot of money, learn to research. Everything is online
 
Bro punguza ukali sidhan kama atarudi huyu
 
Asante ndugu kwa mrejesho, haimanishi kuwa sina access na internet ila kuna benki ambazo hazijaonyesha hiyo rate kwenye website zao. Na nilifikiri kuwa Jamii forums kuna watu wenye uelewa and taarifa sahihi ya rates mbalimbali.
 
Naomba kujua kama kuna benki kwa sasa nchini inayotoa asilimia 15 (15%) faida kwa fixed deposits katika hela ya kigeni. Kwa maana rahisi nataka kujua kama nikiwekeza dola laki moja ($ 100,000) katika fixed deposits kwa sababu nataka kutunza fedha itakayowasomesha watoto wangu huko mbeleni. Je naweza kupata $ 15,000 kwa mwaka kama faida? ili nitumie hiyo dola 15,000 kwa mwaka kwa matumizi ya kila siku huku hela yangu ikiwa salama?
Duh hio pesa ndefu sana ingawa hutapata faida nyingi kwa mwaka ila itakuwa hela ya maana bila shaka. Wacha wataalamu waje kudadavua.
 
Naomba kujua kama kuna benki kwa sasa nchini inayotoa asilimia 15 (15%) faida kwa fixed deposits katika hela ya kigeni. Kwa maana rahisi nataka kujua kama nikiwekeza dola laki moja ($ 100,000) katika fixed deposits kwa sababu nataka kutunza fedha itakayowasomesha watoto wangu huko mbeleni. Je naweza kupata $ 15,000 kwa mwaka kama faida? ili nitumie hiyo dola 15,000 kwa mwaka kwa matumizi ya kila siku huku hela yangu ikiwa salama?
Rate za dola ni ndogo kuliko za TZ so hapana.
 
Habarini wanajamvi, nataka kufungua account kwa ajili ya kuhifadhi pesa, (fixed account) naomba kuuliza ni bank gani wako vizuri kwa huduma hii, asante
 
Hela haitakiwi lala benki.
Kiufupi wengi hutoa 5pc to 10pc kwa mwaka
Ukiweka milioni 1 utapata 1.1mil baada ya miezi 12
 
Back
Top Bottom