Mkuu iyo ya kiwanja ni nzuri sana ila sa ivi watu hawana pesa aisee.Mkuu nakushauri usinunue hisa kwa huu mdororo wa uchumi, ni kipindi kizuri nunua dollar, shillings inaporomoka dhamani so dollar itaendelea kupanda dhamani, hivyo kila ongezeko litakalopatikana uwe unatoa kama faida kwako, pili nakushauri nunua kiwanja kilichopimwa na hati zote kiwe sehemu nzuri, muda wowote utaweza uza na kwa bei ya faida.
Viwanja na vyakula hata uchumi uyumbe vp vinanunulika tuMkuu iyo ya kiwanja ni nzuri sana ila sa ivi watu hawana pesa aisee.
Vipi kuhusu gharama za hiyo accountKila bank unaweza kufungua account ya dollars kwa maana hyo pesa uliyonayo uibadili kuwa ktk dollars kisha uiweke. Halafu unakua unacheck dola imepanda kwa kiasi gani halafu unawithdraw dola chache kulingana na mahesabu yako. Ilimradi isishuke au isipungue ile uliyoweka kama mtaji.
Good ideaKila bank unaweza kufungua account ya dollars kwa maana hyo pesa uliyonayo uibadili kuwa ktk dollars kisha uiweke. Halafu unakua unacheck dola imepanda kwa kiasi gani halafu unawithdraw dola chache kulingana na mahesabu yako. Ilimradi isishuke au isipungue ile uliyoweka kama mtaji.
Iilezee kidogo hiyo nyumba tafadhali.Mkuu ongeza kidogo nikuuzie house of high standards!
Fixed account deposit zina interest nzuri ukideposit huge amounts e.g 50mil+ hapo kidogo unaweza ona faida.
Niliweka 8mil on fixed account for a year nikapata tsh 180,000/=only (it was crdb)
Buy assets for secured future returns.
OK..!Iilezee kidogo hiyo nyumba tafadhali.
Maelezo mazur sana mkuu haya tupe bei.OK..!
Nyumba iko Banana ( ukonga)
Ni nyumba ya kisasa ina
1. Three bedrooms ( one master)
2. Areas covered 1500square meter (34×34)
3. Ina fence, maji na umeme
4. Kitchen, stores, public toilet ( inside & outside)
5. Ina jipsum nyumba nzima, plus tiles
6. All necessary Documents available.
N.b ni nyumba ambayo ipo complete no need of finishing/maintenance!
And you allowed to pay on instalment terms!
OK..!
Nyumba iko Banana ( ukonga)
Ni nyumba ya kisasa ina
1. Three bedrooms ( one master)
2. Areas covered 1500square meter (34×34)
3. Ina fence, maji na umeme
4. Kitchen, stores, public toilet ( inside & outside)
5. Ina jipsum nyumba nzima, plus tiles
6. All necessary Documents available.
N.b ni nyumba ambayo ipo complete no need of finishing/maintenance!
And you allowed to pay on instalment terms!
It's 45mil but you can pay 75% of that amount and the remaining balance will be paid in 2 to 4 months later after mutual agreements.Maelezo mazur sana mkuu haya tupe bei.
Parefu kidogo kwangu mkuu.It's 45mil but you can pay 75% of that amount and the remaining balance will be paid in 2 to 4 months later after mutual agreements.
duuu aseee ndugu ushauri wako hata mimi nimeupenda nikipata hela lazma niiweke katka mfumo wa dollarKila bank unaweza kufungua account ya dollars kwa maana hyo pesa uliyonayo uibadili kuwa ktk dollars kisha uiweke. Halafu unakua unacheck dola imepanda kwa kiasi gani halafu unawithdraw dola chache kulingana na mahesabu yako. Ilimradi isishuke au isipungue ile uliyoweka kama mtaji.
Usijali kwa hilo ilikua ni sehemu ya USHAURI pia.Parefu kidogo kwangu mkuu.
Nimepapenda hapo ulipomshauri asikubali kuingia kwenye forex [emoji3]Saf sana kwakuliona hilo vijana wengi wanapata pesa nyingi kama izo mwisho wa siku wanakuruka kufungua miradi ambayo haina tija kwasababau to wanahela nyingi wakizani hazitakwisha and the day wanabaki hata pesa ya kula hawana
Weka kwanza pesa zako bank then tumia kama mwezi mmoja omba ushauri, hata hapa Jf kuna vichwa wengi watakusaidia nibiashara gani itakufaaa.
All the best. (Usikubali ukaingia kwenye forex).
NBC interest yao ni 3.95% kwa mwaka while posta bank wanatoa 14% kwa mwaka
Bitcons ni nini ndugu nisaidie kidogo.Invest in bitcoins within 6 months itazaa mara 2 hyo pesa