Already!Mkuu ebu njoo inbox kwa maelezo zaidi
mkuu ulitaka kusema million moja laki nane au?Mkuu ongeza kidogo nikuuzie house of high standards!
Fixed account deposit zina interest nzuri ukideposit huge amounts e.g 50mil+ hapo kidogo unaweza ona faida.
Niliweka 8mil on fixed account for a year nikapata tsh 180,000/=only (it was crdb)
Buy assets for secured future returns.
mkuu hiyo asilimia 8.2 kwa milioni 20 sio mbaya kula kila baada ya siku 30
Access Bank hizo ndizo let zao kwa mwezi July nafikili lkn juzi nimepata sticker yao mpya naona kuna punguzo la km 2% ukilinganisha na hii ya mwezi July . Nimejaribu kuitafuta kwenye email lkn siioni. Sasa sikia mkuu kama huyo pesa unaiweka fixed ili upate faida, means fixed ndiyo Iwe km biashara yako achana na hilo wazo, lkn km huna pa kuiweka wakati unatafakali nini cha kufanya bas all the best. Hizi acc za fixed zinalipa sana km ukiweza kudepost kwa mwezi moja moja unachukua faida then unaomba kudepost tena. Maana asilimia ya mwezi ni 8.2% while asilimia ya mwaka ni 12%. Si ujinga huo
8.2 Kwa mwezi benki gani?m
mkuu hiyo asilimia 8.2 kwa milioni 20 sio mbaya kula kila baada ya siku 30
kumbuka hapo pesa yako yote bado ipo
huumizi kichwa
bado unafikiria nini vha kufanya.
ni bora akaweka fixed kama kweli wanatoa hiyo 8.2% ya 20M per month
au nimesoma vibaya hiki kipeperushi? tena sio 8.2 ni 10%8.2 Kwa mwezi benki gani?
Access Bank hizo ndizo let zao kwa mwezi July nafikili lkn juzi nimepata sticker yao mpya naona kuna punguzo la km 2% ukilinganisha na hii ya mwezi July . Nimejaribu kuitafuta kwenye email lkn siioni. Sasa sikia mkuu kama huyo pesa unaiweka fixed ili upate faida, means fixed ndiyo Iwe km biashara yako achana na hilo wazo, lkn km huna pa kuiweka wakati unatafakali nini cha kufanya bas all the best. Hizi acc za fixed zinalipa sana km ukiweza kudepost kwa mwezi moja moja unachukua faida then unaomba kudepost tena. Maana asilimia ya mwezi ni 8.2% while asilimia ya mwaka ni 12%. Si ujinga huo
Kama ni hiyo, hiyo interest rate ni ya mwaka kwa hiyo mwezi unagawanya 12au nimesoma vibaya hiki kipeperushi? tena sio 8.2 ni 10%
Unajua bank nyingi wanakata 1% ya USD unayowithdraw?Kila bank unaweza kufungua account ya dollars kwa maana hyo pesa uliyonayo uibadili kuwa ktk dollars kisha uiweke. Halafu unakua unacheck dola imepanda kwa kiasi gani halafu unawithdraw dola chache kulingana na mahesabu yako. Ilimradi isishuke au isipungue ile uliyoweka kama mtaji.
Bank yenyewe iko chini ya uangalizi wa BOT afu bado unamwambia mwenzako ajipeleke huko.azania bank wana rate nzuri
acha ujinga wewe bank iliyoko chini ya BOT ni twiga bancorpBank yenyewe iko chini ya uangalizi wa BOT afu bado unamwambia mwenzako ajipeleke huko.
au nimesoma vibaya hiki kipeperushi? tena sio 8.2 ni 10%
Nadhani hiyo ya kiwanja nayo ni ya vipindi tu kama hisa.Mkuu nakushauri usinunue hisa kwa huu mdororo wa uchumi, ni kipindi kizuri nunua dollar, shillings inaporomoka dhamani so dollar itaendelea kupanda dhamani, hivyo kila ongezeko litakalopatikana uwe unatoa kama faida kwako, pili nakushauri nunua kiwanja kilichopimwa na hati zote kiwe sehemu nzuri, muda wowote utaweza uza na kwa bei ya faida.
Japokuwa mimi ni fan mzuri wa Man city kwa hiyo nikiiona picha ya Pogba naona mahasimu wangu waliuziwa cheni ya bandia kwa pesa nyingi 🙂🙂 Ngoja niende kwenye kuchangiaSaf sana kwakuliona hilo vijana wengi wanapata pesa nyingi kama izo mwisho wa siku wanakuruka kufungua miradi ambayo haina tija kwasababau to wanahela nyingi wakizani hazitakwisha and the day wanabaki hata pesa ya kula hawana
Weka kwanza pesa zako bank then tumia kama mwezi mmoja omba ushauri, hata hapa Jf kuna vichwa wengi watakusaidia nibiashara gani itakufaaa.
All the best. (Usikubali ukaingia kwenye forex).
Sikuwahi kujua kama we chizi hua unajua chochote khs ma bank.acha ujinga wewe bank iliyoko chini ya BOT ni twiga bancorp
asante!umesoma kipeperushi vizuri lakini haujaelewa.... ukiona riba ni asilimia 8 kwa mwezi.. haimaanishi utalipwa asilimia 8 yote.. ila utalipwa 8/100 x hela uliyoiweka fixed kisha unagawanya kwa 12 ... huu ni uhuni ambao bank haikuambiii maana wanajua utaghairi
wasalimie mazuzu wenzako hapo ArushaSikuwahi kujua kama we chizi hua unajua chochote khs ma bank.
Sawa mtoto mzuri.Salimia Koromije.wasalimie mazuzu wenzako hapo Arusha
Naona haujafikiria gharama ya kuendesha account ya fedha za kigeni pia rate za bank sio rafik kabisa, competitive exchange rate za madukani posta na k,koo ni nzur kuliko bank, Mimi nanunua dola madukani posta naziweka home then nikipata rate nzur nachange japo no risk lakin benk usitegemee faida japo salamaUmenifungua akili sana mkuu sijawahi kuwaza kitu kama hiki, salute kwako !