Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

Hahha jamaa walimpa rate za foreign currency Ila kwa upande mwingine kwa pesa aliyoweka huwezi pewa rate kubwa mkuu
 
Nimekuelewa Mkuu.

Ila sasa uwekezaji kama huu si ndio maana nimeufananisha na hisa.

Sasa njia bora zaidi ya kuchagua ni ipi ili walau ufikie malengo yako ya kuwekeza pale uhitaji unapojitokeza?

Maana ni mtihani kwa kweli.
 
Hahah hopefully wengine wanaopanga kufungua USD accounts watajifunza kitu.

Wahoji vzr 'other hidden costs' related to hizo accounts kabla hawajaja kulia kilio cha mbwa mwizi,hahah.

Happy holiday mkuu.
Sure...wengi wakiwa Na uhitaji wa USD account Huwa hawaulizi charges matokeo yake ndo ayo mwisho wa siku wanalia

Sasa hivi kuna bank nyingi sana competition pia imekuwa kubwa ni Bora kujua product za bank tofauti kabla hujafungua iyo account
 
Hahha jamaa walimpa rate za foreign currency Ila kwa upande mwingine kwa pesa aliyoweka huwezi pewa rate kubwa mkuu
Bas ahame crdb,mi naweka sana amount kama hizo,access bank,na mara ya mwisho rate ilikua 14.3 nadhan,..sasa kama crdb ndo hvyo bas hawafai,hiz bank ndogo znavutia wateja ndomana znaweka rate za maana,crdb washashiba wale
 
Sikuwahi kujua kama we chizi hua unajua chochote khs ma bank.
Namuombea msamaha mkuu jamaa huwa namuona ni mkali kwenye kila kada atakuwa kateleza tu🙂🙂
Ngoja apate somo kidogo Benki kuu wanatoa maelekezo kwa benki zote ili kupunguza au kuongeza mzunguko wa pesa
kwa kuconrol
  • Riba
  • Benki lazima iwe na kiasi ambacho iitakideposit kiasi BOT kama mteja anavyodeposit benki ili kujifinance ikitokea mambo yameenda mrama
  • Ni lazima kutoa mikopo kwenye project kubwa hasa za kiviwanda
  • Kuwa tayari kuongeza kiasi na amana BOT ikitokea kuna mfumuko wa bei ili kupunguza mzunguko wa pesa
  • banks kupunguza kukopesha ikionekana mzunguko wa hela ni mkubwa kuliko uzalishaji.(Hili nalifafanua hapa chini)
Hili limetokea hawamu hii watu walikuwa wanakopa sana lakini wananunulia magari, wanajenga na kufanya mengineyo huku lengo la benki kutoa mikopo ikiwa ni kukuza uchumi(uzalishaji) siyo welfare(nimekosa neno zuri la kiswahili), ikitokea muda wa kulipa unakaribia kuisha mtu anaingia benki nyingine kukopa ili alipe mkopo wa zamani. Kumbuka unapokuwa na collaterral kubwa ndivyo kiasi chako cha ukopaji kinavyokuwa kikubwa.
Kumbuka mwanzo alikopa kiasi fulani kutokana na udhamini kuwa mdogo ila baada ya kuongeza mali uwezo wa kukopa unakuwa mkubwa hivyo deni la mwanzo linalipika kirahisi na maisha yanasonga.
N.B Sijatoa mbinu ya kukopa
 
Sure...wengi wakiwa Na uhitaji wa USD account Huwa hawaulizi charges matokeo yake ndo ayo mwisho wa siku wanalia

Sasa hivi kuna bank nyingi sana competition pia imekuwa kubwa ni Bora kujua product za bank tofauti kabla hujafungua iyo account
Ukweli kabisaa mkuu.

Na wenye masikio wasikie kabla ya kipindi cha kutoa kilio na kusaga meno hakijafika aisee.
 
Assnte sana mkuu.
 
Jamani kuna ka hela kangu kama 20mil nimekapata ghafla... Wakati nafikiria cha kufanya nimeona nibora niiwekwe bank kwanza. Mwenye kujua bank yenye interest nzuri anisaidie ili niweze kupata kijifaida wakati naendelea kutafakari.
Equity
 
Bas ahame crdb,mi naweka sana amount kama hizo,access bank,na mara ya mwisho rate ilikua 14.3 nadhan,..sasa kama crdb ndo hvyo bas hawafai,hiz bank ndogo znavutia wateja ndomana znaweka rate za maana,crdb washashiba wale
Ni kwel sema mabank alafu wengi hawajui haya mabank makubwa sio rafiki kabisa kwa watu wenye mitaji midogo wao wapo kimaslahi tu ni Bora kufanya research kwenye hizi bank ndogo mana hutoa rate nzuri kulinganisha Na hizo kubwa
 
Sasa hivi bank zinaongeza interest kutoka 18% to 22%
 
Sasa hivi kuna bank nyingi sana competition pia imekuwa kubwa ni Bora kujua product za bank tofauti kabla hujafungua iyo account
Stanbic kwa Saving Account hawana makato, ila deposit ni Dola 300
 
Kanunue vipande UTT mkuu.. Vipande vinapanda thamani daily.. Na Muda wowote ukihitaji fedha yako unaenda kuuza vipande vyako..
 
Nimekuelewa Mkuu.

Ila sasa uwekezaji kama huu si ndio maana nimeufananisha na hisa.

Sasa njia bora zaidi ya kuchagua ni ipi ili walau ufikie malengo yako ya kuwekeza pale uhitaji unapojitokeza?

Maana ni mtihani kwa kweli.
Yaani, kuweka hisa na fixed ni biashara kichaa, kikubwa tuliza akili jaribu fikiria biashara za kilimo(usilime wape huduma wakulima au kama kulima tumia irrigation system) pia biashara za madawa, chakula na huduma hapo lazima utoke hata vyuma vikaze vp?
 
kweli,viwanja na vyakula vinalipa.ila vyakula iwe mahind au mcheke zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…