Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

Dda aisee this is supercalifragilisticexpialidocious....
 
It's 45mil but you can pay 75% of that amount and the remaining balance will be paid in 2 to 4 months later after mutual agreements.
Mmmh.

Mkuu hii bei ni kweli ama utani?
 
Watu wengine bwana hawawatakii kheri wenzao. Mwenzio anaomba ushauri kwa nia njema kabisa, lakini anapewa ushauri wa uongo, lengo ni nini! Umelazimishwa! si ukae kimya tu!
 
soko la hisa miyeyusho, Nina karibia miezi 2 toka niweke hiza za vodacom sokoni, mpaka sasa bado hazijanunuliwa. kwa hiyo ukiweka kwenye soko LA hisa siku ukihitaji fedha zako, huna uhakika wa kuzipata.
 
Jamani kuna ka hela kangu kama 20mil nimekapata ghafla... Wakati nafikiria cha kufanya nimeona nibora niiwekwe bank kwanza. Mwenye kujua bank yenye interest nzuri anisaidie ili niweze kupata kijifaida wakati naendelea kutafakari.
huwezi kuita Faida wakati hufanyi biashara ,sema Riba
 
Kwa mm nilizunguka benki karibu sita lkn nilikuja kuona NMB is the best kwa fixed account kwan wanaruhusu kufix hata kwa single month na kwa hela yako ww kwa mwezi utakua na interest ya 4% ambayo ni zaidi ya Tsh 800,000 kama sijakosea kitu ambacho sio haba...ni mshahara wa mtu huo.
 
That is what I am doing, yaah in risk lakin mpaka watu wajue unapesa ndani, nimepiga hela sana kwa kuhold dolar,
Nisaidie Jambo Moja,unaziuza wapi ziki appreciate? Au unaenda kuzibadili Bureau de Change? Natamani hii kitu!
 
Mkuu Forex ina shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…