1.6m per month?????
1. Fungua akaunti ya dola au
2. Nunua hisa za makampuni ila siyo vodacom wala airtel
Kuna mkuu moja hapo juu alitoa wazo la kuwekeza kwenye Banks ndogo nimefatilia kwa kina nimeona ni kweli tena hasa kwa mkuu huyu mwenye 20m kwa bank kama access bank wanatoa riba nzuri sana kwa depositors kila mwezi utakua na uwezo wa kutengeneza hadi 1.6m faida.
ni biashara halali chache sana zinaweza kulipa kwa kiwango hicho.....na hizi chache utakuta risk pia ni kubwa sana. Kilimo kwa mfano kinaweza kulipa faida kubwa lakini risk ya kupoteza pia ni kubwa mno.Kuna mkuu moja hapo juu alitoa wazo la kuwekeza kwenye Banks ndogo nimefatilia kwa kina nimeona ni kweli tena hasa kwa mkuu huyu mwenye 20m kwa bank kama access bank wanatoa riba nzuri sana kwa depositors kila mwezi utakua na uwezo wa kutengeneza hadi 1.6m faida.
umesoma kipeperushi vizuri lakini haujaelewa.... ukiona riba ni asilimia 8 kwa mwezi.. haimaanishi utalipwa asilimia 8 yote.. ila utalipwa 8/100 x hela uliyoiweka fixed kisha unagawanya kwa 12 ... huu ni uhuni ambao bank haikuambiii maana wanajua utaghairi
Kwa kiasi chake anacho taka kuweka mkuu, 20m!!Ukiweka tshs ngapi unapata icho kiasi?
Ndio mkuu, tena hiyo ni faida kapa baada ya vichenji vya hiyo 10% ya serikali.1.6m per month?????
We unaongelea mwaka mi naongelea mwezi mkuu, wanaruhusu hata kwa mwezi na ni zaidi ya 8.5% , naongea nikiwa na ushaidi mkuu.za kuambiwa changanya na zako.. tatizo watu wanajibu tu humu wenzao kwa story za vijiweni... ukiweka milioni 20 kwa mwaka access bank riba utakayopata hata milion 3 haifiki.. na hapo kuna with holding tax
We unaongelea mwaka mi naongelea mwezi mkuu, wanaruhusu hata kwa mwezi na ni zaidi ya 8.5% , naongea nikiwa na ushaidi mkuu.
Haipo kwa kwa maana ipi sasa mkuu? Mi najua unabisha kwa hoja yenye mashiko , sema nikutumie form ya riba zao kwa depositors halaf uendelee kupingamkuu hii yako hatari, sijui km kuna faida hii, kama ingekuwepo watu wangeacha kazi zingine kabisa.
Mkuu wekeza na FINCA Microfinance Bank hutajuta.Jamani kuna ka hela kangu kama 20mil nimekapata ghafla... Wakati nafikiria cha kufanya nimeona nibora niiwekwe bank kwanza. Mwenye kujua bank yenye interest nzuri anisaidie ili niweze kupata kijifaida wakati naendelea kutafakari.
Ni wazo zuri, umeangalia mbali kwa jicho la tatu...ila kikubwa ilikua ni kumshauri tu huyo mkuu aliyekua nataka azifix fedha zake wakati anasubiri pa kuzipeleka.ni biashara halali chache sana zinaweza kulipa kwa kiwango hicho.....na hizi chache utakuta risk pia ni kubwa sana. Kilimo kwa mfano kinaweza kulipa faida kubwa lakini risk ya kupoteza pia ni kubwa mno.
Ku fix sh 20m na kupata riba ya sh 1.6m kwa kila mwezi, ni sasa na kusema riba ya 96% kwa mwaka. Hakuna benki yoyote inayoweza kulipa kwa kiwango hiki. Jiulize tu, wao watawekeza kwenye nini ili wapate ribs/faida ya zaidi ya 96% kwa mwaka?
Anyway, ni mjadala mzuri. Unapoweka fixed deposit ni muhimu pia kuzingatia mfumko wa bei. Usipokuwa makini inaweza kuwa hujapata faida yoyote maana thamani ya ile hela uliyo fix baada ya mwaka itakuwa imepungua. Inflation rate kwa sasa wastani wa 5% (oopps, ngoja nicheki NBS nsije fungwa!). So shilingi 100 ya sasa itakuwa sawa na sh 95 baada ya mwaka mmoja! Au kwa lugha nyingine, utahitaji sh 105 baada ya mwaka mmoja kununua kitu kinachouzwa sh 100 sasa hivi.
Sio lazima nikuaminishe mana sio lazima uniamini mana hata hivo hukua mlengwa ...jaribu kutembelea tawi lao kwa maelezo .umeshawai kuweka hiyo hela na ukapata faida baada ya huo mwezi mmoja au ushahidi wa kuambiwa na watu.. unajua hiyo 8.5 % inakuwa calculated vipi?
Kuna watu wanabisha et kuhusu hizo rates,Mkuu wekeza na FINCA Microfinance Bank hutajuta.
Interest yao inaanza 10% hadi 15% kutegemea kiasi unachoweka.
Sio lazima nikuaminishe mana sio lazima uniamini mana hata hivo hukua mlengwa ...jaribu kutembelea tawi lao kwa maelezo .
Sijui niambie.mimi sibishani na wewe ila nataka nikuelekeze nimegundua kuna kitu hukijui.. kama hutaki ukijue kimbia... mzazi wangu ana hela access nyingi tu fixed.. na hata mimi nishawai weka fixed milion 5 mwaka huu july.. kuna kitu najua hujui ila unaleta ubishani tu.. nimekuuliza unajua riba ya mwezi inakuwa calculated vipi?
Una withdraw kivp wakati ni fixed, au mie sikuelewa vizuri?Kila bank unaweza kufungua account ya dollars kwa maana hyo pesa uliyonayo uibadili kuwa ktk dollars kisha uiweke. Halafu unakua unacheck dola imepanda kwa kiasi gani halafu unawithdraw dola chache kulingana na mahesabu yako. Ilimradi isishuke au isipungue ile uliyoweka kama mtaji.
Sijui niambie.
ongezeko la hiyo dolla ita offsetiwa pale atakapoenda kubadilisha apate madafu maana humu ndani hawezi fanyia dolla chochoteKila bank unaweza kufungua account ya dollars kwa maana hyo pesa uliyonayo uibadili kuwa ktk dollars kisha uiweke. Halafu unakua unacheck dola imepanda kwa kiasi gani halafu unawithdraw dola chache kulingana na mahesabu yako. Ilimradi isishuke au isipungue ile uliyoweka kama mtaji.