britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Iko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote
Pili Kikwete ameharibu sana nchi hii,
Wamemu approach Firoz Bayi anayefanya biashara kariakoo mwenye asili ya India , ainunue Bank -M, (Kama kiini macho, maana kashafirisika, wanataka kutumia jina lake tu , ila lengo ni Kikwete Abdul na mama yake kwa sasa wafanye uwekezaji wa pesa kwa viongozi baadhi wa Chadema kupitia mpango wa kuivuruga.
wamefanya Hivo kupata Bank M kama taasisi ya pesa yenye leseni iliyofilisika , watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.
Itakuwa bank ya kihuni ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi walizoficha nje na wanazoendelea kupora ,Wanatengeneza hii njama ma baadhi ya viongozi wa Chadema watapewa shares kwenye huu Ufisadi (vingozi hao tawataja tuna verify kwanza )
Britanicca