BANK-M mikononi mwa Firoz Bayi, Kutakatisha Pesa za wa siasa

Hii taarifa mnatueleza sisi wachoma mahindi na wauza supu ya pweza ili tufanye Nini?? Kwetu ni kama umbea tu!
Mpo kwenye positions za kuchukua hatua badala ya kuchukua hatua mnageuka wasambaza umbea.
Jk ameharibu nchi ndio sasa sisi walala hoi ndo tutamtoa asiendelee kuharibu nchi !
Mpaka unapata hizi taarifa it means upo katika position flani ya kuwa na access na hivi taarifa sadly umegeuka mpiga umbea tu years and years!

Acha kupiga umbea miaka na miaka take actions , wewe handlers wako kaeni chini muwe na mkakati how to put the man down na si huu umbea wa Kila siku.
Kenge nyinyi!!!
Nchi imeharibika kwa sababu ya viroboto kama wewe. Unakalisha makalio nyumbani halafu unategemea wengine wakufanyie kazi? Nchi inajengwa na kila mwananchi na hakuna kikundi cha watu chenye hati miliki. Usione Ulaya wameendelea ukadhani walikuwa wanakalisha makebo nyumbani na kuachia kundi la watu kuwajibisha viongozi. Unatukana wengine kenge wakati wewe ndiye kenge halisi?
 
Iko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote

Pili Kikwete ameharibu sana nchi hii,

Wamemu approach Firoz Bayi anayefanya biashara kariakoo mwenye asili ya India , ainunue Bank -M, (Kama kiini macho, maana kashafirisika, wanataka kutumia jina lake tu , ila lengo ni Kikwete Abdul na mama yake kwa sasa wafanye uwekezaji wa pesa kwa viongozi baadhi wa Chadema kupitia mpango wa kuivuruga.

wamefanya Hivo kupata Bank M kama taasisi ya pesa yenye leseni iliyofilisika , watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.

Itakuwa bank ya kihuni ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi walizoficha nje na wanazoendelea kupora ,Wanatengeneza hii njama ma baadhi ya viongozi wa Chadema watapewa shares kwenye huu Ufisadi (vingozi hao tawataja tuna verify kwanza )

Britanicca

Wanatengeneza hii njama ma baadhi ya viongozi wa Chadema watapewa shares kwenye huu Ufisadi (vingozi hao tawataja tuna verify kwanza )
 
Sasa mmeniamini ninaposemaga kuwa kila Kiongozi wa Chadema ana "price tag"! Kufikwa bei ni suala la muda tu.
Kwa pesa inayochotwa toka Hazina ya nchi, ni watu wa kipekee sana wasioweza kufikiwa bei kama TAL ambaye imebakia mikakati ya risasi au jela pekee kumuondoa kwenye game. Muulize mzee wako JK.

Hata wabunge wa Marekani wananunulika kwa mafisadi wa CCM. Watu hawaoni shida kumkatia mtu hadi USD 10 M awatakasie nyota wewe unawawaza viongozi wa CHADEMA? Labda hata hujui mabosi wako wanachezea hela ya nchi hii kiasi gani.
 
Mtu yeyote anayejithamanisha na fedha hana akili kabisa, hana tofauti na mbuzi wa vingunguti. Watu kama hao wangekuwepo kipindi cha Nyerere tusingepata uhuru hadi leo.
Siku tukiikomboa nchi aisee tutawachinja hadharani maana ni wabaya mno kuliko wakoloni waliotutawala enzi hizo
 
Kwa pesa inayochotwa toka Hazina ya nchi, ni watu wa kipekee sana wasioweza kufikiwa bei kama TAL ambaye imebakia mikakati ya risasi au jela pekee kumuondoa kwenye game. Muulize mzee wako JK.

Hata wabunge wa Marekani wananunulika kwa mafisadi wa CCM. Watu hawaoni shida kumkatia mtu hadi USD 10 M awatakasie nyota wewe unawawaza viongozi wa CHADEMA? Labda hata hujui mabosi wako wanachezea hela ya nchi hii kiasi gani.
Hata TAL atafika Bei tu. Suala ni muda tu haujafika.
 
Wanatengeneza hii njama ma baadhi ya viongozi wa Chadema watapewa shares kwenye huu Ufisadi (vingozi hao tawataja tuna verify kwanza )
Ila nchi inachezewa sana. Hayo mamilioni ni kodi za wananchi. Wananchi wenyewe akili zimebaki za kumshangilia Zuchu na Diamond. Kwa hiyo hawaoni taabu CCM kula hela zao. Nchi imeoza kabisa
 
Hata TAL atafika Bei tu. Suala ni muda tu haujafika.
Unamjua TAL kweli wewe? JK aliongea 2014 kuwa TAL hana suluhisho. Wahuni wakamzuga JPM kuwa wanalo suluhisho kamili kumbe wamenukuu riwaya ya watemi fulani: “Gotta problem Sir? I gotta sure problem solver; his name is revolver” wakaishia kugongana na muujiza wa 2017. Wanaweweseka hadi leo.

Huyu wa sasa hivi kamaliza kitabu chote; kuanzia shobo za Nairobi na Brussels hadi kumtuma “mwanaye wa kipekeee” akamalize mchezo pasi na mafanikio. Kaishia kumtuliza mwamba jela bila ajenda yoyote. Kabakia na kiwewe hajui atalitulizaje hili jinamizi lisilopungwa kwa shaba wala fedha?
 
Bank M haipo kwenye orodha ya benki zinazouzwa kwa sababu mchakato wake ulishafungwa kisheria miaka mingi iliyopita. Mnamo Januari 2019, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilifuta kabisa leseni ya Bank M na kuhamishia mali na madeni yake yote kwenda Azania Bank. Kisheria na kiutendaji, "Bank M" haipo tena kama taasisi, haina leseni, na haiwezi kufufuliwa wala kuuzwa kwa mtu yeyote.

britanicca kama huna taarifa kaa kimya soma mada za wenzio, acha kuandika uzushi. Unadhalilisha Jukwa la JF
Kwa CCM hakuna kisichowezekana mkuu
 
Nchi imeharibika kwa sababu ya viroboto kama wewe. Unakalisha makalio nyumbani halafu unategemea wengine wakufanyie kazi? Nchi inajengwa na kila mwananchi na hakuna kikundi cha watu chenye hati miliki. Usione Ulaya wameendelea ukadhani walikuwa wanakalisha makebo nyumbani na kuachia kundi la watu kuwajibisha viongozi. Unatukana wengine kenge wakati wewe ndiye kenge halisi?
Wewe ni zaidi ya kenge tena kenge maji.
Unategemea mama ntilie au Mimi muuza supu kumtoa jk? Ndo maana kuna division of labor , hao wakina brittanica wapo position ambayo wao na handlers na watu wengine ndio wanapaswa kuchukua hatua.

Mfano mdogo ni October 29 , wamepotea watu wangapi ? Watu walitoka mamia kupinga serikali haramu na matendo yao and then what happens? Hakuna support yoyote waliopata kutoka kwa watu waliopo huko ndani ya vyombo vya ulinzi wanaojinasibisha kwamba wanachukia yanayoendelea nchini.
Zaidi sana akili zao zimeishia kuleta umbea na kujifanya kuongea kwa code za kishamba *****!! Zero support, zero plan the only thing they can do ni umbea miaka na miaka.

Wananchi October 29 walitoka je waliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama (wapiga umbea kama huyu britanicaa ) walitoa support gani kuunga juhudi za wananchi kupinga yanayoendelea! Zero support!!!
Ng"ombe maji wewe!!!
 
Ila nchi inachezewa sana. Hayo mamilioni ni kodi za wananchi. Wananchi wenyewe akili zimebaki za kumshangilia Zuchu na Diamond. Kwa hiyo hawaoni taabu CCM kula hela zao. Nchi imeoza kabisa
Wananchi baadhi yao walitoka October 29, wakaonyesha Nia na moyo wakupinga yanayoendelea nchini, kilichotokea wote tunakijua ! Wakakutana na mitutu ya bunduki, wananchi wasiokua na uwezo hata wakumiliki mapanga wakauliwa kinyama kama kuku , Hawa wote Imani yao kubwa ilikua wakitoka kwa wingi watapata sapoti toka kwa hao wote waliopo ndani ya mfumo wanaochukizwa na yanayoendelea sadly kulikua na zero support!
 
Wewe ni zaidi ya kenge tena kenge maji.
Unategemea mama ntilie au Mimi muuza supu kumtoa jk? Ndo maana kuna division of labor , hao wakina brittanica wapo position ambayo wao na handlers na watu wengine ndio wanapaswa kuchukua hatua.

Mfano mdogo ni October 29 , wamepotea watu wangapi ? Watu walitoka mamia kupinga serikali haramu na matendo yao and then what happens? Hakuna support yoyote waliopata kutoka kwa watu waliopo huko ndani ya vyombo vya ulinzi wanaojinasibisha kwamba wanachukia yanayoendelea nchini.
Zaidi sana akili zao zimeishia kuleta umbea na kujifanya kuongea kwa code za kishamba *****!! Zero support, zero plan the only thing they can do ni umbea miaka na miaka.

Wananchi October 29 walitoka je waliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama (wapiga umbea kama huyu britanicaa ) walitoa support gani kuunga juhudi za wananchi kupinga yanayoendelea! Zero support!!!
Ng"ombe maji wewe!!!
 
Wewe ni zaidi ya kenge tena kenge maji.
Unategemea mama ntilie au Mimi muuza supu kumtoa jk? Ndo maana kuna division of labor , hao wakina brittanica wapo position ambayo wao na handlers na watu wengine ndio wanapaswa kuchukua hatua.

Mfano mdogo ni October 29 , wamepotea watu wangapi ? Watu walitoka mamia kupinga serikali haramu na matendo yao and then what happens? Hakuna support yoyote waliopata kutoka kwa watu waliopo huko ndani ya vyombo vya ulinzi wanaojinasibisha kwamba wanachukia yanayoendelea nchini.
Zaidi sana akili zao zimeishia kuleta umbea na kujifanya kuongea kwa code za kishamba *****!! Zero support, zero plan the only thing they can do ni umbea miaka na miaka.

Wananchi October 29 walitoka je waliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama (wapiga umbea kama huyu britanicaa ) walitoa support gani kuunga juhudi za wananchi kupinga yanayoendelea! Zero support!!!
Ng"ombe maji wewe!!!
Hongera mkuu kwa kumtolea uvivu huyu mzushi britanicca. Watu humu wanamuabudu kwa vihabari vyake vya majungu majungu na codes. Hivi kweli mtu unatumia fake ID kwa nini uandike kwa mafumbo?? Mwongo sana huyu
 
Back
Top Bottom