BANK-M mikononi mwa Firoz Bayi, Kutakatisha Pesa za wa siasa

Sababu kubwa ni MIND-SET kabla ya huko kushiriki.. huwezi fananisha akili za watu kwenye hizo nchi na ng`ombe zilizojaa Malawi..
Kujielewa wewe binafsi kunaanza halafu ndo uyajue mazingira yaliyokuzunguka,,,

Mfano hao Sudan ambao walianza purukushani za mapigano ya wenyewe kwa wenyewe tokea 1955 huwezi wafananisha na walioishi kama mifugo kwa miaka 60 chini ya akili za mtu mmoja.
Na ndilo tatizo hasa la huyo kenge anayesema eti watu wengine wengine wafanye huku yeye kakalisha makebo nyumbani.
 
Iko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote

Pili Kikwete ameharibu sana nchi hii,

Wamemu approach Firoz Bayi anayefanya biashara kariakoo mwenye asili ya India , ainunue Bank -M, (Kama kiini macho, maana kashafirisika, wanataka kutumia jina lake tu , ila lengo ni Kikwete Abdul na mama yake kwa sasa wafanye uwekezaji wa pesa kwa viongozi baadhi wa Chadema kupitia mpango wa kuivuruga.

wamefanya Hivo kupata Bank M kama taasisi ya pesa yenye leseni iliyofilisika , watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.

Itakuwa bank ya kihuni ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi walizoficha nje na wanazoendelea kupora ,Wanatengeneza hii njama ma baadhi ya viongozi wa Chadema watapewa shares kwenye huu Ufisadi (vingozi hao tawataja tuna verify kwanza )

Britanicca
Hii benki imefilisika vipi... na inawezekana watu wameshasahau ilikotoka hii benki...
 
29/10 idadi haikuwa kubwa. Tungetoka wengi wa kutosha sasa hivi CCM na Samia ingekuwa historia, Bahati mbaya sana kuna watu wenye mawazo mgando kama wewe ambao walidhani wanajeshi ndiyo watapindua nchi. Nepal walitoka vijana wengi tena haikuwa siku moja! Ukitegeana kutoka hakuna wa kukuletea mabadiliko na wewe umekalisha makebo kama unavyobwabwaja.
Wewe ngoja nikuache maana inaonekana wewe ni nyumbu kabisa tena nyumbu kichaa!
Watu wametoka wengi still unaona hawakutoka wengi!
Hizo nchi ulizozitaja idadi ya waliokufa haizidi 500 na ukiangalia maandamano yao yamechukua almost mwezi na masiku
Huku kwetu ulitaka wafe wangapi kama within 2 days idadi inazidi 500.

Support kutoka kwa vyombo vya dola haikuepo na inaonekana hata wangekufa makumi elfu still isingekuepo .

Hivi watu 1000+unaichukulia ni idadi ndogo tena wamekufa within 3 days !
Kenge kabisa wewe !!!! Leo polepole hatujui yupo wapi , tesha yupo wapi na vyombo vya ulinzi vyote vipo kimya Ina maana all of them wanakubali kinachotokea na ni ma failure hayana mkakati wala mbinu .
Wewe ni kenge maji kabisa !
 
Mimi nakuacha kwa kukuweka kwenye ignore list kwa sababu unaonekana unafanya ubishi kwa jambo ambalo liko wazi. Kwaheri.
 
Huo ni mkakati uliosukwa ili kubadili umiliki, na ndio njia yao safi kabisa ya kusafirisha fedha haramu kwenda Seychelles.
Kwahiyo haya sisi tumeyajua ila wazungu wasijue?😁😁😁 .....wakuu kila kinachofanyika nchini kwetu huko duniani kinajulikana 100% hatuna akili ya kumkwepa mzungu sisi
 
Wewe ngoja nikuache maana inaonekana wewe ni nyumbu kabisa tena nyumbu kichaa!
Watu wametoka wengi still unaona hawakutoka wengi!
Hizo nchi ulizozitaja idadi ya waliokufa haizidi 500 na ukiangalia maandamano yao yamechukua almost mwezi na masiku
Huku kwetu ulitaka wafe wangapi kama within 2 days idadi inazidi 500.

Support kutoka kwa vyombo vya dola haikuepo na inaonekana hata wangekufa makumi elfu still isingekuepo .

Hivi watu 1000+unaichukulia ni idadi ndogo tena wamekufa within 3 days !
Kenge kabisa wewe !!!! Leo polepole hatujui yupo wapi , tesha yupo wapi na vyombo vya ulinzi vyote vipo kimya Ina maana all of them wanakubali kinachotokea na ni ma failure hayana mkakati wala mbinu .
Wewe ni kenge maji kabisa !
Kupata sapoti kwa vyombo hivi uongo....wakuu wake wote ni watu wa CCM wengine wanajisahau wanasalimia salamu za chama.
 
Iko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote

Pili Kikwete ameharibu sana nchi hii,

Wamemu approach Firoz Bayi anayefanya biashara kariakoo mwenye asili ya India , ainunue Bank -M, (Kama kiini macho, maana kashafirisika, wanataka kutumia jina lake tu , ila lengo ni Kikwete Abdul na mama yake kwa sasa wafanye uwekezaji wa pesa kwa viongozi baadhi wa Chadema kupitia mpango wa kuivuruga.

wamefanya Hivo kupata Bank M kama taasisi ya pesa yenye leseni iliyofilisika , watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.

Itakuwa bank ya kihuni ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi walizoficha nje na wanazoendelea kupora ,Wanatengeneza hii njama ma baadhi ya viongozi wa Chadema watapewa shares kwenye huu Ufisadi (vingozi hao tawataja tuna verify kwanza )

Britanicca
Acha kuishi kwa hisia potofu na kudhalilisha watu bila uhakika, Kikwete mzee wa watu alishawaachia nchi tangia 2015 bado unamwaza? Kwanza siyo size yako kafanye kazi halali siyo huo upotoshaji na uwongo
 
Iko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote

Pili Kikwete ameharibu sana nchi hii,

Wamemu approach Firoz Bayi anayefanya biashara kariakoo mwenye asili ya India , ainunue Bank -M, (Kama kiini macho, maana kashafirisika, wanataka kutumia jina lake tu , ila lengo ni Kikwete Abdul na mama yake kwa sasa wafanye uwekezaji wa pesa kwa viongozi baadhi wa Chadema kupitia mpango wa kuivuruga.

wamefanya Hivo kupata Bank M kama taasisi ya pesa yenye leseni iliyofilisika , watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.

Itakuwa bank ya kihuni ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi walizoficha nje na wanazoendelea kupora ,Wanatengeneza hii njama ma baadhi ya viongozi wa Chadema watapewa shares kwenye huu Ufisadi (vingozi hao tawataja tuna verify kwanza )

Britanicca
Duh 🙄 ! 😳
 
Hii taarifa mnatueleza sisi wachoma mahindi na wauza supu ya pweza ili tufanye Nini?? Kwetu ni kama umbea tu!
Mpo kwenye positions za kuchukua hatua badala ya kuchukua hatua mnageuka wasambaza umbea.
Jk ameharibu nchi ndio sasa sisi walala hoi ndo tutamtoa asiendelee kuharibu nchi !
Mpaka unapata hizi taarifa it means upo katika position flani ya kuwa na access na hivi taarifa sadly umegeuka mpiga umbea tu years and years!

Acha kupiga umbea miaka na miaka take actions , wewe handlers wako kaeni chini muwe na mkakati how to put the man down na si huu umbea wa Kila siku.
Kenge nyinyi!!!
You can say that again and again !
👍🙌
Uko sahihi 💯 % ✅
 
Iko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote

Pili Kikwete ameharibu sana nchi hii,

Wamemu approach Firoz Bayi anayefanya biashara kariakoo mwenye asili ya India , ainunue Bank -M, (Kama kiini macho, maana kashafirisika, wanataka kutumia jina lake tu , ila lengo ni Kikwete Abdul na mama yake kwa sasa wafanye uwekezaji wa pesa kwa viongozi baadhi wa Chadema kupitia mpango wa kuivuruga.

wamefanya Hivo kupata Bank M kama taasisi ya pesa yenye leseni iliyofilisika , watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.

Itakuwa bank ya kihuni ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi walizoficha nje na wanazoendelea kupora ,Wanatengeneza hii njama ma baadhi ya viongozi wa Chadema watapewa shares kwenye huu Ufisadi (vingozi hao tawataja tuna verify kwanza )

Britanicca
Bank M imewatajirisha matajiri wengi sana Tanzania, mikopo yao ni mikubwa mikubwa tu na sifa ya matajiri wakikopa kwenye hii Bank hawalipi ? Hizi hela huwa zinatoka wapi ?
 
Kwahiyo haya sisi tumeyajua ila wazungu wasijue?😁😁😁 .....wakuu kila kinachofanyika nchini kwetu huko duniani kinajulikana 100% hatuna akili ya kumkwepa mzungu sisi
Wapi nimesema wazungu hawakujua?
 
Back
Top Bottom