britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
- #21
So woteSasa mmeniamini ninaposemaga kuwa kila Kiongozi wa Chadema ana "price tag"! Kufikwa bei ni suala la muda tu.

Iko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote
Pili Kikwete ameharibu sana nchi hii,
Wamemu approach Firoz Bayi anayefanya biashara kariakoo mwenye asili ya India , ainunue Bank -M, (Kama kiini macho, maana kashafirisika, wanataka kutumia jina lake tu , ila lengo ni Kikwete Abdul na mama yake kwa sasa wafanye uwekezaji wa pesa kwa viongozi baadhi wa Chadema kupitia mpango wa kuivuruga.
wamefanya Hivo kupata Bank M kama taasisi ya pesa yenye leseni iliyofilisika , watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.
Itakuwa bank ya kihuni ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi walizoficha nje na wanazoendelea kupora ,Wanatengeneza hii njama ma baadhi ya viongozi wa Chadema watapewa shares kwenye huu Ufisadi (vingozi hao tawataja tuna verify kwanza )
Britanicca
Nabii aliposema mwaka jana naenda kupumzika alikuwa kashakuja 2B zake huyooo kaishia ughaibuni.Mchagga mwenzako Lema hakosi humo, hela kwanza mengine baadae
Iko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote
Pili Kikwete ameharibu sana nchi hii,
Wamemu approach Firoz Bayi anayefanya biashara kariakoo mwenye asili ya India , ainunue Bank -M, (Kama kiini macho, maana kashafirisika, wanataka kutumia jina lake tu , ila lengo ni Kikwete Abdul na mama yake kwa sasa wafanye uwekezaji wa pesa kwa viongozi baadhi wa Chadema kupitia mpango wa kuivuruga.
wamefanya Hivo kupata Bank M kama taasisi ya pesa yenye leseni iliyofilisika , watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.
Itakuwa bank ya kihuni ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi walizoficha nje na wanazoendelea kupora ,Wanatengeneza hii njama ma baadhi ya viongozi wa Chadema watapewa shares kwenye huu Ufisadi (vingozi hao tawataja tuna verify kwanza )
Britanicca
Hakuna mfanyabiashara wa Kariakoo anayeitwa Firoz Bayi ambaye ana uwezo au anatafutwa kuinunua benki hiyo. Muundo wa hisa wa Bank M kabla ya kufungwa ulikuwa unajulikana wazi (ukiwajumuisha wawekezaji kama Vimal Mehta, Equity & Allied, na wengineo), na kwa sasa kila kitu kiko chini ya Azania Bank, ambayo inamilikiwa kwa kiasi kikubwa na mifuko ya umma ya hifadhi ya jamii kama PSSSF na NSSFCRDB,NMB,Akiba benk na selicom hii ndio itafuta deni la taifa
Bank M haipo kwenye orodha ya benki zinazouzwa kwa sababu mchakato wake ulishafungwa kisheria miaka mingi iliyopita. Mnamo Januari 2019, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilifuta kabisa leseni ya Bank M na kuhamishia mali na madeni yake yote kwenda Azania Bank. Kisheria na kiutendaji, "Bank M" haipo tena kama taasisi, haina leseni, na haiwezi kufufuliwa wala kuuzwa kwa mtu yeyote.Wanakusanya Kodi kwa mitutu Kisha wanazitumia lipumbavu
Kwa Tanzania kila kitu kinawezekana. Mara ngapi viongozi wamevunja sheria wazi wazi na hakuna anayejali. Hayo mambo yakusema ilifutwa kisheria ni kwenye makaratasi tu. CCM ikiamua kupindisjha sheria wewe mwenyewe utaanza kussaportBank M haipo kwenye orodha ya benki zinazouzwa kwa sababu mchakato wake ulishafungwa kisheria miaka mingi iliyopita. Mnamo Januari 2019, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilifuta kabisa leseni ya Bank M na kuhamishia mali na madeni yake yote kwenda Azania Bank. Kisheria na kiutendaji, "Bank M" haipo tena kama taasisi, haina leseni, na haiwezi kufufuliwa wala kuuzwa kwa mtu yeyote.
britanicca kama huna taarifa kaa kimya soma mada za wenzio, acha kuandika uzushi. Unadhalilisha Jukwa la JF
JWTZ ni machoko tu hakuna lolote wawezalo kufanya, they're toothless and weak.JWTZ wanakodoa macho tu.
Unaweza kuona kama wana chuki nao ila hawa jamaa ndio waliommaliza YM na kuchukua tigo na salamanda.Ipo siku mtu kutokana na ulaji mbovu, tumbo likimuuma atailaumu familia ya Jk kwa kuumwa tumbo.
Very stupid mindset in the making
Mimi nai encourage watu kutumia njia yoyote iliyo mbele yao kufikia ndoto au malengo yao as long as wanaweza kujitetea likitokea la kutokea maana lazima litatokea.Unaweza kuona kama wana chuki nao ila hawa jamaa ndio waliommaliza YM na kuchukua tigo na salamanda.
Pia kule mbagala wamechukua eneo la jeshi wameweka ICD.
Binafsi sina chuki kwa yule aliyefanikiwa kwa uwezo wake sio kuiba na kufisadi taifa.