britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Kabla ya kufilisika hiyo Bank ilikua inatakatisha pesa., kipindi cha Msoga.Iko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote
Pili Kikwete ameharibu sana nchi hii,
Wamemu approach Firoz Bayi anayefanya biashara kariakoo mwenye asili ya India , ainunue Bank -M, (Kama kiini macho, maana kashafirisika, wanataka kutumia jina lake tu , ila lengo ni Kikwete Abdul na mama yake kwa sasa wafanye uwekezaji wa pesa kwa viongozi baadhi wa Chadema kupitia mpango wa kuivuruga.
wamefanya Hivo kupata Bank M kama taasisi ya pesa yenye leseni iliyofilisika , watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.
Itakuwa bank ya kihuni ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi walizoficha nje na wanazoendelea kupora ,Wanatengeneza hii njama ma baadhi ya viongozi wa Chadema watapewa shares kwenye huu Ufisadi (vingozi hao tawataja tuna verify kwanza )
Britanicca
ExactlyKabla ya kufilisika hiyo Bank ilikua inatakatisha pesa., kipindi cha Msoga.
Itakua ni kuendelea walipoishia.
Tumia neno orodha badala ya list,list ni neno la kiingerezaIko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote
Pili Kikwete ameharibu sana nchi hii,
Wamemu approach Firoz Bayi anayefanya biashara kariakoo mwenye asili ya India , ainunue Bank -M, (Kama kiini macho, maana kashafirisika, wanataka kutumia jina lake tu , ila lengo ni Kikwete Abdul na mama yake kwa sasa wafanye uwekezaji wa pesa kwa viongozi baadhi wa Chadema kupitia mpango wa kuivuruga.
wamefanya Hivo kupata Bank M kama taasisi ya pesa yenye leseni iliyofilisika , watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.
Itakuwa bank ya kihuni ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi walizoficha nje na wanazoendelea kupora ,Wanatengeneza hii njama ma baadhi ya viongozi wa Chadema watapewa shares kwenye huu Ufisadi (vingozi hao tawataja tuna verify kwanza )
Britanicca
Oya mnaendelea kufilisi nchi tu na maushungi na misijdah yenu kwenye paji zenu nyeusi.Tumia neno orodha badala ya list,list ni neno la kiingereza
Na siyo bank ni benki😀😀 muelimishe nyumbu huyoTumia neno orodha badala ya list,list ni neno la kiingereza
Yaani uchawa ni laanaNa siyo bank ni benki😀😀 muelimishe nyumbu huyo
Mchagga mwenzako Lema hakosi humo, hela kwanza mengine baadaeSeat ya mbele. Nataka kuvunja record ya Joseverest aliyojiwekea 2017 na kuwa JF person of the year 2017.
Sasa mmeniamini ninaposemaga kuwa kila Kiongozi wa Chadema ana "price tag"! Kufikwa bei ni suala la muda tu.Iko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote