Bar Maids wa Kisuma Bar Magomeni njaa kali

Anaakili sana na mahesabu mazuri,

Msome mshana JR ndio utaelewa zaidi👇
Endelea hapa: Wahudumu wa bar wengi wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi
 
Cha ajabu nini hapo!.
Hiyo Hennessy ya laki tatu muhudumu kachukua 270 yake safi kaunta.
Nyie wenye kiburi cha fedha ndio wanawapenda!
Kwa hiyo dogo anamkomoa mhudumu!
Hahahahah.
😀😀😀
 
Kwani akiagiza hizo windhoek ndo anakunywa.. hizo zinarudi counter braza anapewa hela zake
 
Serikali yako inategemea hayo mataputapu kwa kodi za maendeleo. Ila umenena vyema wenye haya mamisambwanda wengi hawana akili.

Ni bia zilizotengenezwa kwa viwango vya juu sana acha zako wewe.
Mimi mwenyewe nakunywa hizo (mataputapu). Hapo nimemaanisha kuwa wanawake wa siku hizi wanajiona viwango sana kiasi kwamba kunywa local beers kwao ni kama kunywa gongo au banana.
 
 
Mkubwa, labda nikufahamishe kidogo, huyu dogo alpata shavu kazini akaenda mahali akawa anaandika 80000 per day na alikaa huko kwa muda wa miezi mitatu na siku ishirin siku anatoka akapewa mzigo wake kama ulivyo mixer mshahara wa miezi mitatu ukizingatia ni ajira mpya hana mke wala mtoto so alikuwa na pesa nyingi isiyo na kazi. Kitendo cha kununua hiyo hennessy kwake ilikuwa ni Sawa na kununua sandle za 50k

hiyo 3k unamaanisha laki tatu?
Namaanisha 3000 mkuu,
 
Acha ushamba, ofa Haimanaishi anywe hapo hapo wana familia na wanategewa hao,
Mimi mwenyewe ni. Mwanamke ila Bar nikikaa lazima mdada nimpe ofa,
Hao wadada huwa nawaheshimu sana

 
Wee jamaa acha uongo wee laki tatu HV hata Kama Hana majukumu ndio anateketeze zile pesa zote mbel yako hata wee ukimkopa laki hawezi kukupa sembuza kugwa bia za laki tatu Tena mwa mtu mmoja chai ya asbh hii
 
Nawashangaa hawa wageni wa Mji,hawajui Hizo bia zote Baamedi anaenda “kuzivunja” kazi ikiisha.

Kweli wageni hawaishi mjini,ushamba Mzigo.
Mwenyewe kajiona ana akiiiili!
ni wachache sana huwa wanazinywa live zile bia.....wengi wao wanazivunja hivyo wanaondoka na mpunga wa maana
 
HUKO SAHIHI 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…