Bar Maids wa Kisuma Bar Magomeni njaa kali

Umeingia leo mjini wewe [emoji23][emoji23][emoji23]...town ujanja....hanywi hata moja hapo, anaondoka na pesa yake saafi
Assume anawapiga wajinga jinga kama wewe kumi kwa siku, ana make how much?
Mjini shule mdogo wangu [emoji23]
 
Hao madada hawana tatizo lolote, wanakunywa hivyo kwa sababu wana uhakika wa kuvipata toka kwa wajinga wanaowanunulia

Wewe unapiga hesabu ya chakula, wao chakula tayari washanunuliwa na wajinga wengine, hela ya kusuka, kodi ya nyumba na mahitaji yote mengine wapo walipaji, ndio maana akija wa nyongeza anaamua tu kunywa Heineken
 
Karibu na kituo cha polisi nyuma ya sokoni # SEWA BAR
Umenikumbusha mbali Sana. SEWA BAR ukienda toilet Kuna ka uchochoro kanatokea gesti halafu mbele kidogo Kuna container bar.
Kabla ya kufika toilet kulikua na chumba ambacho kina Giza Giza mchana na hapo ndio Malaya walipokua wanajipanga. Mteja mkware anajifanya anakwenda toilet kufika kwa kile chumba Cha Malaya Ana select mmoja Kisha hao mpaka gesti.
Baada ya muda unamuona mteja anarudi mezani na Malaya anarudi kusubiri mkware mwingine.o
Hiyo gesti imeua watu wengi Sana.
 
Wenye experience zao.
 
Kazi iendelee. Kama ulitaka kujua analipua 7000 walaaaaa. Mwenzako anaichukua baadae. Ndio maana wana maghettho mazuri sana ma bar maid. Wanamaisha yasiyotia huruma mtaani kama kazi yao. Nampongeza dada kajituma sana mpaka kununuliwa bia meza mbili zinafatana. Na hapo kisuma ndugu maskini ulikua peke yako. Hapo wote vibopa wamama kwa wababa. Asante.
 
 
Laki 3??? Akamnunulia bar maid afu akampotezea?
 
Duh! watu wazima hao unawafundisha maisha mkuu..........ukiona wanakula bata wanazo.
 
Laki 3??? Akamnunulia bar maid afu akampotezea?
Kuna siku nilikwenda bar moja huko Kitunda kwa ndugu zangu toka Kanda maarum. Nikamkuta bar maid na kumwambia akaniletee nusu mkia ili tule wote. Tukala wote na ndizi mbili mbili. Kisha nikamuambia kila ukiniletea kinywaji na wewe chukua Cha kwako ukipendacho. Wakati naondoka nikajitia kumpotezea. Aloo nilipewa namba kwa lazima.

Sasa huyu lakhi tatu halafu barmaid akae mbali naye? LABDA Kama sio Dar es salaam hii....
 
Kwa nini uliamua kula nae nusu mkia?🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…