Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Hiyo bar ina sifa mbaya sana.Sio ya kwenda.Wengi wameibiwa hapo.
 
Nishaenda pale tulileta fujoo na wahudumu ...kumbe wanakonekshen hadi na boda boda ...tulivyoenda kuchukua usafir kwao waligoma kutupeleka..kisa walitaka tukabwe pale watuoshe...uzur jamaa wa tex wakaja wakatuchukua....kiukwel picknc na shivaz si sehem salama kabxa ya kwenda...kwaza ikishafika saa sita polic wanaanza kureki..kama unatembea na miguu wanakurusha kwenye tenga lao
 
Dunia inabadilika kwa haraka sana. 2020 ni mbali sana. Unaweza kujaribu kwenda ukakague mazingira upya.
 
Usihukumu kitu usichokijua. Useme tu siyo bar ya watu wa aina yako. Kila kitu kilichopo duniani kipo kwa kuwa kina watu wa aina hiyo. Kuna mahali panapokufaa hapa hapa Arusha, na kuna mahali hapakufai.

Mfano, wewe huwezi kwenda kupanga nyumba ya kuishi mitaa ya aina ya mabilionea. Utaanza kujiona mnyonge na unaonewa kuanzia siku ya kwanza ya kuambiwa pango ni Sh. Milion 3 kwa mwezi kwa nyumba yenye vyumba viwili vya kulala.

Tunapoingia mjini, tujaribu kuuliza kwa wenyeji ni wapi panaendana na hadhi zetu. Tatizo la mwanzisha uzi ni kulazimisha kwenda kila mahali hata baada ya kuonywa. Pale pasipokufaa, ukilazimisha kwenda lazima utarudi unalia.

Huu uzi utakosa maana kama utakuwa ni uzi wa kulalamikia aina ya watu usioendana nao. Hao wanaopenda huko na kuishi huko ni watu tu. Usijilazimishie kuishi nao. Watakunyoosha.
 
Kwa hiyo ulitaja umelize chupa ya Grants ulewe ukaendeshe gari mwisho isababishe ajali uvunje watu miguu? Walikukumbusha tu kunywa kwa kiasi mkuu.
 
Wewe ni kibaka.
 
Kibaka mwingine huyu hapa.
 
Arusha kwa sasa sio.sehemu salama ya kuishi

Kuna unyama na ushenz mwingi Sana Arusha

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu arusha ni miaka yote kumekuwa na matukio ya mara kwa mara umekuwa mkoa wa hatar sana watu kudhuriana awaoni taabu nimeishi sana arusha matukio kila kukicha mara mtu kachomwa kisu yaani hakuna amani arusha
 
Kwani Bar ya Picnic ndio hiyo hiyo Cocoriko? Sisi ambao sio wenyeji wa Arusha umetuchanganya.
Picnic na kokoriko no bar 2 tofauti mkuu.
Ila kweli majuzi nilikuwa hapo AR nilienda hapo sikupapenda kabisa kwani utulivu na usalama ulinitia shaka na machangudoa inaonekana wanatambuliwa rasmi na uongozi wa Bar na wanapewa support nao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…