Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje


Huu ni uongo wa karne ya 22.
 
Kuna incident ikimtokea mtu ana generalize. Nimekuwa nikienda Arusha na Picnic imekuwa sehemu hospitable kwangu.
Sijui nisemeje lakini wizi na utapeli upo kila mahala kwa sasa.
 
Kama mzawa wa Chuga, Picnic ni moja ya Bar chache sana kwa hapo chuga ambazo nlipendelea kula nguchu, ukiagiza mzinga unaletewa na bakuli la limao + la ice bila hata kusema, pia walikuwaga na kautaratibu jioni kila meza wateja wanapatiwa bakuli za karanga + popcorn, bar zingine majina makubwa lakini hawana iyo huduma hata ukiomba uletewe.
Huniambii kitu kuhusu ilo chocho.
 
Kuna incident ikimtokea mtu ana generalize. Nimekuwa nikienda Arusha na Picnic imekuwa sehemu hospitable kwangu.
Sijui nisemeje lakini wizi na utapeli upo kila mahala kwa sasa.
Jamaa kaeleza kitu ambacho sijawahi kusikia kutokea pale.

Kero ya pale na niliwahi ku comment hata kwenye moja ya uzi humu ni kuhusu Wahudumu...kuna wakati unaingia unakuta wamekaa badala wainuke kukutafutia kwa kuketi wanakuangalia tu...kuna wakati unakasirika lakini ukikumbuka huko kwingine wasivyozingatia usafi wa maliawato zao basi unakuwa mpole tu unaketi unakata vitu.

Ni moja ya sehemu wanayojitahidi sana kwa usafi kuanzia Mazingira, Vyoo, Wahudumu n.k.
 
Picnic hawana parking kubwa, halafu dada zetu nao hawapoi pale nje "prostitution"
 
Ww
Ww pale ni sehemu ya malaya , iyo ni kama new shivaz , watakuwa malaya wanashirikiana na wezi ogopa sana
 
Bro wahudumu wale ni malaya wote sema hapo wanajishikiza tu job hawana mafunzo yoyote ya customers service sema kuna usafi sana pale yaani mazingira safi kuliko clubs zote za pale mjini kati kama XO , Pinpoint nk
 
Minahisi meneja kabadilishwa kati ya sehem ilikuwa poa sana ni Picnic kama pamekuwa hivyo naamini uongozi umebadilika. Nilikuwa hapo Arusha kikazi kila siku Picnic ndio ilikuwa sehem yangu ya kupata msosi sikuwahi kuyaona hayo.

Ok, mimi chakula huwa napendelea kujisogeza Mariama Cafe Aroma - Levolosi, wana misosi yenye ladha fulani hivi ya Pwani [emoji39]
 
picnic bar yuko mtaa gani? mi iko na mama Yeyoo huku gari bovu nae anataka kupajua asiibiwe na mijanamke yenu ya kihuni!
 
Aisee nimeibiwa na mhudumu hapa Picnic bar nilikunywa soda akaniambia elfu nikampa 10000 japo simkumbuki lakini cha kushangaza hakurudi kunipa chenji kama mteja nami sikuhangaika nikajua hawa wezi tu nikapotezea kwa maana nilijua nikimwambia bar wataniuliza mhudumu yupi kakuhudumia nisingekuwa na majibu kwa hiyo kuweni makini.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…