Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Unaenda kulewa na gari kama sio kutafuta ajali za kijinga ni nini

Unataka kustarehe Acha gari Hotel uliyofikia au nyumba uliyofikia
La sivyo ni kujitafutia majanga tu au ni show off
Mkuu nilifikia Kijenge Nikaona niende na Ndinga tu Maana Davoo ni Mimi Mwenyewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
blaza hata kama ulikua huna namna ila ulifanya ujinga mkubwa sana, next time be a man
 
blaza hata kama ulikua huna namna ila ulifanya ujinga mkubwa sana, next time be a man
Mkuu kunavitu ni vigumu kuvielewa hadi vikutokee

Huo ni mchongo kuanzia walinzi hadi polisi
Ukienda tu kurepoti pale polisi ndio huipati mazima na mlinzi anakuruka

Kuna mambo tunayona kwenye film tunadhani ni hadithi tu

Watu wanaibiwa vioo vya magari nk ukienda gerezani unauziwa tena kioo chako, ukii involve polisi tu hutakaa ukipate milele
 
Kichwa cha habari cocoriko main topic Picnic unaumwa?
 
Rudi kwenye uzi edit cocoriko weka picnic usiharibu biashara ya mtu
 
acha woga banamdogo,be strong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…