Subiri wakukute uzichezeeacha woga banamdogo,be strong
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri wakukute uzichezeeacha woga banamdogo,be strong
Arifu next time ukija chuga nitafute mdau nikupeleke viwanja vya kistaarabu kabisa at least ukiwa na raia inakuwa full.. juzi kuna bro wamempiga iphone alikuwa anatoka tu bar nje kakutana na hao sijui wana pikipiki wakamweka kati wakamla iphone wakasepa dah wizi sasa hivi ni noma sana tuwe makini sana hali ni mbaya especially at night.Mkuu nilifikia Kijenge Nikaona niende na Ndinga tu Maana Davoo ni Mimi Mwenyewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umeambiwa ni laptop ya ofisi na amepata fursa ya kuinunua tena, kwanini asifanye hivyo? Kumbavu wewehuwez kuelewa mtoto mzuri,
sawa binti yanguUmeambiwa ni laptop ya ofisi na amepata fursa ya kuinunua tena, kwanini asifanye hivyo? Kumbavu wewe
Mkuu nadhani haya mambo yanakua kama yalivyo kwasababu ya mentality kama hizi “sio makosa yao”Pole, mkuu. Unless kuna mahali walisema wanahusika na ulinzi wa magari kwenye hiyo parking, sioni kama ni makosa yao. Sehemu nyingi sana za starehe, unatafuta mlinzi unamwambia akuchekie mtakutana ukitoka. Parking sehemu kama hizo na nyingine nyingi is always at your own risk, goes without saying.
Mkuu nadhani haya mambo yanakua kama yalivyo kwasababu ya mentality kama hizi “sio makosa yao”
Unakuta baa ina walinzi kibao plus mabaunsa wanazungu zunguka tu baa kusubiri ulewe ufanye fujo wakubebe juu kwa juu wakutupe nje
Ni wajibu wa mwenye baa kuhakikisha usalama wa wateja na mali zao ikiwemo magari kuwa salama
Kuna baadhi ya baa kibaka hagusi gari lako nabkuna baa ukiibiwa we washa gari uondoke maana majibu utakayo pewa na uongozi unaweza kurusha ngumi
Haiwezekani kuzuia uhalifu kwa asilimia 100 lakini wenye ma baa wakiamua usalama wa mali za wateja hakuna kibaka anaweza kutia mguu kuvunja gari lakini wakichukulia poa na kubaki at your own risk unawapa nguvu vibaka kufanya kazi zao
Ni parking ngapi unakuta vibao "park at your own risk"? Hivi vitu sio rahisi kama unavyozungumza, mkuu. Unless parking iko ndani ya uzio, ni ngumu sana kuhakikisha usalama wa gari lako.
😂😂Mi nilipigwa laptop mlimani city kwa staili hiyo hiyo
Halafu kwa kupitia walinzi nikainunua tena laptop ile ile ilikua ya ofisi na inavitu muhimu kweli.......... hii dunia yasipo kukuta hutaelewa mtu akikwambia utamuina mjinga
Niliinunua laptop yangu mwenyewe kudadeki
Kama baa imekaa eneo zuri kiusalama unaweza kuweka walinzi, kuna baa walinzi wapo muda wote ukifika au kuondoka watakuja kukusaidia kupaki au kutoa gari
Kuna maeneo sio rafiki parking ipo hovyo na maeneo hatarishi, hapa kuna baa zinatumia ulinzi shirikishi yaani mchawi mpe mtoto akulelee
Hapa mwenye baa anatumia vibaka wa maeneo hayo kama walinzi na anakua anawapa labda laki 2 kila mwezi, na ukifika pale hata huwezi kuwaona wapo zao maskani.... hapo hakuna kibaka atakwapua gari na ikitokea limevunjwa dk sufuri washamjua aliyepiga tukio na unaletewa vitu viliyo ibiwa
Wenye baa wengi hawataki tu kujiongeza sababu hata wakiiba vipi biashara yake anaona inakwenda tu, ila wateja wakianza kumkimbia ndio wanatia akili
Yaan huo ni utumwa sasa,watu tumenunua magari ya kulewea we unasema tuyaache nyumbani kwa hiyo nipande boda au? ambaye naye kalewa.Kifupi mi nikilewa ndo ninacontroo balaa utafikiri gari ametengeneza babanguUnaenda kulewa na gari kama sio kutafuta ajali za kijinga ni nini
Unataka kustarehe Acha gari Hotel uliyofikia au nyumba uliyofikia
La sivyo ni kujitafutia majanga tu au ni show off
Mount Meru Hotel ipo Kijenge?.Siku nyingine maliza mambo yako pale pale maeneo ya Kijenge kuna chimbo moja lipo mkabala na Hotel ya Mount Meru lile chimbo lipo salama sana.
Mbona ndio ipo hivyo, ila kwa mazingira ya Picnic pale ni ngumu kumzuia Mtu kupaki hata kama haingii kwenye Baa yako.Mkuu nadhani haya mambo yanakua kama yalivyo kwasababu ya mentality kama hizi “sio makosa yao”
Unakuta baa ina walinzi kibao plus mabaunsa wanazungu zunguka tu baa kusubiri ulewe ufanye fujo wakubebe juu kwa juu wakutupe nje
Ni wajibu wa mwenye baa kuhakikisha usalama wa wateja na mali zao ikiwemo magari kuwa salama
Kuna baadhi ya baa kibaka hagusi gari lako nabkuna baa ukiibiwa we washa gari uondoke maana majibu utakayo pewa na uongozi unaweza kurusha ngumi
Haiwezekani kuzuia uhalifu kwa asilimia 100 lakini wenye ma baa wakiamua usalama wa mali za wateja hakuna kibaka anaweza kutia mguu kuvunja gari lakini wakichukulia poa na kubaki at your own risk unawapa nguvu vibaka kufanya kazi zao
Yaan huo ni utumwa sasa,watu tumenunua magari ya kulewea we unasema tuyaache nyumbani kwa hiyo nipande boda au? ambaye naye kalewa.Kifupi mi nikilewa ndo ninacontroo balaa utafikiri gari ametengeneza babangu
Wakati Huo Nimepaki Gari nje,