Bar zilizofungiwa zatakiwa kulipa Faini Milioni Tano 5M kila moja ili ziruhisiwe kufanya biashara

- Kuhusu nemc kuwa na ofisi kwenye local gvt, ukienda halmashauri utakuta Kuna City Environment management officers, municipal environment management officers, hao ndio kazi yao hadi kudhibiti mitetemo na sauti
-
 
  • Mkuu, umeleta hoja nzuri lakini Kuna mambo unachanganya, hapo NEMC wanasimamia Sheria za Mazingira, mambo ya kuhusu Kodi ni TRA, na kimsingi huwezi kusema TRA kuwa umeshindwa kulipa Kodi kutokana na ulifungiwa biashara Kwa kipindi Fulani na NEMC
  • Kanuni za Kudhibiti mitetemo na Sauti za NEMC zinasema kwamba Kama hujarudhishwa na Uamuzi wa NEMC unatakiwa kukata rufaa Kwa Waziri wa Mazingira, na usiporidhishwa na Waziri wa Mazingira,unakata rufaa kwenda Baraza la Rufaa za Mazingira yaani Environment Appeal Tribunal
 
  • Mkuu, umeleta hoja nzuri lakini Kuna mambo unachanganya, hapo NEMC wanasimamia Sheria za Mazingira, mambo ya kuhusu Kodi ni TRA, na kimsingi huwezi kusema TRA kuwa umeshindwa kulipa Kodi kutokana na ulifungiwa biashara Kwa kipindi Fulani na NEMC
  • Kanuni za Kudhibiti mitetemo na Sauti za NEMC zinasema kwamba Kama hujarudhishwa na Uamuzi wa NEMC unatakiwa kukata rufaa Kwa Waziri wa Mazingira, na usiporidhishwa na Waziri wa Mazingira,unakata rufaa kwenda Baraza la Rufaa za Mazingira yaani Environment Appeal Tribunal
 
Hahaaa!!inaonekana hata huna ufahamu na kitu ulichokindika,biashara yoyote rasmi husimamiwa na sheria husika,(leseni)kuna kuwa na utaratibu wote unaotakiwa kuufuata wewe mwenye leseni,mfano leseni za bar zinasema bar itatakiwa kufunguliwa saa 12 jioni,na kufungwa saa 5/6 usiku,na kusiwe na kelele ambazo ni kero kwa majirani.SASA UMEKIUKA MASHARTI YA LESENI YAKO,HAPO UKIFUNGIWA ,UNA UTETEZI GANI WA KISHERIA?
Na wengi waliofungiwa sio mala yao ya kwanza kuonywa,.kuhusu muda wa kufunga hapo huwa ni biashara nzuri kwa polisi,kwani leseni za bar zinasema mwisho wa kufunga ni saa tano au saa sita usiku kwa siku za weekend,lakini ni bar chache zinazofuata sheria hiyo.Hapo ndipo polisi wa doria huzifanya kama Sacco's zao!!
 
Heee!!hebu kasome vizuri sheria za NEMC,yaani bwana afya tu anaweza kufunga bar sembuse nemc?!!Wao sheria ina waruhusu kufunga bar kwa kuizungushia utepe,kwa muda hadi hapo utakapolipa faini uliyotozwa,na sio kukufutia leseni kwani anayeweza kukufutia leseni ni yule tu aliyeitoa.Japo kwa kuwa zote hizo ni mamlaka za serikali NEMC akikupeleka kwa kosa la kelele,huwezi toka kwani hata kwenye leseni yako umeandikiwa.Ndio maana kwa mala ya kwanza wanakupa ONYO tu!!kuhusu kupima inaonekana hufahamu jinsi wsnavyokuja na kupata ushahidi??wakifika wana mtafuta meneja au kiongozi wa hapo,wanapima na wewe unaona kisha kuna fomu unapewa kuisaini kama ushahidi endapo sauti ni ya juu kuliko kawaida.
 
NEMC hawatoi Leseni ya biashara, kwa hiyo sio sahihi kwa wao kusema wanafungia biashara
Mkuu taasisi za umma kuna mahali zinaingiliana kiutaratibu na kutegemeana, usije kujichanganya / kujidanganya hawawezi
 
Jamaa anajitekenya na kucheka mwenyewe. Sema tu walikuwa wanachukulia poa ila wakikaza hakuna bar itayofunguliwa hata uwe na leseni ya miaka mitatu mbele kama ipo
 
Mnapodai katiba mpya , na mzitetee sheria na kanuni pia.

Kama faini ni kwa mujibu wa sheria tatizo liko wapi?
 
Haya ndio mambo ya hadithi za ‘pwagu na paguzi’.

Uwezi fungua biashara ya bar bila ya kibali cha halmashauri na kibali cha kupiga mzika.

Sasa hamshauri kama serikali ya mtaa lazima ijue kabla ya kutoa hiko kibali cha mziki hapo mahala ni residential area.

Kama wametoa kibali kwenye residential area kuna measures gani za sound proof ili usisumbue watu. Wao awazingatii hayo kwenye kutoa vibali (nina uhakika nikiitafuta sheria husika hilo takwa lipo) ndio linaloipa mamlaka ‘NEMC’ kufungia hizo bar

Sasa kwa uzembe wa halmashauri bila ya kuwaambia wawekezaji masharti ya sound proof na utoaji wao wa vibali hovyo kwenye residential areas; lawama anapewa NEMC kama taasisi yenye policing powers ya hizo sheria.

Afadhali zama za wale hakina Nyerere, walikuwa wachache kwa hivyo walikuwa ndio hao hao lazima kuongoza nchi.

Bila ya diaspora hapo kwenda sambamba na fikra za ulimwengu kwenye reasonability na uelewa hakuna shughuli.

Kuna vijana wengi sana nje ya system, wanawaona vijana waliopo madarakani na sehemu ambazo sensitive serikalini; uwezo wa kufikiria ata kwenye kutatua changamoto ndogo ndogo kama hizi ni mdogo sana.

Ndio ukweli, my god to think; those are the people expected to drive the country forwards in a competitive global economy. That’s beyond me.

Ni kwamba hao vijana hawana uwezo, na uelewa wao wa maswala ya siasa ni zero. Hawajapikwa kabisa kwenye uelewa on what is politics.

Kwa kifupi Tanzania ni chi ya ovyo; ndio maana ikawa maskini. Kila kitu ovyo
 
Milioni tano ni mzigo mkubwa mno unaoweza kusababisha baadhi yao kuzifunga moja kwa moja.
Biashara yenyewe ngumu sana kwa sasa.
 
- Kuhusu nemc kuwa na ofisi kwenye local gvt, ukienda halmashauri utakuta Kuna City Environment management officers, municipal environment management officers, hao ndio kazi yao hadi kudhibiti mitetemo na sauti
-
Asante kwa taarifa. Lakini huko kwenye ofisi za mitaa na vitongoji, ukiwapelekea taarifa ya kelele mtaani hata kwa kuonyesha ushahidi, hawana utaratibu ulio wazi wa kumdhibiti mharifu zaidi ya kumtishia Police na kesi kumalizwa kiani kwa makubaliano na faini zisizo rasmi.
 
Nchi ngumu sana hii hizo faini wangeambiwa wao walipe wangeweza kweli hivi viwango vya faini vya NEMC na zile kodi za magari TRA ni upuuzi mtupu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…