Road Traffic Signal
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 621
- 1,958
Unaweza kuonesha mkwara kwenye comment yangu?Acha mikwara boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuonesha mkwara kwenye comment yangu?Acha mikwara boss
NEMC hawatoi Leseni ya biashara, kwa hiyo sio sahihi kwa wao kusema wanafungia biashara
- Kuhusu nemc kuwa na ofisi kwenye local gvt, ukienda halmashauri utakuta Kuna City Environment management officers, municipal environment management officers, hao ndio kazi yao hadi kudhibiti mitetemo na sautiHivi utafiti gani huo uliofanyika na kubaini kuwa kupiga mziki kwa sauti kubwa ndio unaovuta wateja? nijuavyo mimi kinyume chake ni sahihi kwa sababu wakati huo muziki unakuwa kama tiba. Unywaji wa pombe na vichangamshi vingine vinapovuka kiwango ndipo watu wanaposhindwa kusikilizana na kudai muziki uongezwe sauti.
Shillingi millioni moja kwa wasumbufu hawa wenye kiburi na dharau kwa wengine wasiopenda makeleie, naona ni ndogo sana. Hiki kinaweza kuwa chanzo kizuri cha mapato ya serikali, Million ishirini ingewafaa sana, waliofungiwa na masharti ya kupata leseni yawe magumu zaidi kwa wote wanaotumia vyombo vya muziki kwenye biashara zao mfano, Makanisa, misikiti, baa, kumbi za harusi, boda boda na magari ya matangazo na promosheni.
1. Ningeshauri NEMC mamlaka yake na utendaji vihamishiwe kwenye ngazi ya Serikali za mitaa, wawe na ofisi zao kwenye halmashauri za miji vijiji na katani.
2. Vibali vitolewe kwa atakayekidhi masharti mapya magumu yanayozuia uzalishaji wa kelele zilizopitiliza hasa kwenye makazi wa watu.
3. Ujenzi wa kumbi za starehe, baa, misikiti makanisa wamiliki wapewe elimu juu ya athali za kelele mtaani, ikibidi walazimishwe kufunga vidhibiti sauti kama hawawezi kuendesha shughuli zao kwa kiwango cha sauti kinacho kubalika.
4. Kwa kuwa Tatizo la kelele mitaani ni kubwa na wazalishaji wa kelele wanajua hawawezi kuadhibiwa kwa kisingizio cha kulipa kodi au kuajiri wafanyakazi, nashauri vibali vya biashara zote zinazohusiana na uchafuzi wa mazingira, vitolewe kila baada ya miezi sita hadi mwaka na viwango vyake viwe juu zaidi, kitu kama laki tano hadi million moja kwa kila kibali. Anayekiuka masharti alipe millioni 20 au afungiwe kabisa kufanya biashara hiyo.
Tena faini m10 bora serikali ikombe hela za makanisa yote yenye keleleNa makanisa yenye makelele yafungiwe
Mkuregenzi WA NEMC amezipa siku Kumi na NNE waliofungiwa bar kulipa Faini ya shillingi milioni tano la sivyo watazifutia lesini.
Mtumishi huyo WA umma ameyasema hayo Leo wakati akitoa taarifa Kwa vyombo vya habari. Hali hii inazidi kuonyesha namna ilivyo ngumu kufanya biashara Tanzania na ilivyo ngumu Kwa sekta binafsi kutoboa.
Wakati akitoa kauli hii hakuna sehemu alipoweza kufafanua
1. Waajiriwa katika bar hizi wataishi vipi?
2. Mapato ya bar husika Kwa mwezi ni kiasi gani?
3. Milioni tano akiambiwa yeye alipe anao uwezo wa kulipa?
4. Anapopanga kuzifutia leseni Kodi inayopotea itapatikana Kwa njia gani
5. Waliolipa Kodi ya biashara kwenye hizo bar mfano wenye leseni ya chakula ndani ya bar hizo ambao NI tofauti na mmiliki WA bar anaathirika vipi?
6. Serikali ikigikishwa mahamani na kudaiwa fidia Kwa hasara alizosababisha atalipa yeye?
7. Wakati wa ufungaji WA bar husika watu wa NEMC awakuweza kukusanya ushahidi WA makosa yaliyotendwa, je serikali ikitakiwa kuthibitisha hayo ataweza kulisaidia Taifa?
8. Nani aliyetoa leseni ya hizi biashara? Nini mtizamo WA taasisi nyingine?
Haya na mengine yalipaswa kutangulia faini lakini Kwa kuwa mfumo uliopo unatamani wanaojitegemea wasifanikiwe na wanaoiba kama walivyotajwa kwenye ripoti ya CAG wafanikiwe basi ..........
Matokeo yake Kwa mambo haya hakuna mchina wala muhindi wala hata mbongo serious ataweka pesa zake Tanzania ; wote watazitorosha kwenda kuzihifadhi nje.
Taifa langu Tanzania mnavyowatesa Watanzania sidhani kama mnaweza kuzitesa biashara za mabeberu hivi.......
Ikivuma Sana inakaribia kupasuka

Bar zetu hunters kinondoni,Hugo pale
Kulikuwa na utulivu sana watu mkikaa na kunywa mnasikilizana,ila bar za sahv ukienda kuongea na sim tu kipengele [emoji1]
Ova
Hahaaa!!inaonekana hata huna ufahamu na kitu ulichokindika,biashara yoyote rasmi husimamiwa na sheria husika,(leseni)kuna kuwa na utaratibu wote unaotakiwa kuufuata wewe mwenye leseni,mfano leseni za bar zinasema bar itatakiwa kufunguliwa saa 12 jioni,na kufungwa saa 5/6 usiku,na kusiwe na kelele ambazo ni kero kwa majirani.SASA UMEKIUKA MASHARTI YA LESENI YAKO,HAPO UKIFUNGIWA ,UNA UTETEZI GANI WA KISHERIA?Mkuregenzi WA NEMC amezipa siku Kumi na NNE waliofungiwa bar kulipa Faini ya shillingi milioni tano la sivyo watazifutia lesini.
Mtumishi huyo WA umma ameyasema hayo Leo wakati akitoa taarifa Kwa vyombo vya habari. Hali hii inazidi kuonyesha namna ilivyo ngumu kufanya biashara Tanzania na ilivyo ngumu Kwa sekta binafsi kutoboa.
Wakati akitoa kauli hii hakuna sehemu alipoweza kufafanua
1. Waajiriwa katika bar hizi wataishi vipi?
2. Mapato ya bar husika Kwa mwezi ni kiasi gani?
3. Milioni tano akiambiwa yeye alipe anao uwezo wa kulipa?
4. Anapopanga kuzifutia leseni Kodi inayopotea itapatikana Kwa njia gani
5. Waliolipa Kodi ya biashara kwenye hizo bar mfano wenye leseni ya chakula ndani ya bar hizo ambao NI tofauti na mmiliki WA bar anaathirika vipi?
6. Serikali ikigikishwa mahamani na kudaiwa fidia Kwa hasara alizosababisha atalipa yeye?
7. Wakati wa ufungaji WA bar husika watu wa NEMC awakuweza kukusanya ushahidi WA makosa yaliyotendwa, je serikali ikitakiwa kuthibitisha hayo ataweza kulisaidia Taifa?
8. Nani aliyetoa leseni ya hizi biashara? Nini mtizamo WA taasisi nyingine?
Haya na mengine yalipaswa kutangulia faini lakini Kwa kuwa mfumo uliopo unatamani wanaojitegemea wasifanikiwe na wanaoiba kama walivyotajwa kwenye ripoti ya CAG wafanikiwe basi ..........
Matokeo yake Kwa mambo haya hakuna mchina wala muhindi wala hata mbongo serious ataweka pesa zake Tanzania ; wote watazitorosha kwenda kuzihifadhi nje.
Taifa langu Tanzania mnavyowatesa Watanzania sidhani kama mnaweza kuzitesa biashara za mabeberu hivi.......
Ikivuma Sana inakaribia kupasuka
Heee!!hebu kasome vizuri sheria za NEMC,yaani bwana afya tu anaweza kufunga bar sembuse nemc?!!Wao sheria ina waruhusu kufunga bar kwa kuizungushia utepe,kwa muda hadi hapo utakapolipa faini uliyotozwa,na sio kukufutia leseni kwani anayeweza kukufutia leseni ni yule tu aliyeitoa.Japo kwa kuwa zote hizo ni mamlaka za serikali NEMC akikupeleka kwa kosa la kelele,huwezi toka kwani hata kwenye leseni yako umeandikiwa.Ndio maana kwa mala ya kwanza wanakupa ONYO tu!!kuhusu kupima inaonekana hufahamu jinsi wsnavyokuja na kupata ushahidi??wakifika wana mtafuta meneja au kiongozi wa hapo,wanapima na wewe unaona kisha kuna fomu unapewa kuisaini kama ushahidi endapo sauti ni ya juu kuliko kawaida.Ungejua ulizozitaja nazo zimefungiwa ndo ungejua kuna husda katika hili lililofanywa na NEMC.
Hawa NEMC ni wajinga na wapumbavu, eti watafungia leseni, kwa mamlaka gani waliyo nayo? Kwani wao ndo waliotoa hizo leseni??
Hivi nikiwafikisha mahakamani kwa madai, si naweza shinda fidia ya maana? Wanaweza vipi kuproduce ushahidi usiotia shaka kwamba wakati wanafika walikuta bar yangu inapiga muziki kwa kelele iliyozidi desibeli inayoruhusiwa? Ushahidi wao ni wa namna gani?(mfano traffic wao hukuonesha picha ya gari lako likioverspeed) Je wao NEMC watanipa audio iliyokuwa inakuwa played na kiwango cha desibeli, watathibitisha vp mziki huo ulikuwa kwangu na sio bar nyingine? Wakili mzuri nione PM tuyajenge PM, nina hisa kwenye Bar moja maarufu hapa DSM wameifungia
Mkuu taasisi za umma kuna mahali zinaingiliana kiutaratibu na kutegemeana, usije kujichanganya / kujidanganya hawaweziNEMC hawatoi Leseni ya biashara, kwa hiyo sio sahihi kwa wao kusema wanafungia biashara
Jamaa anajitekenya na kucheka mwenyewe. Sema tu walikuwa wanachukulia poa ila wakikaza hakuna bar itayofunguliwa hata uwe na leseni ya miaka mitatu mbele kama ipoHeee!!hebu kasome vizuri sheria za NEMC,yaani bwana afya tu anaweza kufunga bar sembuse nemc?!!Wao sheria ina waruhusu kufunga bar kwa kuizungushia utepe,kwa muda hadi hapo utakapolipa faini uliyotozwa,na sio kukufutia leseni kwani anayeweza kukufutia leseni ni yule tu aliyeitoa.Japo kwa kuwa zote hizo ni mamlaka za serikali NEMC akikupeleka kwa kosa la kelele,huwezi toka kwani hata kwenye leseni yako umeandikiwa.Ndio maana kwa mala ya kwanza wanakupa ONYO tu!!kuhusu kupima inaonekana hufahamu jinsi wsnavyokuja na kupata ushahidi??wakifika wana mtafuta meneja au kiongozi wa hapo,wanapima na wewe unaona kisha kuna fomu unapewa kuisaini kama ushahidi endapo sauti ni ya juu kuliko kawaida.
Leseni za bar huwa ni za miezi sita sita tu.Jamaa anajitekenya na kucheka mwenyewe. Sema tu walikuwa wanachukulia poa ila wakikaza hakuna bar itayofunguliwa hata uwe na leseni ya miaka mitatu mbele kama ipo
Naelewa, nilikuwa natoa kama mfano tuLeseni za bar huwa ni za miezi sita sita tu.
Mnapodai katiba mpya , na mzitetee sheria na kanuni pia.Mkuregenzi WA NEMC amezipa siku Kumi na NNE waliofungiwa bar kulipa Faini ya shillingi milioni tano la sivyo watazifutia lesini.
Mtumishi huyo WA umma ameyasema hayo Leo wakati akitoa taarifa Kwa vyombo vya habari. Hali hii inazidi kuonyesha namna ilivyo ngumu kufanya biashara Tanzania na ilivyo ngumu Kwa sekta binafsi kutoboa.
Wakati akitoa kauli hii hakuna sehemu alipoweza kufafanua
1. Waajiriwa katika bar hizi wataishi vipi?
2. Mapato ya bar husika Kwa mwezi ni kiasi gani?
3. Milioni tano akiambiwa yeye alipe anao uwezo wa kulipa?
4. Anapopanga kuzifutia leseni Kodi inayopotea itapatikana Kwa njia gani
5. Waliolipa Kodi ya biashara kwenye hizo bar mfano wenye leseni ya chakula ndani ya bar hizo ambao NI tofauti na mmiliki WA bar anaathirika vipi?
6. Serikali ikigikishwa mahamani na kudaiwa fidia Kwa hasara alizosababisha atalipa yeye?
7. Wakati wa ufungaji WA bar husika watu wa NEMC awakuweza kukusanya ushahidi WA makosa yaliyotendwa, je serikali ikitakiwa kuthibitisha hayo ataweza kulisaidia Taifa?
8. Nani aliyetoa leseni ya hizi biashara? Nini mtizamo WA taasisi nyingine?
Haya na mengine yalipaswa kutangulia faini lakini Kwa kuwa mfumo uliopo unatamani wanaojitegemea wasifanikiwe na wanaoiba kama walivyotajwa kwenye ripoti ya CAG wafanikiwe basi ..........
Matokeo yake Kwa mambo haya hakuna mchina wala muhindi wala hata mbongo serious ataweka pesa zake Tanzania ; wote watazitorosha kwenda kuzihifadhi nje.
Taifa langu Tanzania mnavyowatesa Watanzania sidhani kama mnaweza kuzitesa biashara za mabeberu hivi.......
Ikivuma Sana inakaribia kupasuka
Kwa hiyo Kama biashara ngumu ndio ukere wengine kwa kelele,?Milioni tano ni mzigo mkubwa mno unaoweza kusababisha baadhi yao kuzifunga moja kwa moja.
Biashara yenyewe ngumu sana kwa sasa.
Asante kwa taarifa. Lakini huko kwenye ofisi za mitaa na vitongoji, ukiwapelekea taarifa ya kelele mtaani hata kwa kuonyesha ushahidi, hawana utaratibu ulio wazi wa kumdhibiti mharifu zaidi ya kumtishia Police na kesi kumalizwa kiani kwa makubaliano na faini zisizo rasmi.- Kuhusu nemc kuwa na ofisi kwenye local gvt, ukienda halmashauri utakuta Kuna City Environment management officers, municipal environment management officers, hao ndio kazi yao hadi kudhibiti mitetemo na sauti
-