Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu hawatatoka patupu hapaLazima kuna watu wamepata mwanya wa kupiga pesa, si bure........waziri aingilie kati kuona ni namna gani hiyo sheria inatumika, vinginevyo kuna kuonea watu kujenga mazingira ya rushwa.
Ndiyo wajifunze kubalance sautiWatu hawatatoka patupu hapa
Nchi inataka kuwa kama kongoKwa sisi waathirika wa kelele tunaona adhabu ni ndogo sana.....yaani ilifika kipindi mtu kulala unavizia...
Yaani mtu inakuwaje unaona kawaida kustarehe kwako kuwe kero Kwa wenzako......??
Hizi adhabu zimechelewa sana......
Watu tunapaswa kuheshimiana....haifai jamii ya watu kuishi kama wanyama wa porini.........
Yani kisa mtu unamadaraka unanyanyasa watu na biashara yao wakati unamkuta yeye kiosk hajawahi fungua, huu ni uhuni, ndo maana majitu ya namna hii ,Rais aliyaita mastupidi, nami nasema stupid,Mkuregenzi WA NEMC amezipa siku Kumi na NNE waliofungiwa bar kulipa Faini ya shillingi milioni tano la sivyo watazifutia lesini.
Mtumishi huyo WA umma ameyasema hayo Leo wakati akitoa taarifa Kwa vyombo vya habari. Hali hii inazidi kuonyesha namna ilivyo ngumu kufanya biashara Tanzania na ilivyo ngumu Kwa sekta binafsi kutoboa.
Wakati akitoa kauli hii hakuna sehemu alipoweza kufafanua
1. Waajiriwa katika bar hizi wataishi vipi?
2. Mapato ya bar husika Kwa mwezi ni kiasi gani?
3. Milioni tano akiambiwa yeye alipe anao uwezo wa kulipa?
4. Anapopanga kuzifutia leseni Kodi inayopotea itapatikana Kwa njia gani
5. Waliolipa Kodi ya biashara kwenye hizo bar mfano wenye leseni ya chakula ndani ya bar hizo ambao NI tofauti na mmiliki WA bar anaathirika vipi?
6. Serikali ikigikishwa mahamani na kudaiwa fidia Kwa hasara alizosababisha atalipa yeye?
7. Wakati wa ufungaji WA bar husika watu wa NEMC awakuweza kukusanya ushahidi WA makosa yaliyotendwa, je serikali ikitakiwa kuthibitisha hayo ataweza kulisaidia Taifa?
8. Nani aliyetoa leseni ya hizi biashara? Nini mtizamo WA taasisi nyingine?
Haya na mengine yalipaswa kutangulia faini lakini Kwa kuwa mfumo uliopo unatamani wanaojitegemea wasifanikiwe na wanaoiba kama walivyotajwa kwenye ripoti ya CAG wafanikiwe basi ..........
Matokeo yake Kwa mambo haya hakuna mchina wala muhindi wala hata mbongo serious ataweka pesa zake Tanzania ; wote watazitorosha kwenda kuzihifadhi nje.
Taifa langu Tanzania mnavyowatesa Watanzania sidhani kama mnaweza kuzitesa biashara za mabeberu hivi.......
Ikivuma Sana inakaribia kupasuka
Bar zetu hunters kinondoni,Hugo paleUswazini kutatulia sasa
Watu wa bar walijisahau sana......yaani mtu ukimfuata kumwambia apunguze sauti anakushushia Matusi.....Nchi inataka kuwa kama kongo
Ova
Haya ni maoni ya wananchi sio NEMC. NEMC ku-impose adhabu kali ni kuonyesha userious wa jambo lenyewe. Unajua wewe huishi chako ni chako au mitaa ya Rain bow ungejua inamaanisha nini.Yani kisa mtu unamadaraka unanyanyasa watu na biashara yao wakati unamkuta yeye kiosk hajawahi fungua, huu ni uhuni, ndo maana majitu ya namna hii ,Rais aliyaita mastupidi, nami nasema stupid,
Watu wanapambana tengeneza ajira kama sector binfsi alafu mtu mmoja kisa ni mkurugenzi wa NEMC ,analeta ustupidi hapa , ndo maana maajari yanawatafuna
Tunataka sasa makanisa yafungwe maana wananchi tumelalamika sana juu ya kelele,Haya ni maoni ya wananchi sio NEMC. NEMC ku-impose adhabu kali ni kuonyesha userious wa jambo lenyewe. Unajua wewe huishi chako ni chako au mitaa ya Rain bow ungejua inamaanisha nini.