Duh kuna watu wamewahi aiseWashua mara nyingi hawapendi kelele , kule viwanja wamepima eka nzima ,hamna hamna nusu eka! Sema Watoto wa mwakitwange Rungwe Hotel na Watoto wa Sarungi wamefuga pori la hatari sana karibu eka 20 kwenda baharini.
Sahihi kabisa watoto hawana hela maana watoto wengi wa matajiri wa zamani shule ilikuwa kituo cha polisi. Hivyo urithi pekee waliobaki nao ni nyumba za wazaziWazee wengi wamefariki. Watoto hawana hela .. nyumba zao wamezigeuza bar. Ama kupangisha kwa waswahili.. mbezi imekuwa uswazi sasa
Sahihi kabisa watoto hawana hela maana watoto wengi wa matajiri wa zamani shule ilikuwa kituo cha polisi. Hivyo urithi pekee waliobaki nao ni nyumba za wazaziWazee wengi wamefariki. Watoto hawana hela .. nyumba zao wamezigeuza bar. Ama kupangisha kwa waswahili.. mbezi imekuwa uswazi sasa
Huko bado hakujaharibika sana ingawa kuna bar mbili tatu zinaanza kuleta uswahili. Lakini hata ulinzi uko juu sana doria ya askari ni kawaida usiku kwa mitaa hiyoWatu wengi wa Oysterbay na Masaki ni wastaarabu sana. Ninatamani kuishi huko siku moja. Huwa ninapita mitaa hiyo nikiwa naenda Coco Beach. Pako kimya sana mpaka raha.
Mkuu wa wilaya kinondoni alikuwa na maono ila alitumbuliwaCoco beach zamani ukitoka kuogelea kuna mabafu maalum
Bado Coco Beach haijapata watu wabunifu waigeuze iwe na mwonekano safi
Ova
Ile beach haitaki mambo mengi wala hautakiwi kuwekewa uzioMkuu wa wilaya kinondoni alikuwa na maono ila alitumbuliwa
Wasipaharibu bhana na biashara za hovyo hovyo, anayependa mambo ya kiswahili aende Tandale au Mbagala afanye utalii asubuhi alafu ikifika jioni arudi zake Oysterbay/Masaki kazi iendelee.Huko bado hakujaharibika sana ingawa kuna bar mbili tatu zinaanza kuleta uswahili. Lakini hata ulinzi uko juu sana doria ya askari ni kawaida usiku kwa mitaa hiyo
Mbweni jkt kuja huku kwenye nyumba za Lugumi hadi kwa marehemu Kijazi bado kuko vizuri mno hakuna fujo.Mbezi Kunduchi ile ya Mwamunyange kwa Lipumba kilongawima ,bahari beach rudy farm kwenda ras kilomoni na mbweni jkt wazimantain hizo sehemu zisije kuwa changanyikeni kama mbezi beach.
Kwanza naunga mkono kauli ya RC mstaafu wa Mwanza kuwa "watu wanywe bia maana bia ni uchumi" Lakini pamoja na hilo siku za karibuni kumeibuka mfululizo wa bar ukanda wa mbezi beach ya chini hali inayopelekea mtaa kukosa utulivu hii imepelekea hata baadhi ya wasanii kuhama mjini sinza na kufata viwanja Mbezi beach.
Ongezeko la bar linaweza kuleta vitendo vya uhalifu, mapaka, madawa ya kulevya na kuharibu sifa ya mtaa. Bar zenyewe zinajaa watoto wa shule za kata wanyoa viduku na vidangaji vya kutoka uswahilini Kawe. Ukiondoa Oysterbay na Masaki mtaa unaofuatia kwa ustaarabu na makazi yenye utulivu ni Mbezi beach ila tunapoelekea sasa utakuwa mtaa wa fujo. Mwanzoni zilianza kumbi za sherehe, sasa hivi bar nani anajua kitakachofuatia?
Mipango miji tupeni jicho pande hizi kuna mitaa itunzwe na kuheshimiwa kama makazi mfano Mbezi beach, Mikocheni, Mbweni na Ununio na mitaa mingine ibaki ya starehe kama Sinza, kinondoni, Tabata n.k.
Baadhi ya bar hizo ni:
Rainbow
Juliana
Kidimbwi
Na nyingine nyingi siwezi taja zote wino utaisha.
Kilongawima ttz miundombinu tuMbweni jkt kuja huku kwenye nyumba za Lugumi hadi kwa marehemu Kijazi bado kuko vizuri mno hakuna fujo.
Ila Kilongawima kwa Lipumba ni swala la muda tu hasa ukizingatia kuna lami ya kutokea mtongani
Kuna mikocheni avocado 777 unaenda kwa lyumba,kama unaenda jeshi golf mitaa ile bab kWasipaharibu bhana na biashara za hovyo hovyo, anayependa mambo ya kiswahili aende Tandale au Mbagala afanye utalii asubuhi alafu ikifika jioni arudi zake Oysterbay/Masaki kazi iendelee.
Mbweni jkt kuja huku kwenye nyumba za Lugumi hadi kwa marehemu Kijazi bado kuko vizuri mno hakuna fujo.
Ila Kilongawima kwa Lipumba ni swala la muda tu hasa ukizingatia kuna lami ya kutokea mtongani
Castle lounge. Ni sehem matata sana pale.Ukitaka sehemu ya utulivu walau uingie pale Kibo Complex juu/club 71.
Hakuna changanyikeni.
MPWA JULIANA KATUWEKENNA NTatizo sehemu hizo zote watoto wanajaa sana
Ova
Niliagiza bucket Juliana...nilikuwa nimekaa karibu na vijana kadhaa karibu ,Ile naangalia pembeni si wakachomoa vinywaji......kweli vijana wa uswahili wanaharibu Sana image ya hizi bar siku hizi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app