halfcastmangi
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 605
- 1,644
Kabla ya kufika Dodoma kuna mikoa iliyopo kaskazini ya Dodoma na baada ya Dodoma kuna mikoa kusini. Ungeitaja mikoa yoteInaitwaga C2C (Cairo to Capetown), sidhani kama inapitia Dsm, kwa Tz inapitia Dom
Kwahiyo ikifika mpaka wa Kenya/Uganda itapaa hewani ije kutua Dodoma.Tanzania
Mbeya, iringa, dodoma.
The Cairo-Cape Town road begins from the port of Alexandria on the Mediterranean Sea, passing through Cairo to Sudan, South Sudan, Ethiopia, Tanzania, Kenya, Zambia, and all the way to South Africa.
Ni kama hii hapa! Watu wanasema inapitia Dar kwenda kufanya nini huko?Huu mradi katika ukanda wa kati njia hii kutoka Cairo mpaka captown utapitia dsr es salaam nomba kujua mikoa mengine.
View attachment 2935801
Hii hapa nimepata nchi itakamo pita.
Arusha, Manyara, Dodoma, iringa, njombe, mbeya na song we. Yote full lamiHuu mradi katika ukanda wa kati njia hii kutoka Cairo mpaka captown utapitia dsr es salaam nomba kujua mikoa mengine.
View attachment 2935801
Hii hapa nimepata nchi itakamo pita.
Sawa kabisa,Kuna watu wanapenda Road trips mkuu, sio kila mtu akipata nafasi ya kusafiri anataka kupanda ndege.
Kwani sio pale clocktower Arusha?Huu mradi katika ukanda wa kati njia hii kutoka Cairo mpaka captown utapitia dsr es salaam nomba kujua mikoa mengine.
View attachment 2935801
Hii hapa nimepata nchi itakamo pita.
🤣 🤣 🤣Usikute Kuna watu wanataka kumsifu mama kuwa kaupiga mwingi
Mkuu Dodoma ipo katikati ya Tanzania, inaingilia mpaka gani na kutokea mpaka gani? Hayo ndio yatakuwa maelezo sahihi.Inaitwaga C2C (Cairo to Capetown), sidhani kama inapitia Dsm, kwa Tz inapitia Dom
Atleast wewe unajua jiografia ya nchi hii. Kuna mwingine humu anasema itapitia Dar😡 . Sijui inapitia Dar kutokea mpaka gani?Kwa hapa tz inatokea Kenya kupitia border ya Namanga Arusha Kisha Babati kondoa dodoma then iringa Mbeya tunduma etc etc
Punguza kuwa mbumbumbu,Watalii wengi sana wanapenda adventures ya kusafiri Kwa gari au treni achilia mbali hao wa specific points.Ndege zipo; meli zipo; why barabara au reli ambazo ni hatarishi? Hapo Sudan utapita? Ethiopia?
Nchi zote maporini kuna kila aina ya vikwazo including hali za hewa za kila namna, machafuko, nk. I don't buy that idea!
Songwe,Mbeya,Iringa,Dodoma,Manyara,Arusha,Kenya.Dom, Moro,Iringa na Mbeya!!
Leo ndiyo nimeamini akili za wanaotumia Jamii forum ni za kikondoo.Hii route ya Tunduma Iringa Dodoma Arusha mpaka mpakani ni ya siku nyingi?Mkuu Dodoma ipo katikati ya Tanzania, inaingilia mpaka gani na kutokea mpaka gani? Hayo ndio yatakuwa maelezo sahihi.
Walipata F ya geography lazima waseme imepita dsm 🤣Ni kama hii hapa! Watu wanasema inapitia Dar kwenda kufanya nini huko?
Barabara Original ni hii hapa 👇Huu mradi katika ukanda wa kati njia hii kutoka Cairo mpaka captown utapitia dsr es salaam nomba kujua mikoa mengine.
View attachment 2935801
Hii hapa nimepata nchi itakamo pita.
..Dodoma-Iringa..Huu mradi katika ukanda wa kati njia hii kutoka Cairo mpaka captown utapitia dsr es salaam nomba kujua mikoa mengine.
View attachment 2935801
Hii hapa nimepata nchi itakamo pita.
Arusha, Manyara, Dodoma, Iringa na Mbeya.Huu mradi katika ukanda wa kati njia hii kutoka Cairo mpaka captown utapitia dsr es salaam nomba kujua mikoa mengine.
View attachment 2935801
Hii hapa nimepata nchi itakamo pita.