Barabara kutoka Cairo Misiri hadi capetown Afrika Kusini, hapa Tanzania inakatisha mikoa ipi?

Barabara kutoka Cairo Misiri hadi capetown Afrika Kusini, hapa Tanzania inakatisha mikoa ipi?

A

Arusha, Manyara, Dodoma, Iringa na Mbeya.
Yeah, kwa Arusha inapitia Namanga. Kutoka Arusha inatakiwa ipite Kwa-Mrombo, Terat, Orkesumet, Kiteto, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tunduma ( Sijui kwa nini haikupitia Kyela badala ya Tunduma) iingie Malawi na kuendelea huko.
 
Ndege zipo; meli zipo; why barabara au reli ambazo ni hatarishi? Hapo Sudan utapita? Ethiopia?

Nchi zote maporini kuna kila aina ya vikwazo including hali za hewa za kila namna, machafuko, nk. I don't buy that idea

Ndege zipo; meli zipo; why barabara au reli ambazo ni hatarishi? Hapo Sudan utapita? Ethiopia?

Nchi zote maporini kuna kila aina ya vikwazo including hali za hewa za kila namna, machafuko, nk. I don't buy that idea!
So what,you mean we must stop our project?nothing is gonna stop our C2C Road.And for your infomation Africa soon is gonna be peacefully.So we gonna travely all over with peace and joy.
 
Back
Top Bottom