Barabara ya Arusha – Holili /Taveta – Voi Road Project kuzinduliwa

Barabara ya Arusha – Holili /Taveta – Voi Road Project kuzinduliwa

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
21 July 2022
Arusha, Tanzania
Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki July 22, 2022 Arusha Tanzania

Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki watakaokutana ktk kikao cha kawaida cha 22 cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuzindua Mradi wa barabara inayounganisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, tukio hilo litafanyika tarehe 22 July 2022 mjini Arusha.

1658397929894.png

Picture courtesy of KBC Kenya EAC Heads of States set for High-level Retreat on EAC Common Market

Mradi huo uliofadhiliwa kwa pamoja baina ya Benki ya Maendeleo Africa AfDB na serikali za Tanzania na Kenya umegharimu dola za kiMarekani US$173.86 million. Inatazamiwa kuwa barabara hiyo itachochea biashara kukua ktk nchi za Afrika Mashariki na ya Kati kwa kupunguza siku magari na malori yanayofanya safari baina ya nchi wanachama wa EAC.

Meanwhile, on the morning of Friday, 22nd July, 2022, the Heads of State are expected to launch the 42.4 km Arusha Bypass Road. The bypass is part of the multinational Arusha – Holili /Taveta – Voi Road Project.

The bypass was co-funded by the African Development Bank (AfDB), the Africa Trade Fund and the Governments the United Republic of Tanzania and Republic of Kenya to the tune of US$173.86 million.

Source: Preparations in high gear for the High-level EAC Heads of State Retreat on the EAC Common Market and 22nd Ordinary Summit of the EAC Heads of State
 
20 July 2022

Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki July 22, 2022 Arusha Tanzania

Mawaziri, makatibu wakuu Wajumbe wa kibiashara na wataalamu waliowasili kutayarisha ajenda za mkutano na kushiriki kikao, wasikitishwa na urasimu unaozuia mazingira rafiki ya kufanya biashara ndani ya nchi wanachama wa EAC.

Mjumbe mmoja wa Burundi ashangaa gharama ya tiketi ya ndege toka Bujumbura Burundi kufika Arusha Tanzania kufikia US$ 1,000 ambayo ni zaidi kuliko kusafiri toka Burundi mpaka Brussels, Belgium Ulaya na kurudi Burundi Africa.

Wajumbe wataka masuala mengi yanayotatiza ufanyajwi biashara, gharama za usafiri, kodi n.k ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yatatuliwe kwa haraka ili raia waishio ktk eneo hili waweze kufanya biashara, kusafiri na pia kuchochea shughuli za uzalishaji za bidhaa za viwanda yashugulikuwe kwa haraka.

Mkutano huo utahudhuriwa na wajumbe zaidi ya 300 na unafanyika katika jumba la mikutano la kimataifa AICC jijini Arusha Tanzania. Wajumbe hao wanatoka nchi 7 wanachama wa EAC ambao ni Burundi, DR Congo, Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania, Uganda na wadau wengine wa kimataifa.


Barriers hindering the attainment of regional integration of the EAC



A high-level delegation of ministers, permanent secretaries and business people in the East African Community member states are meeting in Arusha, Tanzania to discuss how to strengthen the gains and look into the challenges hindering the progress of attaining the common market protocol. The outcome of the meeting will inform the heads of state on the steps to take in order to unlock the barriers still affecting the free movement of goods, services and people. The heads of state summit will be held at the EAC headquarters tomorrow
Source : NTV Uganda
 
19 July 2022
Arusha, Tanzania

MKUTANO WA 22 WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUFANYIKA ARUSHA​



Posted On: July 19th, 2022
Mkoa wa Arusha unatarajia kuwa mwenyeki wa Mkutano wa kawaida wa 22 wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaotajiwa kufanyika tarehe 22, Julai,2022 katika ofisi za Jumuiya huo.

Katika Mkutano huo nchi ya Jamhuri wa watu wa Kongo (DRC) itashikiri katika Mkutano huo ikiwa ni mara ya kwanza kushiriki tokea ijiunge na Umoja huo.

Marais 7 wanatarajiwa kushiriki mkutano huo wakiongozwa na mwenyewe wao Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan ambae anatarajiwa kuwasili Mkoani Arusha hapo kesho tarehe 20 Julai,2022.

Aidha, wakuu hao wa nchi wanachama watazindua Barabara ya Afrika Mashariki ( By Pass) siku hiyo ya Tarehe 22 Julai,2022
Source : MKUTANO WA 22 WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUFANYIKA ARUSHA
 

20 July 2022​

Waziri Mkenda ampokea Waziri Ofisi ya Rais wa Sudan Kusini, Dkt.Benjamin​

NA DIRAMAKINI

WAZIRI wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia, Mhe. Prof Adolf Mkenda (Mb) leo Julai 20, 2022 amempokea Waziri Ofisi ya Rais wa Sudan Kusini. Mhe. Dkt Barnaba Marial Benjamin katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).


Dkt.Barnaba amewasili nchini kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Sudan Kusini, Mhe. Salva Kiir kwenye Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika kuanzia tarehe 21-22 Julai 2022 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano-AICC jijini Arusha
Source : Waziri Mkenda ampokea Waziri Ofisi ya Rais wa Sudan Kusini, Dkt.Benjamin
 
Barabara hii iliwekewa jiwe la msingi na hayati Magufuli
Acha uongo ni Mradi ulizinduliwa Kikwete huo


 
Kweli nimeamini kuwa JamiiForums ni mtandao wa habari za uhakika nambari moja, ulio na vyanzo na maktaba za habari zilizopita ili kuweka kumbukumbu sawa.

Maana wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ya Tanzania tovuti yake haipo sawa / hewani https://www.foreign.go.tz/contacts wakati ndiyo inatumainiwa kuendeleza kufungua nchi kikanda, ki-kontinenti na kimataifa kwa habari motomoto za wakati kwa lugha ya kiswahili na kiingereza n.k

Wacha JamiiForums iendelee na jukumu la kuifungua nchi .
 
15 October 2021

Kenya's Ministry of East African Community and Regional Development:

The Ministry of East African Community and Regional Development was established in 2018 following the reorganization of the Government of Kenya. The Ministry has two State Departments; East African Community and Regional and Northern Corridor Development. Prior to 2018, the then State Department of East African Community Affairs was under the Ministry of East African Affairs, Labour and Social Protection while Regional Development was coordinated by the Ministry of Devolution and Planning. The Ministry is established to coordinate Kenya’s participation in the East African Community integration process pursuant to article 8(3)a of the Treaty for the Establishment of the East African Community. Read more
 
Back
Top Bottom