Barabara ya Arusha – Holili /Taveta – Voi Road Project kuzinduliwa

Barabara ya Arusha – Holili /Taveta – Voi Road Project kuzinduliwa

Acha uongo ni Mradi ulizinduliwa Kikwete huo


Misukule ya mwendazake inahaha sana kutafuta legacy za mchongo
 
Mzee kaamua kuficha ila watz kwa kuzoom wakaona 😂.
IMG_20220721_161752.jpg
 
Mimi masikitiko yangu ni kwa Tembo na Vinyama vingine vya mwitu wa Tsavo.

Angalia Wanyama wetu wa Mikumi wanavyoangamizwa na Madereva walevi.
 
Basi Bwawa likikamilika atakuwa amelijenga Nyerere maana plan ilikuwepo toka enzi zake, na Bandari ya Bagamoyo ikikamilika atakuwa kajenga Kikwete kama tukitumia mtindo huo wa 'Logic' ...
Ukweli utabaki aliye break foundation ya kujenga bwawa la Nyerere ni Magufuli hata kama mipango ipo tangu enzi za Nyerere. Same logic apply to projects alizofanya Kikwete zikakamilika wakati wa Magufuli.
Give credit where its due.
 
Ukweli utabaki aliye break foundation ya kujenga bwawa la Nyerere ni Magufuli hata kama mipango ipo tangu enzi za Nyerere. Same logic apply to projects alizofanya Kikwete zikakamilika wakati wa Magufuli.
Give credit where its due.
Sawa, na mradi wa maji wa bilioni 520 hapa Arusha nani apewe credit...?!
 
Hiyo siyo barabara...acha kuhamisha magoli
Nilikuwa nakupa mfano tu, hizi barabara kwenye andiko lako la blog umesema zimejengwa na Kikwete nikakuuliza kwanini toka 2012 hazikujengwa zikaja kujengwa kwenye 2016 ukasema barabara haijengwi kwa siku moja...

sasa swali linakuja mbona Magufuli alizimaliza kabla hata ya 2020 ni nini kilikwamisha toka 2012 kuanza kwa kasi kuzijenga...?!

pia umesema ni mpango wa majiji yote ni kweli hata Mwanza zimejengwa, Unaweza ukaniambia za Mbeya zipo wapi...?! na zenye kiwango kama hizi za Arusha...
 
Mnabishania nini???
Tabia za kiTanzania hizo, hasa nyakati hizi.

Hii mada ina mambo mazito zaidi kuhusu hizo barabara (Wakenya wanaziita barabara walizojenga wao kwenda Burundi!).
Hii mada ilitakiwa ijadili maana ya uwepo wa barabara hizo na nani anafaidika nazo zaidi.

Kenya tayari wanayo mikakati ya kutumia njia hiyo kwenda Burundi na DRC kupitishia mizigo toka Mombasa; sisi hapa tunajaza kurasa za JF na nani alijenga!
Kenya wanafufua reli yao toka Voi hadi mpakani, na wanajenga bandari kavu hapo Taita Taveta. Burundi na DRC badala ya kwenda Mombasa na Dar es Salaam, mizigo yao wataipokea hapo kwenye bandari kavu. Hata sehemu yote ya Kaskazini mwa Tanzania, na kote hadi mikoa ya Mwanza, Kagera, Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, singida itakuwa rahisi kwao kupitishia mizigo yao Mombasa kuliko kwenda Dar es Salaam.

Sasa watu hapa hawalioni hilo kuwa la muhimu na maana kubwa, lakini kazi yetu ni kushangilia Magufuli, Kikwete kwa jambo ambalo linafaidisha zaidi wengine kuliko sisi.

Haya ndiyo maajabu ya nchi yetu hii Tanzania.
 
Huo mpango wa lami aliuacha Kikwete wala siyo Magufulia alitafuta hiyo hela acha uongo pamoja na dar na majiji mengine. Ulikuwa mpango wa kuboresha majiji na uliasisiwa na JK

Jitahidi ujifungue hio mimba naona inakutesa sana. Yani unatumia kila aina ya nguvu ilimradi kumnyang'anya sifa jembe na kutaka kujifanya Jakaya ndio alifanya mwehu kweli wewe. Mipango sio swala, utekelezaji ndio ishu.

Hata Nyerere alipanga kuhamishia shughuli za kiserekali Dodoma ila alietekeleza ni mtu wa 5. Utendaji ndio unaongea. Ukisema una mpango kila mtu ana mipango hilo ni jambo moja. Utekelezaji ni swala jingine.
 
Naona wote mnabwabwaja hakuna anayezungumzia faida au hasara ua barabara hiyo ikiwa pamoja na vijiji na miji itakayo pita.
 
Back
Top Bottom