Barabara ya Arusha – Holili /Taveta – Voi Road Project kuzinduliwa

Barabara ya Arusha – Holili /Taveta – Voi Road Project kuzinduliwa

21 July 2022
Arusha, Tanzania

LIVE / MUBASHARA:

MHE. RAIS SAMIA HASSAN AKISHIRIKI MKUTANO WA 22 WA WAKUU WA NCHI ZA EAC, AICC - ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihiriki Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) Arusha, leo tarehe 21 Julai, 2022

Source : Ikulu Tanzania
 
Hapana sio Kikwete, zilijengwa kipindi cha Magufuli hadi Mwaka 2015 ilikuwa ni mwendo wa vumbi tu Makao Mapya hadi Ngarenaro, na ile mitaa ya Picnic...
Huo mpango wa lami aliuacha Kikwete wala siyo Magufulia alitafuta hiyo hela acha uongo pamoja na dar na majiji memgine. Ulikuwa mpango wa kuboresha majiji na uliasisiwa na JK

Huo mpango wa lami aliuacha Kikwete wala siyo Magufulia alitafuta hiyo hela acha uongo pamoja na dar na majiji memgine. Ulikuwa mpango wa kuboresha majiji na uliasisiwa na JK

Kwani nani alijenga na usimamizi ulikuwa ni wa kipindi gani...?! Wapi nimesema Magufuli alitafuta hela...?!
 
Hahahaaaa....hamtokaa msahau maishani mwenu vile "mshamba" aliwanyoosha na hatoki mioyoni mwa watanzania licha ya matusi na dhihaka za nyie mash..oga, mafisadi na vibaraka wa mabepari kila kukicha.
 
Magufuli hamna barabara alijenga Arusha hata moja. Hata ile ya Mianzini aliyoahidi kwa Mbwembwe tena hadharani haijajengwa hadi leo
Unaishi Arusha gani wewe taahi.ra? barabara ya nzuri kuliko zote hii ya njia nne kuja Tengeru alijenga bwanaako?!!
 
Huo mpango wa lami aliuacha Kikwete wala siyo Magufulia alitafuta hiyo hela acha uongo pamoja na dar na majiji memgine. Ulikuwa mpango wa kuboresha majiji na uliasisiwa na JK

Kwani bandari ya bagamoyo hakuacha keshasainisha mikataba ijengwe, ilijengwa? Mbona mnajificha nyuma ya kibodi kumdhihaki JPM? simameni jukwaani mtukane muone kitachowapata, kamuulize Nape kule kwao nini kilitokea aliposena Mungu kaamua ugomvi.
 
Kweli nimeamini kuwa JamiiForums ni mtandao wa habari za uhakika nambari moja, ulio na vyanzo na maktaba za habari zilizopita ili kuweka kumbukumbu sawa.

Maana wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ya Tanzania tovuti yake haipo sawa / hewani https://www.foreign.go.tz/contacts wakati ndiyo inatumainiwa kuendeleza kufungua nchi kikanda, ki-kontinenti na kimataifa kwa habari motomoto za wakati kwa lugha ya kiswahili na kiingereza n.k

Wacha JamiiForums iendelee na jukumu la kuifungua nchi .
Nawe ndugu bagamoyo ni hazina kubwa sana hapa Jamii Forum kwa kutuhabarisha kwa kina taarifa mbali mbali.
Mungu akubariki sana na kongole sana ndugu.
Hakika unastahili tuzo maalumu.
 
Mradi ni wa Serikali ya awamu ya 4. Magufuli hakujenga barabara Arusha hata moja. Nukta
hiyo habari uliyoleta ya hiyo Blog umeisoma kweli...?! hapo ilikuwa ni mwaka 2012 akizindua jiji la Arusha... wameeleza mataa ya Esso ambayo yaliwekwa, nini kilishindikana wakaja kujenga 2016...?!
 
Kwani bandari ya bagamoyo hakuacha keshasainisha mikataba ijengwe, ilijengwa? Mbona mnajificha nyuma ya kibodi kumdhihaki JPM? simameni jukwaani mtukane muone kitachowapata, kamuulize Nape kule kwao nini kilitokea aliposena Mungu kaamua ugomvi.
Sijamdhihaki. Nimesema ukweli. Na ukwelu haupigwi jiwe
 
Unaishi Arusha gani wewe taahi.ra? barabara ya nzuri kuliko zote hii ya njia nne kuja Tengeru alijenga bwanaako?!!
Huo ni mradi alianza JK ukiwa umeshaanza. Matusi hayatabadilishwa ukweli. Inaonesha tu ulivyo desperate
 
hiyo habari uliyoleta ya hiyo Blog umeisoma kweli...?! hapo ilikuwa ni mwaka 2012 akizindua jiji la Arusha... wameeleza mataa ya Esso ambayo yaliwekwa, nini kilishindikana wakaja kujenga 2016...?!
Barabara haijengwi kwa siku moja. Hata Bwala Nyerere anaendelea kujenga Samia. Ukweli ni ukweli hata uupinge vipi unabaki kuwa ukweli japo unauma
 
Barabara haijengwi kwa siku moja. Hata Bwala Nyerere anaendelea kujenga Samia. Ukweli ni ukweli hata uupinge vipi unabaki kuwa ukweli japo unauma
Basi Bwawa likikamilika atakuwa amelijenga Nyerere maana plan ilikuwepo toka enzi zake, na Bandari ya Bagamoyo ikikamilika atakuwa kajenga Kikwete kama tukitumia mtindo huo wa 'Logic' ...
 
Acha uongo ni Mradi ulizinduliwa Kikwete huo

Afadhali[emoji1545]
 
Angependa isifunguliwe labda.
giphy.gif
 
Back
Top Bottom