A
Anonymous
Guest
Hili ni barabara iliyopo Gongolamboto maeneo ya Bomba Mbili kuelekea Njia Nne Mbondole, njia ni mbaya kuanzia Moshi Bar hadi unafika Njia Nne, ili uweze kufika eneo hilo unatakiwa kufika hadi Gongolamboto Kituo cha Mombasa ndipo ilipo njia ya kuelekea Bomba Mbili.
Kiukweli Wananchi tunateseka sana kupata usafiri maana njia ni mbovu, tunalazimika kutumia Bodaboda ambapo gharama yake ni kubwa kutokana na kipato chetu na hivi karibuni mafuta yamepanda bei basi ndio kabisaa mambo ni mabaya.