You can't be serious..jamaa lazima azindue hii kitu,hawezi kukosa hata kama akiwa mgonjwa ataletwa na machelanipo nairobi hayo makitu yapo kibao huku, namuomba Mungu hako ketu kamoja kasijezinduliwa na mkuu wa nchi...tutachekwa mno.
Yaani we unatania aisee, yaani flyover ya kwanza halafu Rais Magufuli asiwepo? No waynipo nairobi hayo makitu yapo kibao huku, namuomba Mungu hako ketu kamoja kasijezinduliwa na mkuu wa nchi...tutachekwa mno.
Hahaha mkuu sio za kwetu ni grant aid kutoka Japan....Umeiwasilisha Taarifa hii kwa vijembe mpaka ime poteza maana ,utafikiri hiyo Pesa ya kujenga hilo Daraja imetoka Mfukoni kwa Mh Rais wakati ni Kodi zetu.
hilo daraja linanisaidiaje mimi wa huku koromije ambaye pia kodi yangu imetumika kulijengaLeo Serikali imeruhusu rasmi magari kutumia daraja la juu(Fly Over) la TAZARA jijini Dar es salaam kuelekea uzinduzi rasmi utakaofanyika mwezi ujao! Mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91]
#HapaKaziTu #KaziItatutofautisha #JPMTena2020 #WatanunaSanaTu View attachment 867155View attachment 867157View attachment 867158
mlipoanzishwa treni ya mwakyembe maneno yalikuwa hayohayo kuwa foleni sasa basi, haikusaidia. ikaja mabasi ya wendo kasi, maneno yakawa hayo hayo nayo haikusaidia. goja tuone na hilo daraja kama litapunguza magari ili foleni ipungue.Sasa hapo uchumi wa taifa utaongezeka kukua tena kwa kasi, foleni ndo basi tena.
Hahaha mkuu sio za kwetu ni grant aid kutoka Japan....
Kweli hawataki tusome kabisa ndio maana wanatudanganyia elimu bila malipo.We unadhani ccm itatawala milele kwanini?
Hizi akili zetu ndio zinaipa ccm uhakika wa kutawala milele [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona kutoka pale Kwa Mpemba mpaka Matembele ya pili kile kipande ni aibu.Plus hii sehemu wanapotaka kujenga Daraja,hapa ilipo kituo cha mafuta.Mimi Napita Daily Hiyo Njia Hadi Kivule Kwa Wamakonde Ninachokiona Ni Aibu Tupu
Masika Haipitiki
Tazama Pale Kwa Mpemba Hatari
A bridge is a connection between two separated roads.Hakika lile ni daraja na sio fly over