Barabara ya Morogoro (Ubungo hadi Mbezi) kuna kero ya foleni na hii sio kwa leo tu

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Your browser is not able to display this video.

​
Mvua ambayo imenyesha maeneo mengi ya Dar es Salaam tangu jana (Mei 8, 2025) imesababisha foleni sehemu nyingi, hapa ni maeneo ya Kimara Mwisho, Stop Over hadi Ubungo Kijazi, kuna foleni kubwa na tumekaa hapa kwa zaidi ya saa moja sasa.

Hali hii sijui itaisha lini hata kama hakuna mvua kila asubuhi huwa kuna foleni kubwa mitaa hiyohiyo, mvua ikinyesha hali ndio inakuwa mbaya zaidi, sijui hali hii mpaka lini, kwani hakuna namna Mamlaka zinaweza kufanya kukabiliana na kero hii?

Your browser is not able to display this video.
 
Wacha wapambane, kipindi kile Magu anarekebisha waliona anawanyanyasa
 
Unakuta familia moja ya watu 5 kila moja anakuja na gari lake kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…