Barabara za Tanzania zinajengwaje, mbona kama udongo mtupu?

Waamvie wakajenge nyumba zao huko uswahilini waache kulalamikia barabara ambazo kila siku mabasi kama 50 na zaidi hupita bila shida.
 
Kuna lami nyingi tu naziona zimebonyea na zina mashimo kila mahali.

Usijifanye mtaalamu hapa na viingereza vyako uchwara!

Daraja kubomoka ni ishara tosha kwamba ujenzi wake ulifanywa kihuni chini ya kiwango!
 
Kamanda ulichukulia wali degree yako ya uhandisi? Ebu tuonyeshe chochote ulichojenga wewe tuone na tujiridhishe kuwa wewe ni mbobea.
Wafuasi wa kamanda msaliti hamjambo kwa porojo πŸ‘πŸΏ
Mkuu sidhani kama alichoandika hapo juu mtoa mada ni porojo, hii ni maslahi mapana ya Taifa, mnatamani kuona mazwazwa wakisifia mchanna na usiku ndio mwafurahi, barabara ilijengwa chini ya kiwango
 
... kwa hiyo lilijengwa purposely life span yake iishie kipindi hiki? Mkiitwa wahujumu mtakasirika?
Sio suala la life span bali nguvu ya maji yaliyopita imezidi ile iliyotazamiwa na wabunifu! ....... daraja la kudumu milele na kuhimili mafuriko yoyote halijengeki kwa gharama! TUSISAHAU MABADILIKO YA TABIA NCHI PIA!

POLENI SANA WAHANDISI, MAANA SISI WALAJI NDIO TUNAAMKA NA HATA MATONGOTONGO HAYAJAISHA! πŸ˜…πŸ˜…
 
Jamani jamani chonde chode hi barabara ilijemgwa Enzi za Mwalimu na kampuni ya Brazil ikiitwa ESIZA miaka ya 1970/80
 
Mkuu sidhani kama alichoandika hapo juu mtoa mada ni porojo, hii ni maslahi mapana ya Taifa, mnatamani kuona mazwazwa wakisifia mchanna na usiku ndio mwafurahi, barabara ilijengwa chini ya kiwango
Hapa ndipo ninapowavulia kofia wataalam wa JF. Unaposema barabara imejengwa chini ya kiwango kwa kuona picha.
 
Ana cheti cha ukunga tu
 
Hii ni kutokana na kujenga daraja bila kuwa na takwimu za eneo kwa zaidi miaka 100 iliyopita kuonyesha matabaka ya mipito ya mafuriko, pamoja na kutathmini feeders za hili bonde pia kwa miaka mingi. Walijenga kwa takwimu za eneo hili tu kwa kungalia upana na urefu wa bonde in relation to barabara. Very funny! Mara nyingi trainee wanaweza kufanya hizi kwenye mazoezi na siyo live kwa kuwa watasahihishiwa. Hii ndiyo zile maksi mtu hupata kwenye nadharia 15% na lecturer anaandika for ink. Sasa ukiileta live inakuwa hivi. Katika hii nchi watu wanaoi-let down engineers number moja hadi najiuliza wanasoma wakaelewa au wanadesa - hasa civil? Au huu utaalamu ni cv ya bar, kwenye tafrija na katika jamii. Ukibisha kaangalie nyumba zote walizojenga ma-engineer wanazoishi utajua tu hapa ndipo matatizo yanapoanza - Mwanri style. Zimeungwa ungwa na wala hazi-reflect ujuzi wao. Na wao wanacopy mijengo tu kama sisi, creativity sifuri kabisa. Ikiwa unajirani yako engineer weka picha ya nyumba yake unayodhani ni murwa upate critic ikiwa unabisha na hata engineers wekeni nyumba zenu hapa nijue nimekosea basi
 

Mkuu ushapita hiyo barabara na je haijabonyea!?
 
With the availability of resources as a constraint, all designs are STATISTICAL GAMBLES!
 
usongo wa chini ulivyopimwa ulionesha kuna siku utaacha daraja na lami visombwe na maji?
 
Hakuna mtu anayetunza taarifa za kina cha maji ya mito na wala hakuna kumbukumbu za kina cha mito mida ya mvua hata za miaka 100. Kwa hiyo madaraja mengi yanajengwa kwa kukadiria urefu wa bonde na kuwauliza watu wanaoishi maeneo hayo yaani kama bahati nasibu fulani hivi inatumika. Pia kuna mabadiliko ya tabia nchi kwa hiyo mito inajaa maji kupita hali ya kawaida. Hivyo madaraja mengi nchini yamejengwa bila taarifa za kina cha maji kwa hiyo pakiwa na maji mengi kuzidi bahati nasibu ya ukadiriaji lazima daraja lisombwe.
 
... Mkuu nilikuwa namjibu gamba fulani lililokomalia suala la "life span". Hayo mengine kama mabadiliko ya tabia nchi, n.k. yanafahamika. Ila kichekesho chengine ni vipi mbona hata nondo haionekani?
 
... Mkuu nilikuwa namjibu gamba fulani lililokomalia suala la "life span". Hayo mengine kama mabadiliko ya tabia nchi, n.k. yanafahamika. Ila kichekesho chengine ni vipi mbona hata nondo haionekani?
Usicheze na nguvu ya maji mengi yatembeayo kwa kasi, hilo daraja limesombwa zimazima, amini usiamini! πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…