Hii ni kutokana na kujenga daraja bila kuwa na takwimu za eneo kwa zaidi miaka 100 iliyopita kuonyesha matabaka ya mipito ya mafuriko, pamoja na kutathmini feeders za hili bonde pia kwa miaka mingi. Walijenga kwa takwimu za eneo hili tu kwa kungalia upana na urefu wa bonde in relation to barabara. Very funny! Mara nyingi trainee wanaweza kufanya hizi kwenye mazoezi na siyo live kwa kuwa watasahihishiwa. Hii ndiyo zile maksi mtu hupata kwenye nadharia 15% na lecturer anaandika for ink. Sasa ukiileta live inakuwa hivi. Katika hii nchi watu wanaoi-let down engineers number moja hadi najiuliza wanasoma wakaelewa au wanadesa - hasa civil? Au huu utaalamu ni cv ya bar, kwenye tafrija na katika jamii. Ukibisha kaangalie nyumba zote walizojenga ma-engineer wanazoishi utajua tu hapa ndipo matatizo yanapoanza - Mwanri style. Zimeungwa ungwa na wala hazi-reflect ujuzi wao. Na wao wanacopy mijengo tu kama sisi, creativity sifuri kabisa. Ikiwa unajirani yako engineer weka picha ya nyumba yake unayodhani ni murwa upate critic ikiwa unabisha na hata engineers wekeni nyumba zenu hapa nijue nimekosea basi