GE2025 Barabara Zinazoelekea Kwa Hayati Job Ndugai Zinatengenezwa Muda huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wataweka lami?
 
Vumbi linatimka mkandarasi hamwagi hata maji au water bowser hamna yawezekana pia mpango kazi wa dharura kuficha ubovu wa barabara hapo meneja wa Tarura lazima akimbizane hakuna kulala mpaka kazi ikamilike.​
 
Ndugai si ndo aliandaa hotuba ya kwenye mazishi ya Lissu?
 
Khaaa, yaani hata kukwangua barabara tu kulimshinda supika mstaafu wa bunge, by the way kifo ni kifo tu!.
Ninyi mnashida sana. Kwenye ngalawa kumeboreshwa maneno, kwenye hifadhi mpya ya wanyama kumeboreshwa maneno....kwenye baridi kali wakati wa usiku hapajaboreshwa maneno...! Mna nini lakini?
 
Sasa umeshindwa kuchonga akiwa hai amekufa itasaidia nini? Sisiemu wana mambo ya ajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…