GE2025 Barabara Zinazoelekea Kwa Hayati Job Ndugai Zinatengenezwa Muda huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Barabara ya kongwa ilivyo mbovu wanatengeneza siku kafairiki? Hii ni kitu gani? Wtf?
 
Niliona vumbi nikajisemea nchi zingine kwanza kando ya barabara ingepandwa miti.Halafu hilo eneo vumbi, miti hakuna
Pita kongwa, ile sio barabara ni tatizo, halaf wana mbunge kawa hadi speaker lakin hamna hata dalili za kuwekwa lami
 
Hawa jamaa wakiwa ktk uongozi huwa hawazioni hata changamoto ktk jamii zao?. Anyway acha iwe hivyo maana hata wale waliojenga makwao(magufuri) mlilalamika kuwa wanajipendelea, na hawa wasiojioendelea bado mnalalamika.

Note: Unapotaka kufanya jambo usiwasikilize watu, wao hawana jema kwa kila ufanyalo ni baya machoni pao.
 
Imekuwa heri kwa wananchi Wake!
 
25 yes kk aisee ubunge kama.laana

Hata kwenda kwako kujenga shidaa
Angejipigia mkeka huko kwa faida yake na wapiga kura wake
Mbona magu ada Estate alijivutia mkeka na watu huko walinufaika
Mfugale temboni mkeka ulipigwa
Sema uliishia kwake 😄
Anna makinda alijivutia mkeka
Ndugai kwake salasala kwenda kuna mkeka

Ova
 
M NASHANGAA KONGWA KASHINDWA NN

UNAKUMBUKA MTWARA AISEE KAMA VILE WAMEAMBIWA WATAZIKWA OSTERBAY
 
Pita kongwa, ile sio barabara ni tatizo, halaf wana mbunge kawa hadi speaker lakin hamna hata dalili za kuwekwa lami
Naona ana V8 so hakuona taabu kabisa,ukizingatia ana dereva pia 24 h/24 .
 
Dah wana miji mingapi?Dar,Dodoma mjini,Kongwa
 
Ninyi mnashida sana. Kwenye ngalawa kumeboreshwa maneno, kwenye hifadhi mpya ya wanyama kumeboreshwa maneno....kwenye baridi kali wakati wa usiku hapajaboreshwa maneno...! Mna nini lakini?
You have serious mental issues. Kama ndio justification yako hii
 
Mbwembwe zote lile kumbe hata barabara hakuna
 
Sasa nenda nae huko alipo maana inaonekana una uchungu sana
 
Mara zote kifo kinapotokea kwa wale tunaobakia tunatakiwa tujifunze kutokana na makosa aliyofanya mwenzetu ili tusiyarudie,nina uhakika hapa kuna wanaojifunza kitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…