GE2025 Barabara Zinazoelekea Kwa Hayati Job Ndugai Zinatengenezwa Muda huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Enyi watoa comments acheni/punguzeni unafiki mtu akijenga maneno oohóo anajenga kwao asipo Jenga unafiki oohoo ameshidwa hata kujenga kwao UNAFIKI UNAFIKI.
 
Ziara za viongozi huleta huduma kwa wenyeji (utalii wa Kisiasa /Political tourism ) iwe msiba, kutafuta kura n.k

Bahati mbaya msiba hutokea mara moja kwa kila nafsi, hivyo wananchi wa Kongwa ziara hii ya kuleta magreda kukwangua barabara haitakuwa na mguso kama ziara za Chato, Kizimkazi, Msoga n.k
 
Amekuwa mbunge kwa miaka 25!
 
Mara zote kifo kinapotokea kwa wale tunaobakia tunatakiwa tujifunze kutokana na makosa aliyofanya mwenzetu ili tusiyarudie,nina uhakika hapa kuna wanaojifunza kitu...
Wanadam tunajisahau
Huwa najiulizaga mwanadam
Tungeishi milele ingekuwaje

Ova
 
Atakuwa aliacha wosia kuwa barabara hiyo itengenezwe akishafariki
 
Enyi wanafiki acheni/punguzeni unafiki mtu akijenga maneno oohóo anajenga kwao asipo Jenga unafiki oohoo ameshidwa hata kujenga kwao UNAFIKI UNAFIKI.

Wewe ndio mnafiki. Unaongea vitu ambavyo watu hawajasema.
 
Ulitaka ajenge barabara yeye ndio serikali?
 
Jamaa Yuko vizur yaani mpk analeta maendeleo ya barabara hata akiwa amekufa .
Watamkumbuka Kwa hilo
 
Mama Hatukudai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…