GE2025 Barabara Zinazoelekea Kwa Hayati Job Ndugai Zinatengenezwa Muda huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Pia aliwakingia kifua wahuni waliokosa sifa za ubunge kuendelea kushiriki shughuli za bunge kama wabunge
 
Unapotaka kufanya jambo usiwasikilize watu, wao hawana jema kwa kila ufanyalo ni baya machoni pao.
 
Enyi watoa comments acheni/punguzeni unafiki mtu akijenga maneno oohóo anajenga kwao asipo Jenga unafiki oohoo ameshidwa hata kujenga kwao UNAFIKI UNAFIKI.
Unapotaka kufanya jambo usiwasikilize watu, wao hawana jema kwa kila ufanyalo ni baya machoni pao.
 
Pamoja na msimu wa neema wa uchaguzi chafuzi,haziikubahatika kupitiwa na tingatinga?
 
KWA MWENDOOOOOO huuu

Wananchi wataqnzq kufanya maombii ya vifoo wapate hudumaaa

Loh

Rip
Comrade
 
Inaonekana huyu alikufa kiroho na kiakili ndo ukafata mwili mtu umekuwa mbunge over 25 hata barabara unashindwa kupambana zikajengwa
 
PENGINEE WALE WANANCHI WALIOKUWA WAKISHEREKEA WALIONAAA HILIIII KATAPILLAR WAKAANZA KUFURAHIAA UJRNZ8 EA BARABARA
TUSIWAFIKIRIE VIBAYA SANAA

NIMEONA SEHEMU ITV NEWS DC ANADEMA ATAKAA AONGEE NAOO AWAHOJI VIZURI

NASHAURI AWASIKILIZE KWA HEKIMAA
AULIZE SABABU KUU ZA KUFANYA VILER
 
Mbona hata Nyerere pia zilikwanguliwa kule Butiama?Ndugai sio wa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…