Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!

Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzuia kutumia barabara za serikali.
tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privilege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, liwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza kukunyanganya pia.

huwa naumia sana nikiona askari anayejitoa anashinda juani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa, kukejeliwa na kudhihakiwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa mazoea sana, askari yuko kazini anaamka asubuhi kwenda kazini na nyumbani kaacha familia inayomtegemea kama tu wewe unavyoamka asubuhi kwenda kazini, respect ni muhimu.

leseni ya udereva ni privilege, ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini baada ya kutimitza vigezo na inaweza pia kuichukua leseni yake, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali, kwa uzoefu wangu ni nadra sana askari trafiki anakuwa amekuonea, wengi (madereva) huwa wana makosa lkn hawakubali makosa na hilo kosa kwanza haupaswi hata kubishana na askari kwa kawaida ...
 
watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia na sisi kuzitumia tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara bara barani na kukuzia kutumia barabara za serikali.

tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privillege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, iwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privillege na serikali inaweza kukunyanganya pia.

huwa naumia sana nikiona askarianyejitoa kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa maziea sana ...
vipi yeye akishambulia
 
Umeandika nini kwani mkuu mbona kama kichwa hakina ubongo

ni kwamba leseni ya kuendesha gari ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini kwamba umejifunza na kufuzu na inaweza kuichukua pia muda wowote ule ndicho nilichoandika, na bila ya kuwa na leseni hauruhusiwi kuendesha gari ...
 
watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzia kutumia barabara za serikali.

tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privillege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, iwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privillege na serikali inaweza kukunyanganya pia.

huwa naumia sana nikiona askari anyejitoa anashinda juoani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa maziea sana.

leseni ya udereva ni privileege na ni mali ya serikali serikali inakupa baada ya kutimitza vigeto na inaweza pia kuichukua leseni yake, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali ...
Serikali hupata mamlaka kutoka kwa wananchi, hivyo yanapaswa kutumika vizuri kwa manufaa ya uma.
Ni muhimu kwa wananchi wote kutii sheria na hili haliwabagui watumishi wa serikali hadi viongozi.
Serikali Ina uwezo wa kuadhibu wananchi kupitia vyombo vya dola na vivyo hivyo wananchi wanaweza kuadhibu serikali kupitia uchaguzi wa ki demokrasia, maandamano ya amani yasiyo na kikomo na katika nyakati mbaya sana mapinduzi.
Hivyo ni muhimu sana watu wote kufuata sheria na haki.
 
Naona Traffic imekuuma sana na mtadundwa sana.

Barabara ni mali ya umma sio mali ya serikali, serikali ni msimamizi tu

siyo kweli, ndiyo maana nasema kuna mambo mengi sana wengi wetu hatuyaelewi na tunaishi kwa mazoea, labda nikuulize leseni ya udereva maana yake ni nini? ni nani anaitoa? na ni mali ya nani? na je bila ya leseni unaweza kutumia barabara? ...
 
Mtoa mada una hoja ya muhimu ila watu wanaikimbia na kujibu hovyo

Nikweli barabara ni mali ya umma (maana imejengwa kwa fedha za wananchi) lakini serikali ni msimamizi kupitia vyombo vyake sasa hapo ndo anakuja police, Tanroads nk nk

Suala la muhimu hawa ma law enforcers wawe na akili na adabu kwa wateja wao, mambo ni mengi kwenye bongo za watu
 
Kutumia barabara ni privilege kutoka kwa serikali? Kivipi sasa?
 
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂🥲😂
 
siyo kweli, ndiyo maana nasema kuna mambo mengi sana wengi wetu hatuyaelewi na tunaishi kwa mazoea, labda nikuulize leseni ya udereva maana yake ni nini? ni nani anaitoa? na ni mali ya nani? na je bila ya leseni unaweza kutumia barabara? ...
Leseni ni kibali anachopewa raia kuendesha chombo cha moto

Lesseni inatolewa na serikali

Leseni ni mali ya mtu mwenye Jina lake na picha yake kwenye hiyo leseni

Bila lesseni unaweza kutumia barabara kutembea kwa mguu au basikeli lakini sio chombo cha moto.

Chini ya Sheria ya Barabara ya Tanzania, Sura ya 167 (Toleo la Mwaka 2023)
Barabara Ni mali ya umma chini ya mamlaka ya kisheria ya Serikali, na inasimamiwa na mamlaka za barabara zilizoteuliwa.
Umiliki / mali ya umma:Barabara ni mali ya umma chini ya mfumo wa kisheria wa Serikali.
Usimamizi: Mamlaka ya barabara ndiyo inayosimamia, kuendeleza na kutunza barabara.
Haki ya kutumia barabara: Wananchi kwa ujumla wana haki ya kisheria ya kutumia barabara hiyo.

Hivyo ukisoma hiyo Sheria utagundua.
Barabara ni mali ya umma. kazi ya serikali ni kuisimamia, kuirekebisha, kuitunza na kuiendeleza.
Lakini kila raia ana haki ya kuitumia akifuata Sheria.[/B]
 
Kutumia barabara ni privilege kutoka kwa serikali? Kivipi sasa?

ili uendeshe gari barabarani unahitaji kibali cha serikali ambacho ni leseni ya udereva, na leseni ni mali ya serikali sio ya kwako, serikali inakupa ili kukuruhusu kutumia barabara na kuendesha gari, ndicho nilichomaanisha by privilege, ni kwamba leseni ya udereva siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza pia kuichukuwa wakati wowote na ndiyo maana trafiki akikusimamisha kitu cha kwanza kabisa atakuuliza leseni kuna sababu wanafanya hivyo, anaweza asikurudushie tena hiyo leseni kama akiona haukidhi vigezo ...
 
Mwezi haujaisha jamaa aliwagonga wawili nadhan mkoa wa pwani ila nadhani kuna sehemu kuna mapungufu kwenye jeshi ingawaje madereva wanavipengele vya ujinga wao
 
Leseni ni kibali anachopewa raia kuendesha chombo cha moto

Lesseni inatolewa na serikali

Leseni ni mali ya mtu mwenye Jina lake na picha yake kwenye hiyo leseni

Bila lesseni unaweza kutumia barabara kutembea kwa mguu au basikeli lakini sio chombo cha moto.

Chini ya Sheria ya Barabara ya Tanzania, Sura ya 167 (Toleo la Mwaka 2023)
Barabara Ni mali ya umma chini ya mamlaka ya kisheria ya Serikali, na inasimamiwa na mamlaka za barabara zilizoteuliwa.
Umiliki / mali ya umma:Barabara ni mali ya umma chini ya mfumo wa kisheria wa Serikali.
Usimamizi: Mamlaka ya barabara ndiyo inayosimamia, kuendeleza na kutunza barabara.
Haki ya kutumia barabara: Wananchi kwa ujumla wana haki ya kisheria ya kutumia barabara hiyo.

Hivyo ukisoma hiyo Sheria utagundua.
Barabara ni mali ya umma. kazi ya serikali ni kuisimamia, kuirekebisha, kuitunza na kuiendeleza.
Lakini kila raia ana haki ya kuitumia akifuata Sheria.[/B]

hapana na hapo ndipo kwenye mkanganyiko nafiiri, leseni siyo mali yako, leseni ni kama tu passport vyote ni mali ya aliyekupa, na ndiyo maana kuna vigezo vya kuipata na yule ayaekupa ndiye anayweka hivyo vigezo,, trafiki anaweza kuichukua leseni yako kama akiona haukidhi vigezo kwa mfano akikushika unaednesha huku umelewa anaweza kuichukua leseni na kuondoka nayo na ukanyanganywa aidha kwa muda fulani au kulingana na kosa hata ukazuiawa kabisa kuwa leseni tena maishani, yote hayo yanawezakana na askari wanaweza kuyafanya sema tu hawatumii hiyo power na ndiyo maana nasema tunaishi kwa mazoea tu ...
 
watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzuia kutumia barabara za serikali.

tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privilege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, liwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza kukunyanganya pia.

huwa naumia sana nikiona askari anayejitoa anashinda juani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa, kukejeliwa na kudhihakiwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa maziea sana, askari yuko kazini anaamka asubuhi kwenda kazini na nyumbani kaacha familia inayomtegemea kama tu wewe unavyoamka asubuhi kwenda kazini, respect ni muhimu.

leseni ya udereva ni privilege, ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini baada ya kutimitza vigezo na inaweza pia kuichukua leseni yake pia, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali, kwa uzoefu wangu ni nadra sana askari trafiki anakuwa amekuonea, wengi (madereva) huwa wana makosa lkn hawakubali makosa na hilo kosa kwanza haupaswi hata kubishana na askari kwa kawaida ...
Mmezidi njaa nyinyi matrafiki.
 
ili uendeshe gari barabarani unahitaji kibali cha serikali ambacho ni leseni ya udereva, na leseni ni mali ya serikali sio ya kwako, serikali inakupa ili kukuruhusu kutumia barabara na kuendesha gari, ndicho nilichomaanisha by privilege, ni kwamba leseni ya udereva siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza pia kuichukuwa wakati wowote na ndiyo maana trafiki akikusimamisha kitu cha kwanza kabisa atakuuliza leseni kuna sababu wanafanya hivyo, anaweza asikurudushie tena hiyo leseni kama akiona haukidhi vigezo ...
Okay
 
Back
Top Bottom