Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!

watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzuia kutumia barabara za serikali.

tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privilege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, liwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza kukunyanganya pia.

huwa naumia sana nikiona askari anayejitoa anashinda juani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa, kukejeliwa na kudhihakiwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa maziea sana, askari yuko kazini anaamka asubuhi kwenda kazini na nyumbani kaacha familia inayomtegemea kama tu wewe unavyoamka asubuhi kwenda kazini, respect ni muhimu.

leseni ya udereva ni privilege, ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini baada ya kutimitza vigezo na inaweza pia kuichukua leseni yake pia, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali, kwa uzoefu wangu ni nadra sana askari trafiki anakuwa amekuonea, wengi (madereva) huwa wana makosa lkn hawakubali makosa na hilo kosa kwanza haupaswi hata kubishana na askari kwa kawaida ...
Kwa maelezo yako haya unaweza kusema hata pumzi na uhai wetu ni mali ya serikali ikiamua kuchukua hakuna wa kuhoji..

Bado sijaona hoja hass kwenye mada yk sanasana ni kuwadogolesha wananchi ambao ndio wenye serikali yao.
 
Sio privilege ni Haki yako.

Mambo ya Namba plate au usajili ni taratibu.

Magari yanayopewa Haki tofauti ni wengine ni fire, ambulance na Namba 1.

Ukija huku kwingine sasa tuseme Jaji ni Mkubwa kuliko Dr au Specialist, Au Brigedia ni Mkubwa kuliko Specialist au Prof wa Chuo Kikuu n.k

Na unatakiwa uongeze kuwa kushindwa kupanga mipango mizuri inayo saidia watu wote ni kutokana na hizo unacho Kita privileged Badala ya Haki.
Privileged ni rushwa ya kiaina
 
Kwa maelezo yako haya unaweza kusema hata pumzi na uhai wetu ni mali ya serikali ikiamua kuchukua hakuna wa kuhoji..

Bado sijaona hoja hass kwenye mada yk sanasana ni kuwadogolesha wananchi ambao ndio wenye serikali yao.
Huyu inaonekana akili zake hazina akili
 
Jamaa ameweka historia ya kumdunda afande hadharani. Dunda kweli kweli.
 
Unajua maana ya Serikali? Bila ya wananchi hakuna Serikali kwaio mteja nae asikilizwe kero zake
 
Kwa maelezo yako haya unaweza kusema hata pumzi na uhai wetu ni mali ya serikali ikiamua kuchukua hakuna wa kuhoji..

Bado sijaona hoja hass kwenye mada yk sanasana ni kuwadogolesha wananchi ambao ndio wenye serikali yao.
Eeeh uhai wetu ni Mali ya serikali ndio maana kuua ni kosa na kujiua pia ni kosa kisheria.
 
Hapo ndipo unachanganya “mamlaka ya serikali kuweka sheria” na “umiliki wa serikali”.
Kuua ni kosa si kwa sababu uhai wako ni mali ya serikali, bali kwa sababu sheria inalinda haki ya mtu kuishi na inaweka adhabu kwa anayemnyang’anya mwingine uhai huo. Vivyo hivyo, kujiua kuwa kosa kisheria hakubadilishi uhai wako kuwa mali ya serikali.
Kwa mantiki hiyo hiyo, kwamba polisi wana mamlaka ya kukuzuia kutumia barabara katika mazingira fulani hakumaanishi barabara zote ni “mali ya serikali” kwa maana kwamba serikali inaweza kufanya chochote inachotaka bila mipaka.
Serikali ina mamlaka ya kusimamia matumizi ya barabara kwa mujibu wa sheria usalama, traffic control, public order n.k. lakini mamlaka hayo yana mipaka na yanapaswa kuwa na msingi wa kisheria
 
watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzuia kutumia barabara za serikali.

tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privilege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, liwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza kukunyanganya pia.

huwa naumia sana nikiona askari anayejitoa anashinda juani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa, kukejeliwa na kudhihakiwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa maziea sana, askari yuko kazini anaamka asubuhi kwenda kazini na nyumbani kaacha familia inayomtegemea kama tu wewe unavyoamka asubuhi kwenda kazini, respect ni muhimu.

leseni ya udereva ni privilege, ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini baada ya kutimitza vigezo na inaweza pia kuichukua leseni yake pia, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali, kwa uzoefu wangu ni nadra sana askari trafiki anakuwa amekuonea, wengi (madereva) huwa wana makosa lkn hawakubali makosa na hilo kosa kwanza haupaswi hata kubishana na askari kwa kawaida ...
Si kwa hawa askari wanaoshambulia mtu waliyemdhibiti.
 
Umeendika ukweli mtupu! Lakini Kutokana na manyanyaso ambayo vyombo vya ulinzi na usalama vimekuwa vikiyafanya kwa Watanzania kwa muda mrefu Watanzania sasa wanamakovu na majeraha makubwa sana, hivyo hata polisi akiwa kwenye haki bado Watanzania wataona askari huyo ni mkorofi tu. Kwa bahati mbaya leo taifa letu likivamiwa na maadui Usishangae raia wanaungana na adui kushambulia vyombo vya ulinzi na usalama. Serikali imepuuza sana sauti za watu juu ya vitendo vya vyombo hivi vya ulinzi na usalama ndiyo maana tumefikia huku.
 
Uliyoandika hayaingii kabisa akilini
Kwamba polisi wao wana dhamana ya kutunyanyasa wapendavyo na hatuna cha kufanya
Ili mambo yaende lazima tuheshimiane vinginevyo tunaweza kumalizana
 
Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!
Lakini barabara, serikali, polisi.. ni wa umma, ndiyo sababu hugharimiwa na umma kupitia kodi zao.

Umma ukiacha kulipa kodi hakutakuwepo barabara, serikali, policcm, nk..
 
ni kwamba leseni ya kuendesha gari ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini kwamba umejifunza na kufuzu na inaweza kuichukua pia muda wowote ule ndicho nilichoandika, na bila ya kuwa na leseni hauruhusiwi kuendesha gari ...

Kupewa leseni haimaanishi wanaosamia taratibu wawe waonevu, na hii tabia imekuwa sugu sana kwa askari polisi baadhi, just because wana dhamana wanaitumia kama fimbo, kudai hela( rushwa) kwa lazima au uhuni mwingine
 
Samahani jaji naomba upade wa mleta maada upewe kumbukumbu kua hakuna duka bila mteja na mleta maada akumbushe serikali imewekwa
 
ni kwamba leseni ya kuendesha gari ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini kwamba umejifunza na kufuzu na inaweza kuichukua pia muda wowote ule ndicho nilichoandika, na bila ya kuwa na leseni hauruhusiwi kuendesha gari ...
Kweli huna ubongo. Be advised, seek medical attention
 
ni kwamba leseni ya kuendesha gari ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini kwamba umejifunza na kufuzu na inaweza kuichukua pia muda wowote ule ndicho nilichoandika, na bila ya kuwa na leseni hauruhusiwi kuendesha gari ...
Kiikweli leseni haitakiwi kuwa ya serikali kwa sababu udereva nimejilipia mwenyewe sijasomeshwa na serikali,na baada ya kusoma natunukiwa cheti ndipo napata leseni tenankwa kuilipia sipewi bure hivyo kusema ni mali ya serikali ni basi tu serikali nyingi bado zinaendeshwa kikoloni
 
lkn hiyo ni dunia nzima na siyo ukoloni kwetu ndiyo maana nchi nyingine huwa watu wanapoteza leseni, i.e kila kosa lina point na ukifikisha point nyingi kuna adhabu na kama ikibidi leseni inachukuliwa, serikali inaichukua leseni yake inafanyika dunia nzima siyo ukoloni tu.

hivyo ni kwa nini sasa serikali inaichukua leseni ya uderevai kama ni mali yako kama umefanya makosa ambayo yanakuondelea sifa ya kuwa dereva ? i mean, kama ni mali yako si wangekuacha nayo kwa mfano hakuna anayeweza kukunyanganya gari lako ulilonunua kihalali kwa sababu ni lako lkn leseni ya udereva serikali inaweza kuichukuwa na ni dunia nzima.

mfano niliona dereva wa basi lililojaza abiria akiendesha huku ameshikilia chupa ya whisky anakunywa pombe hapa hapa tanzagiza, sasa mtu kama huyo anapaswa mara moja kunyaganywa leseni na kufungiwa kuendesha gari kabisa huo ni mfano tu wa kwa nini serikali hunyanganya leseni ya udereva pale inapobidi, maana yake siyo yako ni kama passport tu ya tanzagiza siyo mali yako hata kama unailipia lkn serikali wanaweza kukwamuru uirudishe serikalini pia ...
 
Back
Top Bottom