Hapa kwenye kuichukua muda wowote ule, unapaswa uelewe kuwa kuna sheria piaNa inaweza kuichukua pia muda wowote ule
Hapa kwenye kuichukua muda wowote ule, unapaswa uelewe kuwa kuna sheria pia
Maana unaandika as if kiongozi/serikali inaweza kuamua tu kuchukua leseni yako bila sababu za msingi. Lazima kuwe na sababu ya msingi inayojitosheleza kumnyang'anya mtu leseni, sio kiholela holela tu
Serikali ni mwajiriwa wa wananchi, na sisi wananchi ndio walipa Kodi ambazo ndio ujenga barabara.watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzuia kutumia barabara za serikali.
tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privilege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, liwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza kukunyanganya pia.
huwa naumia sana nikiona askari anayejitoa anashinda juani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa, kukejeliwa na kudhihakiwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa mazoea sana, askari yuko kazini anaamka asubuhi kwenda kazini na nyumbani kaacha familia inayomtegemea kama tu wewe unavyoamka asubuhi kwenda kazini, respect ni muhimu.
leseni ya udereva ni privilege, ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini baada ya kutimitza vigezo na inaweza pia kuichukua leseni yake, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali, kwa uzoefu wangu ni nadra sana askari trafiki anakuwa amekuonea, wengi (madereva) huwa wana makosa lkn hawakubali makosa na hilo kosa kwanza haupaswi hata kubishana na askari kwa kawaida ...
Serikali ni Nani?watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzuia kutumia barabara za serikali.
tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privilege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, liwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza kukunyanganya pia.
huwa naumia sana nikiona askari anayejitoa anashinda juani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa, kukejeliwa na kudhihakiwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa mazoea sana, askari yuko kazini anaamka asubuhi kwenda kazini na nyumbani kaacha familia inayomtegemea kama tu wewe unavyoamka asubuhi kwenda kazini, respect ni muhimu.
leseni ya udereva ni privilege, ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini baada ya kutimitza vigezo na inaweza pia kuichukua leseni yake, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali, kwa uzoefu wangu ni nadra sana askari trafiki anakuwa amekuonea, wengi (madereva) huwa wana makosa lkn hawakubali makosa na hilo kosa kwanza haupaswi hata kubishana na askari kwa kawaida ...
Sawa. Kwani Serikali ni nani? na huyo mtu binafsi ni nani? Askari trafiki ni mtu au Serikali? Tuludi kwenye makosa....Serikali inaweza kukosea au haiwezi kukosea? Je, ikikosea nani wakuiwajibisha? Askari Trafiki hawezi kosea au anaweza ? Je, akikosea nani wa kumuwajibisha?..Je, Huyo mtu binafsi hawezi kufanya kazi mbili.? Serikali na Yake. Tuanzie hapo kwanza. Tusikariri....watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzuia kutumia barabara za serikali.
tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privilege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, liwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza kukunyanganya pia.
huwa naumia sana nikiona askari anayejitoa anashinda juani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa, kukejeliwa na kudhihakiwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa mazoea sana, askari yuko kazini anaamka asubuhi kwenda kazini na nyumbani kaacha familia inayomtegemea kama tu wewe unavyoamka asubuhi kwenda kazini, respect ni muhimu.
leseni ya udereva ni privilege, ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini baada ya kutimitza vigezo na inaweza pia kuichukua leseni yake, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali, kwa uzoefu wangu ni nadra sana askari trafiki anakuwa amekuonea, wengi (madereva) huwa wana makosa lkn hawakubali makosa na hilo kosa kwanza haupaswi hata kubishana na askari kwa kawaida ...
Kwani serikali ni nini?, ni akina nani? na kwanini wawe na mamlaka makubwa kiasi hicho kiasi cha kuamua lolote? Hii nchi ina wapumbavu wengi sana.watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzuia kutumia barabara za serikali.
tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privilege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, liwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza kukunyanganya pia.
huwa naumia sana nikiona askari anayejitoa anashinda juani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa, kukejeliwa na kudhihakiwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa mazoea sana, askari yuko kazini anaamka asubuhi kwenda kazini na nyumbani kaacha familia inayomtegemea kama tu wewe unavyoamka asubuhi kwenda kazini, respect ni muhimu.
leseni ya udereva ni privilege, ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini baada ya kutimitza vigezo na inaweza pia kuichukua leseni yake, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali, kwa uzoefu wangu ni nadra sana askari trafiki anakuwa amekuonea, wengi (madereva) huwa wana makosa lkn hawakubali makosa na hilo kosa kwanza haupaswi hata kubishana na askari kwa kawaida ...
Mkuu mtoa posti ni mpumbavuSawa. Kwani Serikali ni nani? na huyo mtu binafsi ni nani? Askari trafiki ni mtu au Serikali? Tuludi kwenye makosa....Serikali inaweza kukosea au haiwezi kukosea? Je, ikikosea nani wakuiwajibisha? Askari Trafiki hawezi kosea au anaweza ? Je, akikosea nani wa kumuwajibisha?..Je, Huyo mtu binafsi hawezi kufanya kazi mbili.? Serikali na Yake. Tuanzie hapo kwanza. Tusikariri....
Nafikiri anafata mkumbo bila kutumia akili.Mkuu mtoa posti ni mpumbavu
Pumbavu!watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzuia kutumia barabara za serikali.
tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privilege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, liwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza kukunyanganya pia.
huwa naumia sana nikiona askari anayejitoa anashinda juani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa, kukejeliwa na kudhihakiwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa mazoea sana, askari yuko kazini anaamka asubuhi kwenda kazini na nyumbani kaacha familia inayomtegemea kama tu wewe unavyoamka asubuhi kwenda kazini, respect ni muhimu.
leseni ya udereva ni privilege, ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini baada ya kutimitza vigezo na inaweza pia kuichukua leseni yake, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali, kwa uzoefu wangu ni nadra sana askari trafiki anakuwa amekuonea, wengi (madereva) huwa wana makosa lkn hawakubali makosa na hilo kosa kwanza haupaswi hata kubishana na askari kwa kawaida ...
Sijaelewa jamaa alikuwa ana mlengo gani mpaka kuweka maneno ya kupita mtaroni🤔Nafikiri anafata mkumbo bila kutumia akili.
Unasoma comments za wenzako ili na wewe ujue utachangia nini na kwa namna gani ili kuepuka kurudia-rudia (Tautology)kile kilichokwisha semwa na wenzako. Ndo maana ya mjadala. Ruhusu wadau waisome koment yako lakini nakubaliana na wewe na nakazia hoja kwamba Matusi, Kejeli n.k. sio sahihiJaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂🥲😂
Maswali mawili kuntu.watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo.