vipi yeye akishambuliawatanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia na sisi kuzitumia tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara bara barani na kukuzia kutumia barabara za serikali.
tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privillege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, iwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privillege na serikali inaweza kukunyanganya pia.
huwa naumia sana nikiona askarianyejitoa kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa maziea sana ...
Umeandika nini kwani mkuu mbona kama kichwa hakina ubongo
Serikali hupata mamlaka kutoka kwa wananchi, hivyo yanapaswa kutumika vizuri kwa manufaa ya uma.watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzia kutumia barabara za serikali.
tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privillege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, iwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privillege na serikali inaweza kukunyanganya pia.
huwa naumia sana nikiona askari anyejitoa anashinda juoani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa maziea sana.
leseni ya udereva ni privileege na ni mali ya serikali serikali inakupa baada ya kutimitza vigeto na inaweza pia kuichukua leseni yake, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali ...
Naona Traffic imekuuma sana na mtadundwa sana.
Barabara ni mali ya umma sio mali ya serikali, serikali ni msimamizi tu
Leseni ni kibali anachopewa raia kuendesha chombo cha motosiyo kweli, ndiyo maana nasema kuna mambo mengi sana wengi wetu hatuyaelewi na tunaishi kwa mazoea, labda nikuulize leseni ya udereva maana yake ni nini? ni nani anaitoa? na ni mali ya nani? na je bila ya leseni unaweza kutumia barabara? ...
Kutumia barabara ni privilege kutoka kwa serikali? Kivipi sasa?
Leseni ni kibali anachopewa raia kuendesha chombo cha moto
Lesseni inatolewa na serikali
Leseni ni mali ya mtu mwenye Jina lake na picha yake kwenye hiyo leseni
Bila lesseni unaweza kutumia barabara kutembea kwa mguu au basikeli lakini sio chombo cha moto.
Chini ya Sheria ya Barabara ya Tanzania, Sura ya 167 (Toleo la Mwaka 2023)
Barabara Ni mali ya umma chini ya mamlaka ya kisheria ya Serikali, na inasimamiwa na mamlaka za barabara zilizoteuliwa.
Umiliki / mali ya umma:Barabara ni mali ya umma chini ya mfumo wa kisheria wa Serikali.
Usimamizi: Mamlaka ya barabara ndiyo inayosimamia, kuendeleza na kutunza barabara.
Haki ya kutumia barabara: Wananchi kwa ujumla wana haki ya kisheria ya kutumia barabara hiyo.
Hivyo ukisoma hiyo Sheria utagundua.
Barabara ni mali ya umma. kazi ya serikali ni kuisimamia, kuirekebisha, kuitunza na kuiendeleza.
Lakini kila raia ana haki ya kuitumia akifuata Sheria.[/B]
Mmezidi njaa nyinyi matrafiki.watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzuia kutumia barabara za serikali.
tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privilege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, liwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza kukunyanganya pia.
huwa naumia sana nikiona askari anayejitoa anashinda juani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa, kukejeliwa na kudhihakiwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa maziea sana, askari yuko kazini anaamka asubuhi kwenda kazini na nyumbani kaacha familia inayomtegemea kama tu wewe unavyoamka asubuhi kwenda kazini, respect ni muhimu.
leseni ya udereva ni privilege, ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini baada ya kutimitza vigezo na inaweza pia kuichukua leseni yake pia, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali, kwa uzoefu wangu ni nadra sana askari trafiki anakuwa amekuonea, wengi (madereva) huwa wana makosa lkn hawakubali makosa na hilo kosa kwanza haupaswi hata kubishana na askari kwa kawaida ...
Okayili uendeshe gari barabarani unahitaji kibali cha serikali ambacho ni leseni ya udereva, na leseni ni mali ya serikali sio ya kwako, serikali inakupa ili kukuruhusu kutumia barabara na kuendesha gari, ndicho nilichomaanisha by privilege, ni kwamba leseni ya udereva siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza pia kuichukuwa wakati wowote na ndiyo maana trafiki akikusimamisha kitu cha kwanza kabisa atakuuliza leseni kuna sababu wanafanya hivyo, anaweza asikurudushie tena hiyo leseni kama akiona haukidhi vigezo ...
Achana na machawa haoUmeandika nini kwani mkuu mbona kama kichwa hakina ubongo