Kwa maelezo yako haya unaweza kusema hata pumzi na uhai wetu ni mali ya serikali ikiamua kuchukua hakuna wa kuhoji..watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzuia kutumia barabara za serikali.
tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privilege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, liwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza kukunyanganya pia.
huwa naumia sana nikiona askari anayejitoa anashinda juani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa, kukejeliwa na kudhihakiwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa maziea sana, askari yuko kazini anaamka asubuhi kwenda kazini na nyumbani kaacha familia inayomtegemea kama tu wewe unavyoamka asubuhi kwenda kazini, respect ni muhimu.
leseni ya udereva ni privilege, ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini baada ya kutimitza vigezo na inaweza pia kuichukua leseni yake pia, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali, kwa uzoefu wangu ni nadra sana askari trafiki anakuwa amekuonea, wengi (madereva) huwa wana makosa lkn hawakubali makosa na hilo kosa kwanza haupaswi hata kubishana na askari kwa kawaida ...
Sio privilege ni Haki yako.watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzuia kutumia barabara za serikali.
tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privilege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, liwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza kukunyanganya pia.
huwa naumia sana nikiona askari anayejitoa anashinda juani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa, kukejeliwa na kudhihakiwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa maziea sana, askari yuko kazini anaamka asubuhi kwenda kazini na nyumbani kaacha familia inayomtegemea kama tu wewe unavyoamka asubuhi kwenda kazini, respect ni muhimu.
leseni ya udereva ni privilege, ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini baada ya kutimitza vigezo na inaweza pia kuichukua leseni yake pia, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali, kwa uzoefu wangu ni nadra sana askari trafiki anakuwa amekuonea, wengi (madereva) huwa wana makosa lkn hawakubali makosa na hilo kosa kwanza haupaswi hata kubishana na askari kwa kawaida ...
Huyu inaonekana akili zake hazina akiliKwa maelezo yako haya unaweza kusema hata pumzi na uhai wetu ni mali ya serikali ikiamua kuchukua hakuna wa kuhoji..
Bado sijaona hoja hass kwenye mada yk sanasana ni kuwadogolesha wananchi ambao ndio wenye serikali yao.
Eeeh uhai wetu ni Mali ya serikali ndio maana kuua ni kosa na kujiua pia ni kosa kisheria.Kwa maelezo yako haya unaweza kusema hata pumzi na uhai wetu ni mali ya serikali ikiamua kuchukua hakuna wa kuhoji..
Bado sijaona hoja hass kwenye mada yk sanasana ni kuwadogolesha wananchi ambao ndio wenye serikali yao.
Eeeh uhai wetu ni Mali ya serikali ndio maana kuua ni kosa na kujiua pia ni kosa kisheria.
Hapo ndipo unachanganya “mamlaka ya serikali kuweka sheria” na “umiliki wa serikali”.Eeeh uhai wetu ni Mali ya serikali ndio maana kuua ni kosa na kujiua pia ni kosa kisheria.
Si kwa hawa askari wanaoshambulia mtu waliyemdhibiti.watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo.
sisi kuzitumia (barabara) tunahitaji kibali ktk kwa serikali na serikali pia inaweza kukichukua kibali cha sisi kutumia barabara zake, askari trafiki ni mwakilishi wa serikali anawetza kulitoa gari lako bara barani na kukuzuia kutumia barabara za serikali.
tusiishi kwa mazoea, kutumia barabara ni privilege na ndiyo maana ili gari itumie barabara ya serikali ni lazima isajiliwe, liwe na kibali cha kutumia br na hicho kibali siyo haki yako bali ni privilege na serikali inaweza kukunyanganya pia.
huwa naumia sana nikiona askari anayejitoa anashinda juani kutwa nzima kulinda maisha na usalama wetu akishambuliwa, kukejeliwa na kudhihakiwa na watu wasioelewa wajibu wao kama raia, tunaishi kwa maziea sana, askari yuko kazini anaamka asubuhi kwenda kazini na nyumbani kaacha familia inayomtegemea kama tu wewe unavyoamka asubuhi kwenda kazini, respect ni muhimu.
leseni ya udereva ni privilege, ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini baada ya kutimitza vigezo na inaweza pia kuichukua leseni yake pia, leseni siyo mali yako bali ni mali ya serikali, kwa uzoefu wangu ni nadra sana askari trafiki anakuwa amekuonea, wengi (madereva) huwa wana makosa lkn hawakubali makosa na hilo kosa kwanza haupaswi hata kubishana na askari kwa kawaida ...
Lakini barabara, serikali, polisi.. ni wa umma, ndiyo sababu hugharimiwa na umma kupitia kodi zao.Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!
ni kwamba leseni ya kuendesha gari ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini kwamba umejifunza na kufuzu na inaweza kuichukua pia muda wowote ule ndicho nilichoandika, na bila ya kuwa na leseni hauruhusiwi kuendesha gari ...
Kweli huna ubongo. Be advised, seek medical attentionni kwamba leseni ya kuendesha gari ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini kwamba umejifunza na kufuzu na inaweza kuichukua pia muda wowote ule ndicho nilichoandika, na bila ya kuwa na leseni hauruhusiwi kuendesha gari ...
Kiikweli leseni haitakiwi kuwa ya serikali kwa sababu udereva nimejilipia mwenyewe sijasomeshwa na serikali,na baada ya kusoma natunukiwa cheti ndipo napata leseni tenankwa kuilipia sipewi bure hivyo kusema ni mali ya serikali ni basi tu serikali nyingi bado zinaendeshwa kikolonini kwamba leseni ya kuendesha gari ni mali ya serikali, serikali inakupa kwa kukuamini kwamba umejifunza na kufuzu na inaweza kuichukua pia muda wowote ule ndicho nilichoandika, na bila ya kuwa na leseni hauruhusiwi kuendesha gari ...
Kiikweli leseni haitakiwi kuwa ya serikali kwa sababu udereva nimejilipia mwenyewe sijasomeshwa na serikali,na baada ya kusoma natunukiwa cheti ndipo napata leseni tenankwa kuilipia sipewi bure hivyo kusema ni mali ya serikali ni basi tu serikali nyingi bado zinaendeshwa kikoloni