Barabarani kuna watu wana Immunity, usijaribu kuiga. Sheria haziwahusu

Kazini kwako kulikuwa kuna kazi
 
Basi itakuwa kuna sehemu trafic wenzie walikuona wakawaambia..!!

Wasingewaomba hao wa ubalozi wapunguze mwendo, walishapewa mchezo mzima na wenzao..!!
Police wa Mkata pale ndio waliusoma mchezo.
 
Kabisa ndugu kuna kaukakasi kidogo kwenye hayo mambo ya diplomasia.
Wana kinga nyingi,gari,afisa au nyumba ya ubarozi flani ni nchi husika.

Embu fikiria sasa polisi kuikamata nchi ya uholanzi au uturuki๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Wanaziendesha mbona ni wabongo kabisa! Weusi wenzetu
 
Mkuu pole sana
Mimi niliwahi ingilia msafara wa mama kizi mkaxi akuwa ni DP
Nakumbuka alikuwa anatoka morogoro wakaniacha mita kama 200
Tumetoka chalinze kufika kibaha nikakuta gari moja ipo njiani kilichofuata ni kuwekwa lock up mungu saidia kuna walio unga bodi nyuma
From that date to date sifanyi hiyo kitu
 
Kajishughulishe kusoma Vienna convention on diplomatic relations ya 1961 utajua vizuri. Kila kitu kipo wazi ukiipitia
Kimsingi hawaruhusiwi kuvunja sheria za barabarani na polisi ana mamlaka ya kuwasimamisha. Kitu ambacho hawezi kufanya ni kuwapa adhabu ya hapo kwa papo ila anaweza kuandika ripoti ambayo serikali ya nchi husika inaweza kutumia channels za wizara ya mambo ya nje kulalamika.
 
Sio rahisi, wakiwa napesa huwa wanakispika kabisa wanatangaza usisogelee msafara wao.
Na ubaya huwa hawazidi speed 100kph inawezekana yale magari yao ni Armoured
Situation ilikua tofauti aisee ,nimewapisha pembeni kabisa .wakanikwangulia uko uko pembeni,haikua damage kubwa sana ,lakini niliitaji kulipwa ,na wao walikua ilo wakiendelea kupoteza muda na Mimi na gari inaangariwa muda wote inaposimama ,wao ndio wangepoteza sio mimi.wakanipa lakki tatu chap ,nikatengeneza kwa Elfu hamsini ,mbili na nusu nikala bia.na niliwakuta wastarabu ,vinginevyo nisingelamba ata mia
 
Mlolongo kumbe
 
Yeah! Najua makosa kuingilia misafara iliyopo kisheria.
Unaenda lockup moja kwa moja.
 
Hao Plate za Kijani, STM SU na DFPA huwa wanatubeba sana.
Unamkalia hapo takoni ๐Ÿคฃ kama una haraka.
Tatizo trafic wakikuona wanawapa taarifa wenzao wa mbele, wadwanzi kweli ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sema kwenye kuover take sehemu linaweza kukuuzia kicheche ukajikuta mmepigana busu na scania ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ