Barabarani kuna watu wana Immunity, usijaribu kuiga. Sheria haziwahusu

Mkuu shukuru tuu upo salama...

Kuna gari Zina plate number fake (wasiojulikana) Hawa wakiamua kukuchukua ...hauwekwi lockup...
Wanakwenda na wewe porini...yaani unaweza kupotea Moja kwa moja
 
Tatizo trafic wakikuona wanawapa taarifa wenzao wa mbele, wadwanzi kweli 😹😹

Sema kwenye kuover take sehemu linaweza kukuuzia kicheche ukajikuta mmepigana busu na scania 😹😹😹
Sikai takoni muda wote!
Nakumbuka kuna siku natoka Mbeya, kuna STM moja ikanipita, jamaa yuko kubati ile ile Igawilo hapo, nikakaa nyuma!! Wanging'ombe bado nimo kuna barrier moja kubwa kidogo pale wote lazima mpunguze mwendo muhame barabara, nimo tu.

Tumefika Mufindi sasa sijui jamaa akahisi namdharau, akaanza kuovertake hovyo, ikabidi nimwache tu atembee.

Nilichogundua road kuna watu wenye upendo kabisa, tena wengine hata hamjuani ila mkienda pamoja kwa nusu saa tu mshakuwa familia.

Hiyo barabara ya Dar - Arusha wajamaa huwa wanatukokota sana,
Last time wambwa nimetoka nao Mombo, nimekaa takoni hadi Moshi.
Wanaingia KwetuPazuri pale Moshi town na mimi nikaunga nao, niwape tu Hi yani.

Tukasalimiana fresh kabisa.
 
ipo hivyo ungewaambia nipo katika kazi maalum
 
😹😹😹 Alitaka kukukomesha sasa hayo yote ya nini jamani..!!

Kweli kuna wengine wako vizuri mimi nishakutana na watu wa hivyo sana.
Tatizo gender yangu wanaanza approach za kifala but sometimes mpk wese wananipea 🀣
 
Hii kukaa takoni,Mtu akifunga brake ghafla au akiovertake unaweza pata ajali mbaya
 
Kila mwendo ukiongezeka masafa salama baina ya gari nayo yanaongezeka. Bumper to bumper ni kukaribisha kifo.
 
"All animals are equal, but some are more equal than others”

From George Orwell's novel β€œAnimal Farm,”
 
Shida yako hukuwa na gari! Raum...!!!!
 
Pole sana unabahati umekutana na Polisi wanahuruma kidogo, sio jambo jema kuwafwata hao wenye number za ubalozi maana ni ofisi ya Nchi nyingine na unakuwa umehatarisha usalama wao maana hawajui kwanini unawfwata, Mimi nina kaka yangu aliwekwa ndani mwezi mmoja na wao ubalozi wanataka wajiridhishe hana hatari yoyote juu ya usalama wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…