Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

Baada ya kushindwa vibaya kwenye chaguzi zote mmekosa hoja mnataka kuchonganisha Taifa kwa udini na ukabila .Imekula kwenu mmeishiwa agenda kifo cha Mende
Uchaguzi upi? Wapi huko? Maana Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani, imekula kwako mwenyewe kwani wanaolalamikia waislam kukosekana kwenye baraza la mawaziri ni miccm yenyewe usiwasingizie wapinzani uongo
 
Udini unaanzia wapi ndugu..we mwehu kweli..makamu wa Rais, waziri mkuu, Jaji mkuu.. top four..ikoje...acheni udini nyinyi wapumbaffff..
Bakwata ni Tawi la CCM wao ndiyo wametuma miccm kulalamika humu mitandaoni
 
Rais Mkristo
Makamu wa Rais Muislam
Waziri mkuu Muislam
Jaji Mkuu anaemuapisha Rais Muislam
Hata katibu mkuu wa CCM ni muislam lakini bado miccm hailiziki
 
Hana chuki wewe ndiyo utakuwa na chuki nae lakini unajidai kumpenda kinafiki kwa kuwa unawinda uteuzi, mawaziri 23 lakini 11 wanatoka kanda ya ziwa huko kasikazini na kanda zingine kadonyoa kwa mbalii sana, kwa upande wa Zanzibar hakuna shida sana kwani Zanzibar na wao wana Serikali yao na hawana waziri tokea Tanganyika, walalamishi wa Uislam kupungua ni Bakwata Tawi la CCM wenyewe
 
Wewe ACT wazalendo masuala ya chama cha Mapinduzi unahusikaje, CCM ina namna yake ya kuwasilisha malalamiko lakini pia ujue dhamira halisi ya Rais wetu Mzalendo
Uzalendo ni kuteua mawaziri 11 tokea kanda ya ziwa pekee?
 
ondoeni mashaka , waislam watajengewa misikiti kupitia BAKWATA na Masheikh wa Bakwata watapewa hela taslimu hadharani
Bakwata ni Tawi la CCM na wao ndiyo wametuma watu kulalamika humu juu ya uchache wa waislam kwenye baraza la mawaziri
 
Hapa naona kunahaja yakurudi kwa muft na alhd waislam kilasiku hatufai tunafeli wapi au bado kilekigezo cha hawakusoma bado kinatutafuna lakini hata wangeteuliwa wangeleta faida gani kwenye uislam ukimtoa msabya hupati muislam mwingine shupavu nakuunadi waziwazi kama msambya alikubali kufamasikini kuliko kuiteketeza imani yake kwa waislam msambya ilifaa apambaniwe wengine wameingia wengi tu lakini wanapenda matumbo yao
Kuto wateua kwangi mimi naona sawa nakama muislam tunataka kupaza sauti ingepazwa wakati wa msambya
 
Hapa nilipo msibani na ni waislam mimi mkristo na tangu asubuhi tupo nao kwani kwangu cha muhimu ni utanzania kwanza.

Mada za kipuuzi kama hizi ndizo zinazogawa mataifa mengi ya kiafrika.
Bakwata ni Tawi la CCM na ndiyo walalamikaji wakuu
 
Waislam huwa hawapendani kipindi cha kampeni wakala pesa za CCM wakawa wanampinga Ponda sasa wamegeuka wanadai balance ya uislam na ukiristo kwenye baraza la mawaziri, wanasahau kuwa Bakwata ni Tawi la CCM na wanapokea ruzuku kila mwaka
 
Kukata mzizi wa fitina moyoni ni kutangaza baraza lako la mawaziri Tanzania ukiweza na kisha weka hapa mjumbe wa kamati ya ...
 
Mkuu MISSILE of a nation, kwanza naheshimu mawazo yako, ila nina maswali manne kwako.
hoja ya msingi ya mteuzi, ni kabla ya uteuzi, ame set sifa na vigezo vya uteuzi,
  1. On Gender Balance, ikitokea, hakuna wanawake wa kutosha, kukidhi sifa na vigezo vya uteuzi, jee ateue tuu wanawake wowote hata wasio na sifa na vigezo, just for the sake of gender balance?. Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!
  2. On Zanzibar Factor, ikitokea, hakuna Wazanzibari wa kukidhi sifa na vigezo vya uteuzi wa Uwaziri kamili, jee ateue tuu Wanzanzibari wowote hata wasio na sifa na vigezo, just for the sake of union balance?. Je, kunahitajika affirmative action ili Mzanzibari aweze tena kuwa Rais wa JMT?
  3. On Religious Factor: ikitokea, hakuna Waislamu wa kutosha, kukidhi sifa na vigezo vya uteuzi, jee ateue tuu Waislamu wowote hata wasio na sifa na vigezo, just for the sake of religious balance?. Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real? au ni Dhana Tuu?."
  4. On Ukanda na Ukabila: ikitokea, kwenye kanda nyingine, na makabila mengine, hakuna watu wa kutosha, kukidhi sifa na vigezo vya uteuzi, jee ateue tuu wowote kutoka kanda zote na makabila yote 120 ya Tanzania, hata wasio na sifa na vigezo, just for the sake of kanda na ukabila balance?. Tuhuma Za Ukabila: Wasukuma Sii Miongoni Mwa Makabila Yenye Ukabila, Tatizo Ndio Walio Wengi!
P
 
Mawaziri 11 tokea kanda ya ziwa pekee nusu nzima ya baraza kuu la mawaziri
 
1. Nafasi za kisiasa kama za uwaziri zuna minimum requirements tu kwa mujibu wa katiba mfano huyo mtu awe mbunge, vigezo vingine anavijua mteuaji unless akwambie katumia vigezo gani yeye mwenyewe lakini unaweza kutumia ibductive na deductive reasoning kustudy aina ya teuzi zake na kupata picha nzuri kabisa vigezo alivyovitumia, kuna pattern za wazi kwenye hizi teuzi.

2. Hakuna kiongozi asiyekuwa na kabila, dini, ukoo etc ila kutokana na matendo yake tunaweza kumclassify kuwa huyu ni mdini na mkabila. Pattern ya teuzi zake inatosha kutoa picha kuwa huyu ana udini, ni mkabila au ana nepotism.

Kuhusu kuweka vigingi vya kuzuia ukabila na udini na nepotism hilo ni jambo zuri, so far tumeuwa tukitegemea hekima binafsi za kiongozi mkuu wa nchi kuwa fair na kuona kuwa hivyo vitu havifai.

Unfortunately tuna utawala hivi sasa, busara hizo umeweka pending na kwa hiyo tunashuhudia wazi teuzi tata kama hizi hii leo.

Ipo haja ya kuangalia umuhimu wa kuwa na katiba mpya, kusuka upya mifumo ya teuzi na fursa za ajira nchini hayo mambo tuyaepuke kwa kiwango kikubwa zaidi
 
Wanawezaje kuwapata wa kugombea ubunge alafu uwaziri washindwe?je uwaziri unasomewa chuo gani ambacho waislam niharam kufika huko
 
The issue ni kwamba scenario za maswali yako ni impossible kutokea, ndiyo maana ana zile nafasi 10 za ubunge. Zile nafasi ni multipurpose na hekima yake mojawapo ni pale anapoweza kumteua yeyote katika general population kushika nafasi hizo

Halafu the the other thing ni kuwa kama akitaka, au akiamua anaweza kuua ndege watatu kwa jiwe moja, kwa mfano akiteua Mzanzibar mmoja ambaye ni mwanamke na ambaye ni muislamu huoni kuwa atakuwa amesove issue ya inclusivenes kwa kiwango kikubwa?, Sasa imagine afanye hivyo kwa watu 7 (siyo lazima wote wawe wazanzibari lakini wawe na atleast sifa mbili kati ya zile tatu)

Scenario yako ni imposible kwenye jamii, maana ikiwa hivyo kwamba hakuna mwanamke mwenye vigezo, hakuna muislamu mwenye vigezo, na hakuna mzanzibar mwenye vigezo basi hilo Taifa litakuwa na Society ambayo ina division na imbalance ya kutisha, kutisha mno kiasi kwamba anytime hiyo imbalance inaweza kupelekea civil war, separatism, au social malaise ya kutisha, kiufupi hiyo itakuwa ni failed state!. Sisi hatujafika huko hii maana yake yanayofanyika TZ ni kwa makusudi, wanaoyafanya wanajua
 
Mkuu uko vizuri sana kwa hoja
 
Bahati mbaya yeye ndio mwenyekiti wa Chama siamini kwamba hata sekretariati ilikosa uono tangu Mwanzo hasa suala la wazanzibar ni mistake kubwa sana kwa Muungano wetu huu
 
Time will tell..........

Hiki kiburi cha watawala wetu cha kutotaka kabisa kutosikiliza maoni ya wananchi wake waliowaweka madarakani ipo siku kitawatokea puani! OVA
Usikilizwe na wewe unajipya gani?

Kwa taarifa yako uchaguzi mkuu umekwisha alieshinda ni kama mwanafunzi kumuelewa mwalimu darasani .wanachi wako pamoja na wanawakubali viongoz wao.

Wewe nan?
 
Nashauri misikiti yote ianze kutoa waumini wote wakutane misikitini Sala ya Isha siku ya jumaa tano, mashekhe watoa la kipinga uchaguzi wa mAgufuli na dharau yake ya dini, wanawake na mikoa, mashekhe waagize waumini kujazana misikitini siku ya ijumaa na baada ya swalit jumaa, yafanyike maandamano kila mkoa hadi office za CCM kuonyesha kutoridhika na uchaguzi. Askari wakijaribu kupiga watu, dawa yao ni kupigwa nao na kunyanganywa silaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…