[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usinipangie!!
Usinichanganyie Battery Na Gunzi Hiyo Torch Sitaiwasha.
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
[emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji2][emoji2][emoji3][emoji16][emoji23]
Pombe hii kama si bhangiKwani ni lazima kuteua waziri toka huko wapi katiba imesema hivyo mbona wao hawateui toka bara!
Aliteuliwa Philip Mpango na Paramagamba Kabudi kuwa mawaziri wa fedha na mambo ya nje bila uwepo wa Waziri mkuu mwenye mamlaka kamili.Rais anateua baraza la Mawaziri kwa kushauriana na Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Hao wote ni Waislamu kwani wao hawakuliona hilo?
Ishu ya wanaweke wacha wakae nyumbani watulee.
Wazanzibar na wenyewe wana nchi yao. Anyway Mbarawa ameniumiza moyo kukosekana kwenye baraza la mawaziri.
Anyway today is Sunday take your Bible and go to your nearest church.
Wapi ulishuhudia Rais wa Zanzibar akatoka huku bara? Lakini Rais wa Zanzibar alishawahi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.b) Hili ni baraza la Tanganyika, Yawezekana vipi usiwe na baraza lenye waziri kamili hata mmoja Mzanzibar?
Naomba nifahamishwe pia kwenye Baraza la Mawaziri Zanzibar kuna mtanganyika alishawahi kuteuliwa nafasi ya uwaziri[emoji23]
namkubaligi sana huyu kamarada AbdulRahman Mohamed Babu.yan kaanza kwende mbele mbele toka miaka hio aisee !! hapo new York hio yan kapanda ndege babekKatika baraza la kwanza la mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Abeid Amani Karume alikuwa makamu wa kwanza wa rais na Rashidi Kawawa makamu wa pili wa rais.
Wazanzibari katika baraza hilo la Serikali ya Muungano wa Tanzania walikuwa ni pamoja na Aboud Jumbe, waziri wa nchi katika ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais; Abdulla Hanga, waziri wa viwanda, migodi na nishati; Abdulrahman Babu, waziri wa nchi katika Ofisi ya Rais na Kurugenzi ya Mipango; Hassan Nassor Moyo, waziri wa sheria na Idrisa Abdul Wakil, waziri wa habari na utalii.
Malcom X kushoto akiwa na Abdulrahman Mohammed Babu kulia 1964.
Wale wanaonufaika na mfumo wa udini nchini wanaweza kumponda Magufuli kwenye kwenye mambo mengi tu kuanzia staili ya uongozi wake lakini linapokuja kwenye maslahi yao ambapo wao hunufaika kwa udini wake basi humtetea kwa nguvu zote ikiwemo kutumia matusi na kejeli kuwavurumishia wanaohoji mambo haya.Udini upo nakila kona umetamalaki,japo wanaonufaika na udini wajitahidi kuzima mada wakidhani waislaam hawana uwezo wa kutambua kinachoendelea
Kwahiyo kwenye vikao vya baraza la mawaziri ulishawahi kusikia manaibu waziri wakihudhuria vikao?Moja: Balaza la mawazili ni pamoja na manaibu, je manaibu wale hujawaona?!?
Mbili: Balaza la mawazili ni pamoja na Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu, Raisi wa Zanzibar, hawa nao ni makafiri?!? ewe uliyedini ya 'kweli'
Tatu: Nafasi za uongozi si zawadi, kwa dini, makabila, mikoa; hadi liwe ni swala la kufa na kupona, kwamba ni lazima dini, kabila, mkoa upate
Ndio maana ya uongozi,huwezi kujaza watu wa kabila lako eti kwasababu ulisoma nao au unafahamu utendaji wao.Tukianza kuangalia vigezo hivyo hakika hakutakuwa na teuzi.Maana ukimaliza ya udini na uzanzibari utakuja ya ukabila kusema baraza zima ni wachaga,wasukuma n.k ukimaliza hapo utakuja na baraza zima halina waziri kijana,mzee n.k kwa kifupi vigezo vyote vikizingatiwa ni mwanzo wa kupata watendaji wabovu na kigezo kikuu na cha muhimu kati ya vyote ni utendaji uliotukuka! Tukianza kuangalia vigezo vingine ni mwanzo wa kupata viongozi wasio na tija kwa taifa kisa tu kuzingatia swala la dini,uzanzibari,wanawake,umri n.k jambo ambalo litarudisha juhudi za taifa nyuma.
Kweli Siasa ni verified Street lies and gossips.Alipomteua Kabudi na Mpango alishauriana na waziri mkuu yupi wakati hao watatu wote walikula kiapo siku moja?
Labda ulikuwa mtoto, wakristu walilalamika sana tu! Mpaka nyaraka zilikuwa zinatolewa na maaskofu!Nawashangaa sana waislamu mnalalamika lalamika tu mnasahau kuwa top cream ya juu ya Serikali ni waislamu
Waziri mkuu muislam
Makamu wa Rais muislamu
Mkurugenzi wa usalama ni muislamu
Nenda kwa ma ded, ma das, wakuu wa wilaya na mikoa waislamu mbona wengi tu
Kipindi cha kikwete
Rais muislamu
Makamu muislamu
IGP (said mwema muislamu)
Mkurugenzi wa usalama ( othman muislamu)
Wakuu wa mshirika ya umma wengi walikuwa waislamu kina Ramadhani dau na wengine hukusikia wakristo wanalalamika you know why?
Hatumaindi vitu vidogo dogo kama hivi..
Nyinyi sasa kila kitu kwenu nongwa
Elimu Elimu Elimu
Hapa tunazungumzia mambo ya serikali wewe, mambo ya CHADEMA yaanzishie mada yakeUsilete udini wewe mtu nenda kwenye kamati kuu ya Chadema kaangalie hayo yote uliyosema Kama ratio iko sawa,nenda Bavicha alikadhalika Bawacha angalia pia na wajumbe wa mabaraza la Chadema Kama ratio inafiti.Unapounda serikali hakuna kigezo Cha udini au ukabila unaangaliwa uwezo wa mtu kufanya kazi hata hivyo kwa taarifa yako si ajabu Rais ajaye wa Tanzania akawa tena mkristo
Baada ya kushindwa vibaya kwenye chaguzi zote mmekosa hoja mnataka kuchonganisha Taifa kwa udini na ukabila .Imekula kwenu mmeishiwa agenda kifo cha MendeKwa hiyo hicho kikao cha baraza la mawaziri kitakuwa kama misa ya jumuiya, kigango au Parokia?
Mzee alishasema hapendi kuchanganyiwa watu, anataka cream ya watu wenye background zinazofanana, kama kisiasa, kiimani, kijinsia, kikabila na kikanda.
Mitano tena.