nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Usikurupuke kwenye maswali fikirishi dhidi ya mtoa mada, fuatilia mada kwa makini na comment zangu sijakurupuka ninaijua nchi yangu vizuri.Uliwahi kumuona mbunge wa Tanzania bara anaingia kwenye baraza la wawakilishi Zanzibar ?
Swali uliouliza na la kipuuzi sana na linaadhirisha kotoelewa mfumo wa utawala wa nchi yako.
Ungetuliza akili kidogo tu,ungemuelewa mleta madaKwani ni lazima kuteua waziri toka huko wapi katiba imesema hivyo mbona wao hawateui toka bara!
Sisi wapagani hatuna wa kutusemea
Manaibu waziri siyo wajumbe wa baraza la mawaziri.Wewe una chuki ya muda mrefu dhidi ya Rais Magufuli, suala la baraza la mawaziri umelitumia kama nyenzo ya kumshambulia.
Mbona unazungumzia mawaziri tu lakini manaibu mawaziri huzungumzii? Au hivyo sio vyeo? Mbona huhoji kuhusu dini zingine kama budha, hindu, sikh na wapagani? Kwani nchi hii ina dini mbili tu? Baraza la mawaziri Zanzibar lina mkristo hata mmoja? Mbona huko huchambui?
Unadai wanawake ni wachache umeangalia na manaibu mawaziri? Baraza la mawaziri sio chombo cha uwakilishi bali ni chombo cha utendaji hivyo kinachoangaliwa ni ufanisi katika kutekeleza ilani na utendaji.
Hata kama wangeteuliwa watu wa hiyo dini na jinsia unayotaka bado mwingine angelalamika kuwa nchi ina makabila 120 hivyo theluthi mbili za makabila hawamo hivyo haiakisi demography ya nchi. Haya mambo yakiendekezwa ndiyo yanasababisha mlipa kodi kutwishwa mzigo mkubwa wa kodi ili kugharimia baraza kubwa la mawaziri ambalo limesheheni makabila yote. Rejea baraza la Sudani kusini kwa mfano, nchi ndogo masikini inakuwa na baraza kubwa sababu ya kuendekeza upuuzi wa ukabila, dini au jinsia.
Badala ya kukosoa tu hebu eleza mazuri ya JPM au kwa uelewa wako hajawahi kufanya zuri hata moja?
Ndio mukawaletea wa zanzibar majeshi mpaka kuto burundi ili muzidi kuwatawala na kuwauwa na kuwabaka kwa sababu ni koloni lenuKwani ni lazima kuteua waziri toka huko wapi katiba imesema hivyo mbona wao hawateui toka bara!
Sisi waislam haturidhiki na yanayo endelea na sisi ndio wananchi wenyeweMada mfu kabisa! Unataka kuchonganisha kwa kutumia dini, uzanzibara. Uzuri ni kwamba wananchi wameshachoka na propaganda zenu, wao wanafanyiwa wanachotaka.. angalia vituo vya afya, Hosp, barabara, shule, n.k nk
Mfano tu wakat dau yupo nccf japo wakristo walikua wengi Zaid alionekana ni mdini mkubwa haya makafiri ni shida saanaRais angekuwa ni muislamu na akateua waislamu wakutosha (kama nusu tu ya baraza zima), leo jumapili makanisani zingesomwa nyaraka za maaskofu kuipinga serikali, mahubiri na maombi yangekuwa ni kuipinga serikali, wakristo wangeambiwa wafunge siku kadhaa dhidi ya uislamu kushamiri hapa Tz nk.
Viongozi wa kikristo nawajua vizuri.
Mimi ni mkristo mkatoliki kama mhe . Raid, lakini kwa baraza hili, mkuu anajenga wa kidini, Kati ya waislamu na wakristo . Tumia kigezo chochote upendacho baraza hili haliakisi umoja Wa kitaifa. Tangu link kanda moja ichukue nusu ya baraza LA mawaziri na dini moja asilimia 87% ya baraza? Hivi rais ajaye akilipiza kwa kujaza waislamu he wakristo tutakuwa na moral authority ya kumlaumu.Kwani baraza la mawaziri la H. Mwinyi lina wakristo wangapi? Acheni ujinga huu wa udini.
Mbona kuna mtu alijaza waislamu kwenye taasisi nyeti?
manaibu hawahusiki kwenye baraza la mawaziriMoja: Balaza la mawazili ni pamoja na manaibu, je manaibu wale hujawaona?!?
Mbili: Balaza la mawazili ni pamoja na Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu, Raisi wa Zanzibar, hawa nao ni makafiri?!? ewe uliyedini ya 'kweli'
Tatu: Nafasi za uongozi si zawadi, kwa dini, makabila, mikoa; hadi liwe ni swala la kufa na kupona, kwamba ni lazima dini, kabila, mkoa upate