Pre GE2025 Baraza Kuu la CHADEMA laidhinisha Wagombea wa Juu wa Uongozi wa Chama hicho, kwahiyo Kipute kiko pale pale

Pre GE2025 Baraza Kuu la CHADEMA laidhinisha Wagombea wa Juu wa Uongozi wa Chama hicho, kwahiyo Kipute kiko pale pale

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Katika vikao vya Baraza Kuu vinavyoendelea leo hii, tayari mambo kadhaa yameanza kutolewa maamuzi.

La kwanza ni hili la kuidhisha mtanange wa Wagombea wa Juu wa uongozi wa Chama hicho.

Taarifa yao hii hapa

Screenshot_2025-01-20-16-27-14-1.png

Usiondoke JF kwa Taarifa za uhakika za Vikao hivi, Hii ni kwa sababu Mimi Mtumishi wako Mwaminifu niko ndani ya Ukumbi.
 
Lakini wajumbe wamekatwa kutokana na misimamo yao! Kuna tofauti gani na CCM
Kwakuwa CCM ni chama cha Rwanda ?
Watanzania bhana..

Wagombea wangekuwa 10,000 wangepitishaa wote ili kujitofautisha na CCM? Hilo tu?
 
CHADEMA itakuwa imara na zaidi endapo tu TUNDU LISSU atapita kwenye kinyang'anyiro hicho kwa maana Tundu lissu kawashinda wapinzani wake hao mara nyingi tu.
Lakini chadema ikidanganya kufanya wafakeche Freeman Mbowe akubali tu chadema kuwa kama TLP, ikitisha maandamano anaongozana na binti yake na wachaga wenzake wachache.
 
Hakuna mchaga wa kufunga duka lake aende kuandamana
 
Back
Top Bottom