Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi


Kumbuka akina Komu na Selasini walihamia NCCR lakini Mambo yakawa magumu, na Kuna tetesi Selasini anaweza kurudi chadema. Pia kumbuka kwamba hata ACT tayari Kuna watu huko wamejipanga na Wana vyeo huwezi kwenda huko tu ukapewa nafasi na ukawa na usahwishi Kama ulio kuwa nao chadema.
 
..Halima na wenzake waombe msamaha.

..Wamtaje aliyewarubuni, na namna alivyowarubuni.

..Hatua kali za KISHERIA zichukuliwe kwa wote waliohusika na jambo hili.
.....Act nafasi zipo wazi.
..... Usitubabaishe
 
Slaa alipoondoka CHADEMA hakufanya siasa za ushindani tena. Hatujui iwapo angeamua kuendelea na siasa za ushindani angefanya nini; yule ni mtu skilled sana.

Slaa gani hafanyi Siasa za Ushindani. Umesahau press conference zake 2015 akiiponda chadema na kutoa Siri za chama hadharani, lakini akagonga mwamba na chadema kushinda Jimbo la karatu. Juzi hapa amefanya press conference za kuishambulia chadema lakini hajafanikiwa. Mpaka ikabidi aombe msamaha kwa kusema uongo.
 
KARIBUNI SANA ACT WAZALENDO ILI TUKIJENGE CHAMA HIKI KATIKA MISINGI BORA ZAIDI, KARIBUNI SANA.
Hakukuwa na sababu ya kujisafocate at that time while you know fact that the guy was a dictator!
#Walijisogeza ili maisha yaende..!

Ila wataweza siasa za ACT za kutokuikosoa serikali?.
 

Mahakamani ingekuwa sahihi Kama ni Ubunge wa kuchaguliwa na sio wa viti maalum. Halafu mahakamani Mambo yatawekwa wazi ni jinsi gani walivyopata Ubunge ambapo itakuwa mbaya zaidi.
 
Nadhani wanawake hawa wana nguvu fulani ya kuivuruga CHADEMA. Zitto mwenyewe peke yake alipoondoka CHADEMA amekuwa mwiba kwao, sasa kkweli iweni Mdee pamoja na timu yake kweli?
Ubongo wenye ubora kumbe ni adimu hivi!
 
IT PAINS πŸ™‚
 
Kwaiyo wao hawatalipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…