Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Ni vigumu sana kujudge validity ya statements zako. Ni kweli kuwa wakihamia CCM huenda watakuwa ni kama tone tu ndani ya bahari kwa vile wametoka kwenye kibuyu, lakini huenda hali ikawa ni tofauti sana wakihamia ACT-Wazalendo. La muhimu ni kuwa tayari wana skillset kubwa kisiasa wakishehenzwa na knowldge kubwa ya mambo ndani ya CHADEMA. Let us wait for the time to tell the truth.

Kumbuka akina Komu na Selasini walihamia NCCR lakini Mambo yakawa magumu, na Kuna tetesi Selasini anaweza kurudi chadema. Pia kumbuka kwamba hata ACT tayari Kuna watu huko wamejipanga na Wana vyeo huwezi kwenda huko tu ukapewa nafasi na ukawa na usahwishi Kama ulio kuwa nao chadema.
 
..Halima na wenzake waombe msamaha.

..Wamtaje aliyewarubuni, na namna alivyowarubuni.

..Hatua kali za KISHERIA zichukuliwe kwa wote waliohusika na jambo hili.
.....Act nafasi zipo wazi.
..... Usitubabaishe
 
Slaa alipoondoka CHADEMA hakufanya siasa za ushindani tena. Hatujui iwapo angeamua kuendelea na siasa za ushindani angefanya nini; yule ni mtu skilled sana.

Slaa gani hafanyi Siasa za Ushindani. Umesahau press conference zake 2015 akiiponda chadema na kutoa Siri za chama hadharani, lakini akagonga mwamba na chadema kushinda Jimbo la karatu. Juzi hapa amefanya press conference za kuishambulia chadema lakini hajafanikiwa. Mpaka ikabidi aombe msamaha kwa kusema uongo.
 
KARIBUNI SANA ACT WAZALENDO ILI TUKIJENGE CHAMA HIKI KATIKA MISINGI BORA ZAIDI, KARIBUNI SANA.
Hakukuwa na sababu ya kujisafocate at that time while you know fact that the guy was a dictator!
#Walijisogeza ili maisha yaende..!

Ila wataweza siasa za ACT za kutokuikosoa serikali?.
 
Ni muda wa kwenda mahakamani sasa for unfair dismissal.

Chama kilisema hawazitaki hizo nafasi za viti maalum baada ya uchaguzi na zisingekuwepo baada ya mwaka mmoja kama hakina mdee wasingezichukua.

Iweje leo wabadili gear angani na kuzidai nafasi na ruzuku waliyoikataa wenyewe. Ni wazi maamuzi ya hakina Mdee kipindi kile yaliangalia mbele kwa sababu mwenyekiti kigeugeu na ana watu wake wa mfukoni tayari.

Asubuhi na mapema mahakama ya kazi kufungua kesi ya pingamizi bunge lisipokee majina mapya mpaka kesi yao iamuliwe mahakamani.

Huu ndio uonevu wa mfumo dume.

Mahakamani ingekuwa sahihi Kama ni Ubunge wa kuchaguliwa na sio wa viti maalum. Halafu mahakamani Mambo yatawekwa wazi ni jinsi gani walivyopata Ubunge ambapo itakuwa mbaya zaidi.
 
Nadhani wanawake hawa wana nguvu fulani ya kuivuruga CHADEMA. Zitto mwenyewe peke yake alipoondoka CHADEMA amekuwa mwiba kwao, sasa kkweli iweni Mdee pamoja na timu yake kweli?
Ubongo wenye ubora kumbe ni adimu hivi!
 
HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA

Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama
======
UPDATE:

View attachment 2221145

Halima Mdee: Kilichofanyika ni Uhuni, hata Mbowe (Freeman) mwenyewe anajua

John Mrema: Baada ya uamuzi wa Baraza Kuu, Katibu Mkuu ataandika barua kumuarifu Spika kuwa suala lao limehitimishwa; tutamwachia spika afanye uamuzi kama alivyosema anasubiri Rufaa zao
=======

Matokeo ni kama ifuatavyo;

Kanda ya Victoria (Wajumbe 44)
-Wanaokubalia wavuliwe uwanachama 42
-Wasiokubali 1
-Wasiofungamana na Upande wowote 1
Jumla kura 44

Kanda ya Nyasa (Wajumbe 57)

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 57
-Wasiokubalina 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 57

Kanda ya Unguja (Wajumbe 22)

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 19
-Wasiokubali 1
-Wasifungamana na Upande wowote 1
Jumla ya Kura 22

Kanda ya Pemba 15
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 12
-Wasiokubali 1
-Wasifungamana na Upande wowote 2
Jumla ya Kura 15

Kanda ya Kusini 32

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 32
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 32

Kanda ya Pwani 47

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 45
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 2
Jumla ya Kura 47

Kanda ya Kati 44

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 44
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 44

Kanda ya Serengeti Wajumbe 41

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 41
-Wasiokubalina 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 41

Kanda ya Magharib Wajumbe 37

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 37
Wasiokubali 0
Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 37

Kanda ya Kaskazini Wajumbe 61

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 61
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 61

Kura 352 zimekubaliana na Kamati Kuu na kura 5 ndo zimepingana na maamuzi ya Kamati Kuu
IT PAINS 🙂
 
Yani kwa Ile statement ya Mbowe kwamba yeyote atakayesaliti chama hatavumiliwa nilijua kabisa Covid imekula kwao.

Anyway wameshatengeneza hela ya kutosha na Kama wamechukua mikopo dhamana ni mshahara wa ubunge hivyo serikali italipa huo mkopo.

Magufuli na Ndugai walituharibia sana bunge. Anyway wapumzike waende CCM Sasa waone Kama watapewa nafasi kule.
Kwaiyo wao hawatalipa?
 
Back
Top Bottom